He left a 60 year old mumama to date a 40 year old mumama 😭 I can't believe even men do this 💔

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 396

  • @bettyngonga4999
    @bettyngonga4999 ปีที่แล้ว +17

    Wanjiku you are cameraman I've let you down today we cannot even see their faces and we want to know them we want to see them well😂😂

  • @nancyndegwa6933
    @nancyndegwa6933 ปีที่แล้ว +30

    Wanjiku wirk on your camera its not clear nimulike huyo mama asking for me and for 79 others

    • @grenia_
      @grenia_ ปีที่แล้ว +2

      Check in your settings, change resolution to a higher quality it will be clear

    • @rodahwesa6886
      @rodahwesa6886 ปีที่แล้ว

      ✋am Among the 79😂😂😂😂

  • @loureenwekesa3495
    @loureenwekesa3495 ปีที่แล้ว +8

    Sorry nancy😢 for getting hurt by someone you loved so much and helped him to become the better person

  • @thetruegospelministries
    @thetruegospelministries ปีที่แล้ว +11

    31 years old man, 50 years old woman, 60 year old and another 40 year old. I am lost. On the other side, Colo and Wanjiku munagongwa na wenzenu

  • @babewajeff
    @babewajeff ปีที่แล้ว +7

    Watu huwa wanawatch hixi kipindi na kusema single forever...😂😂😂😂😂😂😂amkeni wakenya😂

  • @umranim5854
    @umranim5854 ปีที่แล้ว +16

    Huyu mwanaume anavyo fanya si haki hata kama ameamua kutoka alitakiwa atoke kwa vizuri amuheshimu huyo mama kumsomesha kumfanyia vitu vingi halafu unatoka kwa vibaya Mungu hapendi iko siku atajutia

    • @lorraineatieno6544
      @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว

      I cant spent my mny kwa mwanaume...NEVER.

    • @lordymawoiya5818
      @lordymawoiya5818 6 หลายเดือนก่อน

      Mwaume please Kuwa mpole patia huyo mama eshima

    • @jeremiahchamakany6033
      @jeremiahchamakany6033 4 หลายเดือนก่อน

      Huyo mama hakufanya makosa hata kidogo. Yeye alijipata akiwa mjane, na Alitaka kujiheshimu kwa kukaa na mwanaume mmoja. Kweli huyo jamaa hakujua chenye alitaka coz alikua mdogo kwa umri walipokutana na Nancy. Hata kama alitaka mtoto, solution ni apate Baraka za Nancy achukue Waruguru, na awe na Two wives. Nancy ako na uwezo wa kumlaani sababu amekula pesa zake, na ametumia mwili wake miaka 10.

  • @martinomwayi6123
    @martinomwayi6123 ปีที่แล้ว +3

    Love is the a soft tissue that bears many injuries and broken several times but it still has to love again, so sorry for this guy to men don't use these women searching for love they are dangerous you might find yourself somewhere so far, the calmness of this woman shouldn't be taken for granted

  • @CharityWachira-zw9cf
    @CharityWachira-zw9cf ปีที่แล้ว +17

    Sanitize second wife.

  • @millicentmukoya1292
    @millicentmukoya1292 ปีที่แล้ว +6

    Hawa ma ben 10 hakunanga haja ya kuwaevalute juu hawanga asante watakucheat hadi na mtoi wako na ubakishwe heartbroken

  • @bwari01
    @bwari01 3 หลายเดือนก่อน +2

    Having a baby in 30s for a woman is NOT LATE. Watu wajipange before kuzaa. Teens having babies ain’t the biz…

  • @Esendi564
    @Esendi564 ปีที่แล้ว +3

    Team strong nadhani mnaona haya mnatumia mtu doo na ati love na yy ako na mtu mwenye anapenda mmmh mm kue mtu doo ati sponsored

  • @estherwahome9889
    @estherwahome9889 ปีที่แล้ว +13

    Wanawake sijui akili tumepeleka wapi nijipate nikipea mwanaume pesa nonsense

    • @CatherineMutuku-hd9vv
      @CatherineMutuku-hd9vv ปีที่แล้ว +1

      Tena boy mdogo khaiii definitely atakuacha akatafte MTU young Kama.yeye

    • @christineandiso1387
      @christineandiso1387 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 tangu nipe ex do zngn bdy akaniacha 😂😭 may his soul rest in peace😢

    • @lucykamau3168
      @lucykamau3168 ปีที่แล้ว +2

      Wewe naona tuko kimoja
      I agree with you
      MIMI SIEZI LEA MWANAUME.
      Am also a widow

  • @thetruegospelministries
    @thetruegospelministries ปีที่แล้ว +4

    The old woman should just consider this Like Okash asking for a loan repayment. Ama amefulizwa na Kijana.

  • @princessngethe1002
    @princessngethe1002 ปีที่แล้ว +6

    beauty fades, but values dont. it was not necessary to disrespect the older woman...

  • @Esendi564
    @Esendi564 ปีที่แล้ว +7

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢chukua gari yko kila kitu chako amaze life fresh juu sai ako na nazo mmmh mm naenza kuronga mtu akule mafi yk

  • @maryotieno3889
    @maryotieno3889 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wajaluo wajaluo wajaluo, nimewaita mara ngapi?

  • @winnyfred4013
    @winnyfred4013 8 หลายเดือนก่อน +1

    Putting yourself to one's shoe is very important,,,,,Today you are happy to cause another lady shade tears,,,,~~Tomorrow is you,,so as you do it,,wait for your turn,,God cant bless such things,,,,,

  • @rolinekathure3021
    @rolinekathure3021 ปีที่แล้ว +4

    I am asking my self for those old women marrying young boys if they have children will they accept them with their children if they really love them🥺🥺🤔 kitawaramba nyinyi wote,

    • @nonamenoname7420
      @nonamenoname7420 ปีที่แล้ว

      @Roline, I heard of a woman called Wamboi Otieno who married a young man who was her gardener. The children never accepted him. He was younger than her kids

    • @akothirene4317
      @akothirene4317 ปีที่แล้ว

      Same question am asking too

    • @eunicenjoki719
      @eunicenjoki719 7 หลายเดือนก่อน

      Haaa kumbe hizi tote ni michezo tu😊

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 ปีที่แล้ว +2

    I wonder y these widowed older women..go for these young boys for love n marriage. These boys r just after lustful, mny and properties..finally they leave wakishaomoka. I prefer ukifiliwa na mume just date a mature person outside sio ndoa.

  • @lucynangira4713
    @lucynangira4713 ปีที่แล้ว +6

    Huku pia nasikia ni vipindi tu😢

  • @MamaRozy-nl6wk
    @MamaRozy-nl6wk ปีที่แล้ว +7

    Huyu jamaa naona kikimramba

  • @nonamenoname7420
    @nonamenoname7420 ปีที่แล้ว +3

    Did I hear right?They met when he was 19? This world has come to a standstill.

  • @PurieJoe
    @PurieJoe ปีที่แล้ว +2

    1: fear men
    2: fear men again
    3: fear and fear men again

  • @gakiimiriti9809
    @gakiimiriti9809 ปีที่แล้ว +4

    Shameless man mdomo tu ndiye mingi and this 40 year old woman is also desperate, he will still move to another woman since hes used to older and hes not struggled to get anything.

  • @everlyneopaye2277
    @everlyneopaye2277 ปีที่แล้ว +6

    Some women pia,these young boys will send you into depression

  • @rosewanjuki
    @rosewanjuki ปีที่แล้ว +5

    Si huyu mama ni yule huact uriru wa wendo inooro tv, patricia kwa maria na ako zari. This is acting. But we are enjoying

    • @bricemwaniki655
      @bricemwaniki655 ปีที่แล้ว

      That is what I thought....Na amekonda Sana akh ... something is wrong

    • @estherkaraya3570
      @estherkaraya3570 7 หลายเดือนก่อน

      Yeah...she is the one ..adi kichwa kwa uriru hufunika Tu ivo

    • @MillicentWambui-i3p
      @MillicentWambui-i3p 4 หลายเดือนก่อน +1

      No she not the one

  • @timothyturunya7085
    @timothyturunya7085 ปีที่แล้ว +1

    He only marries women in their 40s

  • @bettyngonga4999
    @bettyngonga4999 ปีที่แล้ว +4

    This woman is just wicked 60 years with an 18 years oh my God let me tell you my dear woman you belong to jail how about if it was your son that have been taken with mumama how would you feel for sure and you young man even if you belong to a poor family is this how to look for money why can't you just work hard and God will bless you one day

  • @pendoonyango6676
    @pendoonyango6676 ปีที่แล้ว

    To my beautiful girl Rose ❤❤❤❤ this is great you guys will go far .

  • @miriammiloyo1212
    @miriammiloyo1212 ปีที่แล้ว +2

    Ati PHD 🙄 n he can't even express himself jamani

    • @nonamenoname7420
      @nonamenoname7420 ปีที่แล้ว

      He's under the influence of something, I guess

  • @AgnesEmma-t4s
    @AgnesEmma-t4s ปีที่แล้ว +11

    After all stress I have in marriage now proud to be single just to disturb peoples hasbans 😂😂😂

    • @Achie54
      @Achie54 ปีที่แล้ว +1

      I luck words to say but let me just lough 😂😂😂😂😂😂

    • @QueenventOmukhunya
      @QueenventOmukhunya ปีที่แล้ว +1

      😅😅😅😅😅 sharing is caring my dear

    • @STELLABUTE-fk5ee
      @STELLABUTE-fk5ee ปีที่แล้ว

      Kikikikikikikiki you are crazy.

    • @evemasai-bw4yj
      @evemasai-bw4yj ปีที่แล้ว

      Karen nyamu wewe 😂😂😂

  • @vincentngetich8672
    @vincentngetich8672 ปีที่แล้ว +2

    Let me cross over from opposition to Government

  • @rightblood1890
    @rightblood1890 ปีที่แล้ว

    Why can't you stop those hurting words,coz you are the same man you used to restore huyu mjane,then it might be a hard to roll your coming rock for God will keep His words kw mjane

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 ปีที่แล้ว +6

    Amepata pesa sasa anaishia,utalipa tu

  • @constancewakio604
    @constancewakio604 4 หลายเดือนก่อน

    I tap the spirit of the lady in red of not aging in Jesus name ...40yrs and she looks 20😋😋

  • @PurityAmbutsi
    @PurityAmbutsi 2 หลายเดือนก่อน

    Wah vile huyu mubaba amejikaza alafu apate huyu mama anamcheat vibaya atajimosya aje 😂😂😂😂

  • @timothyturunya7085
    @timothyturunya7085 ปีที่แล้ว +1

    Ako na nyota ya wamama!

  • @annekamau6738
    @annekamau6738 ปีที่แล้ว

    You dint have to show all this drama to Nancy....😢the future is unknown

  • @rosebullens5155
    @rosebullens5155 ปีที่แล้ว +3

    Be strong mama

  • @manager_inno
    @manager_inno 3 หลายเดือนก่อน

    I can feel the old lady's pain 😢

  • @bentaaliwa7897
    @bentaaliwa7897 ปีที่แล้ว +6

    Nancy ukiachwa achika tu mamai ushukuru sana Erick amekaa na weww 10 good years. Puzisa mwili mama. Ingia kanisani.

  • @mathastinner2691
    @mathastinner2691 ปีที่แล้ว +1

    This lost young man need help from the Lord Jesus Christ.

  • @lirripat425
    @lirripat425 ปีที่แล้ว

    This mama missed alot of love in her first marriage ,now she wants love thats why she is clinging to this young man ,pole mama

  • @rediahnyarangi5278
    @rediahnyarangi5278 ปีที่แล้ว +3

    The way people can 'anika' their dirty linen when they are in Angel's company

  • @treasureforashes3497
    @treasureforashes3497 ปีที่แล้ว +2

    Shameless man , a user, an opportunist

  • @NellyMidecha
    @NellyMidecha ปีที่แล้ว

    Yaani vile naendelea kuwatch hii reunion ,the way am still staying single aki ,Kama hii ni ndio ya maisha plz sitaki mtu wacheni niwe hivyo hivyo.

  • @mercygachiri6636
    @mercygachiri6636 หลายเดือนก่อน

    Nancy achilia hiyo kiatu iende,,,jitoe go to US enjoy life,,,

  • @kitimwango9286
    @kitimwango9286 ปีที่แล้ว

    Colin's kwani huwezi Ku zoom tukaona face zao in fully screen Kwani ni lazima uwaonyeshe wote pamoja na unatulia huwwzi Ku on yes ha huyu mara huyu❤

  • @EssyEssy-to8yk
    @EssyEssy-to8yk ปีที่แล้ว

    There are many way to leave or separate wth thr person who loved u and she once helped u not this way , and young girl it's not good to laugh at ur fellow lady this world is round

  • @ayubkamau5130
    @ayubkamau5130 28 วันที่ผ่านมา

    Fara,huyo mtoi sio wako

  • @aheebwaeve8749
    @aheebwaeve8749 ปีที่แล้ว +3

    Wonders in Kenya will never end😂😂😂

  • @CharityWachira-zw9cf
    @CharityWachira-zw9cf ปีที่แล้ว +3

    He is the ceo of second wives company.

    • @babewajeff
      @babewajeff ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @julianamutheu779
    @julianamutheu779 7 หลายเดือนก่อน

    Aty mjamaa anakaa poa😮😮😮😢

  • @janewaithes5183
    @janewaithes5183 ปีที่แล้ว

    This is too much,no grand children for your parents aki?wooi

  • @beller9304
    @beller9304 ปีที่แล้ว +2

    The guy was following money but no love

  • @reemaalwad3ani616
    @reemaalwad3ani616 ปีที่แล้ว

    Sasa weye mama kwanini hukutafuta likayako uyo Eric angaliki mudogo nilazima ahitaji watoto

  • @quinterouko2329
    @quinterouko2329 ปีที่แล้ว +4

    😢Luo men will never disappoint

    • @maryotieno3889
      @maryotieno3889 4 หลายเดือนก่อน

      After God fear them

  • @marywanjiku9342
    @marywanjiku9342 ปีที่แล้ว

    Wanjiku umekuwa jay na bella

  • @DavidDavid-wf5ug
    @DavidDavid-wf5ug 3 หลายเดือนก่อน

    Eric acha kuwa arrogant huyo mama amekutunza sana 10 yrs siyo ndogo

  • @emmakavumbi-uv1oq
    @emmakavumbi-uv1oq ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa ndo anakaa poa😂😂😂😂😂Uwiiiiiii😂😂😂😂

  • @evemasai-bw4yj
    @evemasai-bw4yj ปีที่แล้ว

    Hii courage ya huyu mwanaume intro 😅😅😅😅😅😅

  • @dorcaswambui7821
    @dorcaswambui7821 6 หลายเดือนก่อน

    You understand this man, he need kids wewe mum wa 50+ leave them wazae si you hv yours
    Ulindanganywa ukatoa pesa

  • @millicentmukoya1292
    @millicentmukoya1292 ปีที่แล้ว +3

    31-12=18 weeeeuh aki hata bado akili haijakoma bado mtu hajitambui na unamkelea majukumu ya kuwa bwana

  • @damariskissy-pj4qh
    @damariskissy-pj4qh ปีที่แล้ว

    Yaaniiii ,🤔🤔 dating 60yrs old?? Na yeye ako na ngapi😢

  • @esthersimiyu2276
    @esthersimiyu2276 5 หลายเดือนก่อน

    Lakini wanawale tujieshimu😢😢Sasa mbona uoleke Kwa Rika la watoto wako?wewe huko na watoto kijana Hana mtoto hata mmoja😢 surely,mi Niko single Nina watoto watatu,nimeanza 40,na ninakaa mdogo hata hukiniona huwezi jua lazima nikwambiye,niliachana na mmewangu nikiwa 34years,nilikataa kuolewa nikachagua kufanya kazi watoto wangu wapate riziki,nikitaka mtu ,ni 50, years sitaki watoto wadogo wa 35, years aibu sana,kijana 30 wewe mama ni 50,huoni hakiwa mwanao,vibaya sana,ona vile huyu kijana amekuwest Sasa mama,ungeolewa Kwa Rika lako tu mom mtu ambaye tayari Yuko pia na watoto,Iko asikusumbue mambo na kutaka watoto mom,am sorry mungu akusahidiye 😢😢

  • @christabelimonje4964
    @christabelimonje4964 ปีที่แล้ว +2

    Huyu kijana atakuaja tuu.mm sina space for broke guy's

  • @RuthMokeiraomaoroOmaoro
    @RuthMokeiraomaoroOmaoro 4 หลายเดือนก่อน

    Mshipa wa kujitakia😂 how do you marry a boy younger enough to be your kid,40 and 19 seriously 🤷‍♀️

  • @nancychesang9567
    @nancychesang9567 ปีที่แล้ว +4

    Natoa nguvu wapi ya kulisha mwanaume for sure

  • @preetyfavor2222
    @preetyfavor2222 ปีที่แล้ว

    That why I don't believe in this thing of age is just a number ,,marry the man older than you or your agemate and if he must be younger then let it be like 2 to 3 yrs na isipite hapo

  • @millykeran9234
    @millykeran9234 ปีที่แล้ว +3

    This guy was my classmate 😂😂😅.
    For the first time I've seen someone I know on the show 😂

  • @marykariuki3098
    @marykariuki3098 6 หลายเดือนก่อน

    Na si juyu mama wa inoro alisema hana mtoto haki script 😅😅😅😅😅😅😅

  • @lightnesselirehema1464
    @lightnesselirehema1464 5 หลายเดือนก่อน

    Mwache kijana aende mama.

  • @MercyNjoroge-w2c
    @MercyNjoroge-w2c ปีที่แล้ว +3

    It's very painful. Ben 10 wewe 😂

  • @meg-iv1sw
    @meg-iv1sw ปีที่แล้ว

    He was there 4the money he is stable now doesn't need her.these days you can't grip a man to be stable and be yours he can leave you be wise

  • @bridgitsimon7447
    @bridgitsimon7447 8 หลายเดือนก่อน

    Anakaa poa wapy😂😂

  • @WeddyKathambi-b6g
    @WeddyKathambi-b6g 5 หลายเดือนก่อน

    Take it easy Nancy

  • @chebet625
    @chebet625 ปีที่แล้ว

    Ongea tu kiswahili kijana!! Wacha kutranslate😅😅

  • @liliannyabuto8007
    @liliannyabuto8007 ปีที่แล้ว +1

    Ati rangi ya thao😂😂

  • @AnneKhasoa-fy3zw
    @AnneKhasoa-fy3zw ปีที่แล้ว +2

    The first one 😊

  • @HopeOlactar-pq3vy
    @HopeOlactar-pq3vy ปีที่แล้ว +2

    Michimichi❤❤❤😂😂😂😂aki mens

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 4 หลายเดือนก่อน

    Spirit for older women😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @magiiky7497
    @magiiky7497 3 หลายเดือนก่อน

    Jesu.... Old mamas.... Weuh this man is on another level

  • @estherkaraya3570
    @estherkaraya3570 7 หลายเดือนก่อน

    To me as a woman...that age gap i will count him as kihii giakwa😂😅

  • @maryotieno3889
    @maryotieno3889 4 หลายเดือนก่อน

    Na anakaa aje huyu jamaa😂😂😂😂

  • @MercyNjoroge-w2c
    @MercyNjoroge-w2c ปีที่แล้ว

    Nancy you are very beautiful. You will find another one.who will love you back

  • @PriscaAnyango-k1s
    @PriscaAnyango-k1s 3 หลายเดือนก่อน

    Mwamme ,hata huyo sio rika yako,Nancy ni mrembo lakini

  • @susannyawira6143
    @susannyawira6143 ปีที่แล้ว +3

    Hizi scripts wallai 😢

    • @Joblukobruno
      @Joblukobruno ปีที่แล้ว

      unachoma wacha tuenjoy show

    • @lenny87204
      @lenny87204 ปีที่แล้ว +1

      Kamati ya roho chafu ! Bring your own scripts we watch !

  • @KhalifaMohamed-x6d
    @KhalifaMohamed-x6d 2 หลายเดือนก่อน

    When deal is too good think twice

  • @periswanjikumunyaka
    @periswanjikumunyaka ปีที่แล้ว

    Wangui WA maknga

  • @MohamedWario-vb3cq
    @MohamedWario-vb3cq ปีที่แล้ว

    Nancy Çhukua ngari na mali zako kwake hii ni mwanaume akumbuki yalio pita

  • @mercywangechi560
    @mercywangechi560 7 หลายเดือนก่อน +1

    Why is the society so cruel to women? If it was an older man with a young lady ingekua sawa. Let women be, actually this guy is unfair to this lady.

  • @patiencemwandairo5434
    @patiencemwandairo5434 ปีที่แล้ว

    40 year pia wewe utaachika mama this man is a kitombi utashangaa mama mwanzo wewe utaachwa Na watoto this man is just enjoying himself with older women.n😢

  • @MosesKihagi
    @MosesKihagi 8 หลายเดือนก่อน +1

    for whose hands are we saved🤣🤣🤣🤣

  • @juditholotu7249
    @juditholotu7249 3 หลายเดือนก่อน

    Wanawake unapata wapi nguvu ya kumpa hela mwanaume jamani

  • @Thedee1335
    @Thedee1335 5 หลายเดือนก่อน

    Nancy naye alioa mtu wa miaka ishirini?

  • @Tugengirl1931
    @Tugengirl1931 ปีที่แล้ว +4

    Alafu mtoto sio wake hahaha huyu jamaa ataloose everything guok

    • @MaryNdungu-k3x
      @MaryNdungu-k3x ปีที่แล้ว

      Can'twait to see😂😂😂

    • @Tugengirl1931
      @Tugengirl1931 ปีที่แล้ว

      ​@@MaryNdungu-k3xsasa ametoka kwa mmamaz wa 60yrs ameendea maskini mmamaz wa 40yrs kumbafu ya mwanaume

    • @messaabbas739
      @messaabbas739 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @treasureforashes3497
      @treasureforashes3497 ปีที่แล้ว +1

      Yeye ni guok kubwa sana ,atalilia chooni

    • @christineOsuru-f9j
      @christineOsuru-f9j ปีที่แล้ว +1

      Exactly acha tu wajichoche hapa kijana atalia

  • @mercykairuthi1927
    @mercykairuthi1927 ปีที่แล้ว +2

    Nilikuwa nafikilia ni real kumbe ni vipindi😅

  • @sylviaokoth2972
    @sylviaokoth2972 ปีที่แล้ว

    Is this the same lady acting zari. The lady in long dress

    • @dorothymuhonja1582
      @dorothymuhonja1582 ปีที่แล้ว

      Yeah,l think so,l don't watch Zari but l've seen her in local Tv shows

  • @danielkamau5310
    @danielkamau5310 ปีที่แล้ว +1

    Wife material given to a bad tailor will always cause commotion😢😢😢Itabidi utembee kwa speed uzi zilizoshonwa mbaya zisionekane😂😂😂😂.Red flags my friend didn't came for the wedding -Boychild hakuambia mabeshte wake.Waruguru in the kitchen pesa ni kama omo,omoka na pesa za shosh tu juu naona huyu waruguru ni mkwanja na mitungi inawachanganya

  • @sheilahbarongo3653
    @sheilahbarongo3653 ปีที่แล้ว +2

    Hixi content ufunza mengi