Hiki ndicho hamas walimtaarifu Israel mapema sana mara baada ya October 7,2023.Israel wakakataa wakijiamini kwamba wangewapata kupitia vita jambo ambalo halikuwezekana hata kidogo Laiti Israel angekubali mapema tu kusingekuwa na vita.Sasa Israel wamerudi mlemle tu kwenye mapendekezo ya HAMAS ya tangu mwanzo.
Wewe unatuonesha kama ni miongoni mwa Mashoga!kama huyo shoga mwenzako Trump ni kidume angelizuia wafungwa wa Kipalestina wasiachiwe!yaani muizraeil 1 Kwa wapalestina 50?Nani kidume hapo?
Alhamdulilah❤
Safi sana
Mashallah allah mkubwa
Alhamdhulillah mungu ni mkubwa
Kimsingi Hamas wamefanikiwa na kufaulu sana katika vita hivi.
Hivi nani mshindi kwa Orodha hiyo ya 1 kwa 50??.
Kimsingi hamasi wamefanikiwa na hii vita wameishinda
Mpaka muuwane ndo mpatane mgepatana kabla hamjauwana
Wabishi ni Israel ndio waliokataa mapendekezo haya ya HAMAS.Sasa Aibu ni Kwa Israel 😂😂😂
Hiki ndicho hamas walimtaarifu Israel mapema sana mara baada ya October 7,2023.Israel wakakataa wakijiamini kwamba wangewapata kupitia vita jambo ambalo halikuwezekana hata kidogo Laiti Israel angekubali mapema tu kusingekuwa na vita.Sasa Israel wamerudi mlemle tu kwenye mapendekezo ya HAMAS ya tangu mwanzo.
Mi nimeona Israel walitaka kulipa kisasi cha October 2023 kwa kuuliwa wenzao na Israel nao wakaona waue watu kwanza
mwisrael 1=50hamas soldiers
Unashangaa?au ndio mkataba waliokubaliana maana wapalestine Zaid ya elfu 10 wapo gerezani huku Hamas ikiwa na mateka wachache
@@yassinhamza1969hua hawaelewagi hawa watu ni vizibo tu Allah ajalie salama na amani kwa uma wa Kiislamu
Trup anatusha.....aliwaambie msipo waachia kabla sijaapishwa naona ndicho kinacho tekelezwa.
Wewe unatuonesha kama ni miongoni mwa Mashoga!kama huyo shoga mwenzako Trump ni kidume angelizuia wafungwa wa Kipalestina wasiachiwe!yaani muizraeil 1 Kwa wapalestina 50?Nani kidume hapo?
Hujui kitu wewe
😂😂😂 unaonekana hujui unachokiongea.