Hii ngoma unanikumbusha mbali Sana wakati huo Sina kazi Sina pesa Yani nikuwa natembea magomeni mwembe chai mpaka mwenge kwa miguu napita kwenye baa ubungo ndio ngoma inapigwa aisee maisha haya acha tu
Nyimbo hii alitungiwa special kwa kakaangu pedesheee Dr. Rama kipindi anaona sikosei miaka ya 2001 pale tcc club chang'ombe aisee watoto wa tmk tandika tujuane.
Hii ngoma unanikumbusha mbali Sana wakati huo Sina kazi Sina pesa Yani nikuwa natembea magomeni mwembe chai mpaka mwenge kwa miguu napita kwenye baa ubungo ndio ngoma inapigwa aisee maisha haya acha tu
Ally Koboko kumbukumbu ya maisha.Yote ni safari na Mola akupe mengi mazuri
@@mawazochanya2081
Amiinii
Hatar sana
😊😊
2023….??TbT twanga pepetaa❤️❤️❤️🥰🥰
Daah Ally choki brother wewe sijawahi kuichoka sauti yako toka ule mwaka 98
Dah! nasisimuka tu hapa...unanikumbusha mengi 2001..happy with tears.
Furaha yangu haitokamilika lailae kabla sijafunga ndoa na wewe.....nice song keep it up twanga pepeta
Siku hzi Twanga wanachelewa kuanza. Na wakianza mbwembwe nyingi. Like kama wanafanya kazi bure. No vakue for money at all!
Daah kitambo xn ,,2001 enzi hzoo binamu yang Leah anaolewa ilikuw poaah xn ,,,bendi hii ilikuw imekamilika xn wapumzike kwa aman waliotanguliaa@@🙏🙏🙏
Kumbe Leila alikua mke wa Dr Rama
Choki hatarii sana
Weka ma remix baba..twanga bendi ya watoto wa mjini..
Hii ndio twanga ninayoijua hitaludia tena choki'amigo'ruiza 'semuhando'jesca mcd'jojo,
Riziki Kupaza umemsahau mmoja hapo Victa mkambi
Ktk solo guitar yupo Kizunga hapo alijituma sana.RIP
Vocalist Kambarage
😭😭😭😭 dah 21 years ago 😢😢
Twanga hii ilijaa talents. Hawa washikaji zetu wa twanga ya leo makuzi mengi
Hawa jamaa wa siku hizi makuzi, pozi nyingi. Wanajiaharibia sna. Wanashindana kuvaa nguo za kubana bana tu
Kabisa tena wanazngua choki nae sasaivi anaznguwa2
@@omarymohamed6590 Hawajijui kama wapo kazini
Hii ndo ilikuwa Twanga pepeta bhana
Rest in peace Abou Semhando"baba Diana",Amigoras, MCD,Aisha Madinda,Pendo Bonzo
RIP also Kizunga aliyepiga solo guitar ktk wimbo huu
Ngoma hii acha tu
R.I.P Leyla mke wa Dr Lama
😢😢😢 nilikuwa nakaa nae jilani mbagala charambe
Twanga imetimia hapo bhana, acha kabisa
Daa! Kitambo sana zakale hutunzwa
Ingependeza zaidi uweke na Remix ya wimbo huu
Jaman nataman iyo twanga irud lakin ndiyo bac 2mepoteza wa2 muhim japo wengine wapo lakin umoja no nguvu
Hii ndo ilikuwa twanga bhana
old is gold
Haitoweza kutokea Twanga Pepeta hii. Walikuwa wamekamilika kila idara..
Leaving memories.
Ally choki' unatisha bloo!
Kuna utofauti kubwa wa twanga hii na ya sasa...dada asha fanyia kazi hii tafadhali...
2020 nazipenda zilipendwa za twanga pepeta.
Zilipeta na bado zinapeta hongera kwa watunzi na waimbaj Wa Band hii (Twanga pepeta)
any 1 2019
Mawazo yangu tu, twanga hii haifanani na ya sasa
nakumbuka mbali sn hii twanga haitakuja tokea tens rest in peace abuu semhando MCD tumba general banza stone hakika mungu ni muweza
Saf Sana wakat huo nilikuwa ndio nimeolewa wapi Ally chok
Banza hakuwepo hapa
Busu 2001
Hakika
duuu hatari sana aisee 2019
Nyimbo hii alitungiwa special kwa kakaangu pedesheee Dr. Rama kipindi anaona sikosei miaka ya 2001 pale tcc club chang'ombe aisee watoto wa tmk tandika tujuane.
Nikweli alikua kamuoa Leyla.
But Leyla katangulia mbele za haki
Yani dah😢😢 leyla alikuwa akiniuzia bidhaa dukan kwake pale charambe nlikuwa nipo kwenye show arusha nikasika kafariki kifo bhana
Twanga pepeta 2001 hio hakika ilikuwa moto.
Amigo RIP
Zilipendwa lkn mpk saivi bdo zipo kwenye chat
Muziki ulipokuwa unaitwa muziki.
Hawa ndio walikuwa waimbaji
Kilajambo kama msimu huja nakuwondoka
👊🔥