🚨Uchambuzi EFM,Yanga 1-0 Singida bs,Tathimini kiufundi dkk 90,Kocha Gamondi Anataka Yanga iheshimiwe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @GILBERTYUKANI
    @GILBERTYUKANI 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    mnachambua vzr sana nawapata nikiwa siha kilimanjoro

  • @MauBonde
    @MauBonde 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mechi na singida siwashauri timu yangu watoto wa jangwani wacheze mguu wa shingo mguu roho kimataifa kuna fitna nyingi ,unamungalia refa kama mbwai mbwai ., ......da ligi namba sita rafu hatari Africa sijui insurance siko Poa.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Waongo nyie, inamaana singida black star ilikuwa dhahufu? Yanga wanachotaka points siyo porojo.

    • @augustinomkongwa5444
      @augustinomkongwa5444 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Singida ni kigogo mkubwa wa soka Tanzania kwa sasa ndiyo maana gamondi alifungulia kidogo mbinu za klabu bingwa, singida ni mfupa mgumu kiliko kolozidadi

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Singida waliingia kama wapiganaji ngumi kupambana na mkubwa.