Show ya Diamond noma, apiga show juu ya pikipiki mbele ya rais wa zanzibar akiwa na dancer kama 100

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 118

  • @frankymagatory1338
    @frankymagatory1338 ปีที่แล้ว +26

    Hekal hela hizi uncle kiba haziwez, 😅😅😅harmonize pumzi ingekata,

    • @djhdscratchmaster4110
      @djhdscratchmaster4110 ปีที่แล้ว +2

      Unaongea ka mlevi,sasa background play inamfanyaje mtu akate pumzi?

    • @ArmchairtourismTv
      @ArmchairtourismTv ปีที่แล้ว

      😂😅😅

    • @zmccenter123
      @zmccenter123 ปีที่แล้ว +2

      Back ground sound inafanyiwa kazi sio kuachwa imbe wenyew harmonize alishawah kuja kwenye huu uwanja na mm nilikuwepo lkn hakuparfom hat nusu y ivyo alikuwa anazunguruka tu dakik 10 tu show imeisha

    • @djhdscratchmaster4110
      @djhdscratchmaster4110 ปีที่แล้ว

      @zmccenter123 Ndivyo alivyoamua....mara ngapi Harmonize anaimba kwa background muda mrefu? Au hiyo ya Zanzibar kisa ulikuwepo basi ndio hawezi kisa ulimuona hiyo siku....kuimba kwa background siyo kazi ngumu sana,hata wewe hapo unaweza imba hata masaa mawili,ishu ikiwa ni live yaani uwekewe tu beat uwe unatoa sauti yako natural

    • @ianjohn797
      @ianjohn797 ปีที่แล้ว

      huyu jamaa ni kichaa usimjibu kwanza harmonize angekaa lwa hiyo angekimbia uwanja mzima na show mpaka mwisho@@djhdscratchmaster4110 😅😅

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 ปีที่แล้ว +22

    Uyo ndio mond bwana hanaga show mbovu mauwa yake mpeni acheni wivu wa maendeleo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @frankymagatory1338
    @frankymagatory1338 ปีที่แล้ว +13

    Best performance all over the time, is Simba, anapumzi sana aiseee, hiii ndo tofaut yake na wengine

  • @imaniLameck-fd4eb
    @imaniLameck-fd4eb ปีที่แล้ว +7

    Harmonize ni Mwimbaji Mzuri Lakini kwa Mond ukasome natena usishindane naye huyo Mond mpaka wanyama wanamkubali paka mbwa panya hadi mende wakiusikia mziki wa Mond wanacheza

  • @MwajumaBona
    @MwajumaBona ปีที่แล้ว +4

    Yupo ukwenii acheni aoneshe njonjo zake❤

  • @FadhiliMbano-pc6hu
    @FadhiliMbano-pc6hu ปีที่แล้ว +2

    Duuuuh,,,🤔🤔🤔,,much love bro,,umeutendea haki uzinduzi wa New Amani Complex,,we ni zaidi ya unajua yaani

  • @SimbaTiger-qp4ss
    @SimbaTiger-qp4ss ปีที่แล้ว +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉mond ndo ico nagupendea kilasiku unakiasha kiukwel
    Kwel ubalikie❤❤❤❤
    From Burundi 🇧🇮♥❤💖

  • @PaulohNjengere
    @PaulohNjengere ปีที่แล้ว +2

    Mond mm ni msanii wangu wa muda wote mnakubali sana uyu mwamba kiufupi anajua kongole kwake

  • @BillingsXaveryNshullo
    @BillingsXaveryNshullo ปีที่แล้ว

    Ameshindikana mond big up sana

  • @MugishaJaja
    @MugishaJaja ปีที่แล้ว

    Uyu bwana anapamban kbx mungu akulind kbx mweny anakucukiy uyooo mcaw kbx

  • @atmblaise
    @atmblaise ปีที่แล้ว +4

    Salute from Kenya 😊

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 ปีที่แล้ว +12

    Mondi hanaga Dogo likija suala la jambo lake mpeni tu maua yake

  • @Danielngoiva
    @Danielngoiva ปีที่แล้ว +4

    huyu jamaa ni hatari xäna balaa ❤❤😊😊🎉🎉

  • @SulaKamuli
    @SulaKamuli ปีที่แล้ว

    Asenteeeee i love Diamond so much

  • @RamaNgari-b1d
    @RamaNgari-b1d ปีที่แล้ว +10

    Bigger than Asake 😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @BarackKakule-p9k
    @BarackKakule-p9k ปีที่แล้ว +2

    Fanya kama akina Fally Ipupa congo😅😅

  • @OlumIbrahim
    @OlumIbrahim ปีที่แล้ว

    Salama bro ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AzizaAbedi-d5r
    @AzizaAbedi-d5r ปีที่แล้ว

    Uyu mtu nishida jamani iyo sauti mwingin huwezi❤❤

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 ปีที่แล้ว

    Eee mwenyez mfanyie wepes anajuaa sanaa

  • @chaliwamombasatv605
    @chaliwamombasatv605 ปีที่แล้ว +1

    Uyu haezani live band

  • @ChristinNduku
    @ChristinNduku ปีที่แล้ว

    Uku Kenya tunasema liet Ka Pas yaani Moto kamapasi❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ShabaniMaige
    @ShabaniMaige ปีที่แล้ว

    Hajiamini na kazi yake
    Asa anaimba au anatufokea sasa mpaka saut inapoteza radha 😂😂😂😂😂

  • @tualibomomademomade5794
    @tualibomomademomade5794 ปีที่แล้ว +1

    ParCy
    Mozambique 🇲🇿

  • @zazalareine257
    @zazalareine257 ปีที่แล้ว +1

    Wee zombiie simbaa juu san🎉🎉🎉🎉 nakupenda mnoo🎉🎉🎉❤❤❤

  • @OFERAFLAMENCO
    @OFERAFLAMENCO ปีที่แล้ว

    Vro stay software

  • @EasterNgonyani
    @EasterNgonyani ปีที่แล้ว

    Huna baya tajiri ukifa huna baya mauwa yako 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 ปีที่แล้ว +2

    Hapa Ndio kuna utofauti kati ya mcheza mpira na yule kibonge mpenda mademu

  • @LucaSamweli
    @LucaSamweli ปีที่แล้ว +1

    So pw Yan ❤❤ simba

  • @Yohanamanila
    @Yohanamanila ปีที่แล้ว

    Salut broo ww namba Moko tu hapa bogo

  • @omarypetro3207
    @omarypetro3207 ปีที่แล้ว +3

    Simba la masimba ni 🔥🔥🔥

  • @mako331
    @mako331 ปีที่แล้ว +3

    Siku tutapata wana muziki, hakuna kutumia sound track hapo ndio nitaelewa mziki umekomaa, sasa unasikia sound track mara unasikia sauti ingine yani ni fujo tu sio mziki, ziko wapi zile music band za zamani walipiga live music ya ukweli

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h ปีที่แล้ว +2

    we zombie❤❤

  • @EnockMsigwa-q5p
    @EnockMsigwa-q5p ปีที่แล้ว

    We zombi❤❤

  • @NathanHaule-sj5ep
    @NathanHaule-sj5ep ปีที่แล้ว +2

    Sisi tulikuwa live ila hatukuona alichofanya zaidi ya kuzunguka na pikipiki tu

    • @meshack3266
      @meshack3266 ปีที่แล้ว +1

      Ulitaka akudinye ndo ujue alicho fanya au

  • @ndayikezaoscar3467
    @ndayikezaoscar3467 ปีที่แล้ว +1

    YANI INAUMA SANA: Zanzibar sehemu ya K8dini ila wanapeleka mtu anaimba matusi hivo. Yani yote hiyo ni kuua yale mawazo ya watu kuhusu uwepo wa MUNGU.
    ALAFU CHA AJABU: Jambo hilo linafanyika mbele ya Kiongozi mkubwa RAISI. Sasa unataka wananchi wako wajifunze nini??
    MIMI MKRISTO: Ila nawahurumia waislam waliokuwepo hapo maana nina 99% ya kwamba wengi wametoka hapo na mawazo potofu.

    • @tabiangonyani3526
      @tabiangonyani3526 ปีที่แล้ว +3

      Sasa ulitaka mda wa kuimba wavae magauni na kanzu nyie mkiona dini imewakolea sana please msiwe mnaangalia nendeni mkaswali mda wa ibada kwenu😂 uwo ni mziki2 wakimaliza hapo wanavaa hizo nguo mzitakazo cyo mnaanza kuhukumu watu kila mtu mbinguni anaenda kivyake

  • @BonifasLamek
    @BonifasLamek ปีที่แล้ว

    Chibudyyyyyyyyyyy ufai we mmbwaaaaaaaaaaaa❤

  • @kisiara8946
    @kisiara8946 ปีที่แล้ว

    Hi kiwanja iko mji gani?

  • @SefuSefuDjumaSelemani
    @SefuSefuDjumaSelemani ปีที่แล้ว +3

    Simba ata wakiungana awa wezi kuweza wewe ni bala

  • @POUSHDONNY
    @POUSHDONNY ปีที่แล้ว

    yeahp man

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 ปีที่แล้ว

    #ushikiki simba ww kiboko yao

  • @Feisal-hamad
    @Feisal-hamad ปีที่แล้ว

    Ajamaa ahema tu stima zikizima bila bavkground music show imekufa😂😂😂

    • @ShabaniMaige
      @ShabaniMaige ปีที่แล้ว

      Yaaaan 😂😂😂😂 nguvu nyingi saana 😂😂😂
      Amuoni kingi show zake no mapresha

  • @GabbyRomaniz
    @GabbyRomaniz ปีที่แล้ว +2

    We simba😂😂😂😂

  • @MussaMajissu
    @MussaMajissu ปีที่แล้ว

    Salut

  • @BakariMwandu
    @BakariMwandu ปีที่แล้ว

    Ao wanao mkmbza ndowanankeraga ataratbu ovyoo kbs

  • @jessykadaraja2691
    @jessykadaraja2691 ปีที่แล้ว +1

    Diamond amejaza huu uwanja.. Hii arena ni kubwa sana.. Maua yake

  • @zachaamaster5378
    @zachaamaster5378 ปีที่แล้ว

    #baba lao kubw lao

  • @RicardoMomo-vh6qu
    @RicardoMomo-vh6qu ปีที่แล้ว +2

    Boratu harmonize 😂

  • @JohnJohnchain-yp8ho
    @JohnJohnchain-yp8ho ปีที่แล้ว

    Noma san

  • @mbanjenyambega2525
    @mbanjenyambega2525 ปีที่แล้ว

    Kwakifupi Kwa Simba watasubiri sana

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 ปีที่แล้ว +1

    💖💕💖💕💖💕💖💯😍

  • @shabanhamis9094
    @shabanhamis9094 ปีที่แล้ว

    Biggest 🎉

  • @malaikabatty7255
    @malaikabatty7255 ปีที่แล้ว

    Simba la masimba

  • @claudiagabriel6673
    @claudiagabriel6673 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤

  • @paizinhosaide-cv9pm
    @paizinhosaide-cv9pm ปีที่แล้ว

    simbaaaa🙏🙏🙏

  • @BlessingTambatamba
    @BlessingTambatamba ปีที่แล้ว

    Wezombi wendo unashindanana ki na wizkid

  • @StephanohamisKasabo
    @StephanohamisKasabo ปีที่แล้ว

    Sema zanzibar wanamkubali sana konde

  • @theresiamshana
    @theresiamshana ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ziadamuhunzi6210
    @ziadamuhunzi6210 ปีที่แล้ว

    hamna kitu hapo kaka kweli nachokiona ni makel3l3 tu na fujo basi hamna kitu

    • @mohamedmanga8391
      @mohamedmanga8391 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 vipofu na viziwi kumbe pia mpo kundini

  • @gadsonsospeter5571
    @gadsonsospeter5571 ปีที่แล้ว +1

    Modini bala sana

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 ปีที่แล้ว

    Zanbar kwisha kabsa asili yake kwisha

  • @abdullahkotti3945
    @abdullahkotti3945 ปีที่แล้ว +1

    Komando komando

  • @SefuSefuDjumaSelemani
    @SefuSefuDjumaSelemani ปีที่แล้ว +1

    Baba

  • @Esdrasiglucky
    @Esdrasiglucky ปีที่แล้ว

    www.youtube.com/@Esdrasigofficial

  • @IdrisSudiMwagore
    @IdrisSudiMwagore 11 หลายเดือนก่อน

    Huyuu hanamfano

  • @KwizerJackson-is7fh
    @KwizerJackson-is7fh ปีที่แล้ว +3

    Hakika diamond nikiboko yawatoto Kama harmnaiz reyvanny nawengine washeji

  • @gwidjiqshabani2082
    @gwidjiqshabani2082 ปีที่แล้ว

    😂RUKARUKA ZOOTE KWA NYIMBO ZA KUDOKOWAA ZA WATU. YAANI N MIYAYUSHO.

    • @agogomgagagigigogo
      @agogomgagagigigogo ปีที่แล้ว

      Unajichekelesha kumbe unaumia kiaina coz kila ukimcheki mwana unatamani unaowashobokea ndo wangekuwa level hizo,kaah😂😂😂pole sana

  • @mulokozimwijage7507
    @mulokozimwijage7507 ปีที่แล้ว

    Manyimbo ya vichaa tu, hata huwezi kupata massage yoyote. Makelele tuuuuu

    • @___19965
      @___19965 ปีที่แล้ว

      If you want message go to a library and read

  • @StaphodKassim-t7i
    @StaphodKassim-t7i ปีที่แล้ว +1

    Wee zombii 😃😃

  • @hamisikambona8763
    @hamisikambona8763 ปีที่แล้ว

    Zanzibar wamezoea Qasida

    • @zmccenter123
      @zmccenter123 ปีที่แล้ว

      Nyie mmezoea umalaya usharizika

  • @pacifiquemuzo7446
    @pacifiquemuzo7446 ปีที่แล้ว

    Mziki umesha mshinda,kabisa anapigia watu kelele tuuuu !!!

    • @RamaNgari-b1d
      @RamaNgari-b1d ปีที่แล้ว

      Hujielewi unachokiongea

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 ปีที่แล้ว

      Jua kuandika kwanza

    • @pacifiquemuzo7446
      @pacifiquemuzo7446 ปีที่แล้ว

      @@kilungahamis1270 afazali wewe usiesaulika kuandika,mimi najuwa kwamba,kila mwanadam uwa anasaulika kwakuandika pia kwaku tamka.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 ปีที่แล้ว

    YAANI KWA UPANDE WANGU MAKELELE NDIO MENGI NA LONG SPEECH

    • @SwaleheSaad
      @SwaleheSaad ปีที่แล้ว

      Ukipunguza uchawi utasikia alichoimba kaka😂😂

    • @mwajumamrisho
      @mwajumamrisho ปีที่แล้ว

      😂😂😂 mbona uchawi🙌

  • @MrsMtilwa
    @MrsMtilwa ปีที่แล้ว

    Atadai kofia sasa iv subirini hapo hapo

  • @AntidiucLwezaula-im3co
    @AntidiucLwezaula-im3co ปีที่แล้ว

    Binadam wengne kama wachawi unaenda kutoa koment za ksenge wakat unachochte

  • @idrissahathumani5136
    @idrissahathumani5136 ปีที่แล้ว

    Mwamba

  • @AlhajiJumanne-g5e
    @AlhajiJumanne-g5e ปีที่แล้ว

    Hajafikia dak2 za Alikiba kwahy bado sana

  • @khadijakimana8809
    @khadijakimana8809 ปีที่แล้ว +2

    🔥 🔥 📛 👩‍🚒 🚒 🧯 🎆 🔥

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 ปีที่แล้ว +2

    Zanziber siwanajifanyaga hawapendi nguo fupi ?? Hiyo hapo sasa

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว

      WAZANZIBARI
      NA
      WAZANZIBARA
      @mishlay8164.Ni kweli kabisa Wazanzibari hawapendi nguo fupi lakini Wazanzibara ni mila zao na wanazipenda sana.

    • @DavidMakomba
      @DavidMakomba ปีที่แล้ว

      Zimevaliwa na wao sasa wataanza kuzivaa

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว

      NGUO FUPI NA RAIS KARUME
      Rais Karume alipiga Marufuku Ulevi pamoja na Nguo Fupi Uwanja wa Ndege hadi Mitaani.
      Karume alishiriki kujenga huo Uwanja na uliitwa kwa jina lake. Kama hakuondoshwa kwa jina la Mauwaji Hussain Ali, Mzaliwa wa Tanganyika asingekuwa Rais na kuruhusu nguo fupi Zanzibar.

  • @JemimaNyange-si8cr
    @JemimaNyange-si8cr ปีที่แล้ว +2

    We zombi

  • @salimjuma8877
    @salimjuma8877 ปีที่แล้ว

    Harmonize kakojoe ulale!! Au kasemaje?!

    • @ShabaniMaige
      @ShabaniMaige ปีที่แล้ว

      Kwa show gani au ni fujo tu 😂😂😂😂

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 ปีที่แล้ว

    Show gani anapiga makelele Tu hakun kitu tunaelewa

  • @ambrosekimingichi7322
    @ambrosekimingichi7322 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @theresiamshana
    @theresiamshana ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤

  • @Sila-x6n
    @Sila-x6n ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤