Tommy flava ni msanii mzurii sana ukitaka kujua ilo before King's aliwai kutoa ngoma na khaligraph jones🔥🙌 Ila kings Music imeua speed yake na kipajii pia jamaa amepoa sana kwenye mziik ile Senior yakusema umasoma michezoo haipo unakua umeachia watu nafasiii Kwa vanilah anacho kifanya ni sahihi kabisa pia mziik wa bongo unataka hivo ili uweze ku survive kwenye game But badooooo📍 hana smash HIT mtaaniiii AKAZE💣📌
Na taka vanilah afaye remix ya song waulimwengu ya SAM WAUKWELI
Vanillah mkalisana na tommy flavour
Tommy flava ni msanii mzurii sana ukitaka kujua ilo before King's aliwai kutoa ngoma na khaligraph jones🔥🙌
Ila kings Music imeua speed yake na kipajii pia jamaa amepoa sana kwenye mziik ile Senior yakusema umasoma michezoo haipo unakua umeachia watu nafasiii
Kwa vanilah anacho kifanya ni sahihi kabisa pia mziik wa bongo unataka hivo ili uweze ku survive kwenye game But badooooo📍 hana smash HIT mtaaniiii AKAZE💣📌
Kabra ykua King music alijulikana sehem gan yeye ndie ameshinwa kujiendeleza mbna vanillah ameweza
@Mzalendo_tz Ndo Nini sasa? Unataka nikujibu hata uandishi wako sijauelewa andika vizurii kijana
shida ya tommy ni kujiskia yeye na k2ga wanajiona wameshamaliza na kuliko huyu vanila anajua kujipromot
Moja ya wasanii nao wapenda kings wenye talent ni hawa
Kali ❤
Wa kwanza
Ni nan huyu......
Nimekupenda Tommy wwe unakitu
😁😁😁😁😁
Tommy hauja tendeya mziki haki mwaka jana
Watoto wa king ❤❤❤
Sema mwanetu vanilla acha hiyo mikogo mzee baba wauni tutakukataa na tukikukataa utapata tabu sana kwasababu mzee wewe bado una safari ndefu
Mikogo gan kafanya mbona una roho ya kukunja ww
Oya naombeni mtu anaweza kunielekeza wapi naweza kupata ngoma yake KIMBUNGA alioimba Billnas I mean NENGA MAFIYOSO anijuze
Kwani roma na mwana fa nani mkali
Tommy ni package bhn anajuwa kuongea kujielezea vzr Vanillah badoooooo kabisaaaaaa anajivutaaaaa kuongeaaaaaa
th-cam.com/video/2TWYctiAP4k/w-d-xo.htmlsi=gY8n6ZwnWngxIr-1😂😂👈👈