UTAJIRI UMENIPONZA MAGDALENA VOLUME 11

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @MwajeiKhamis
    @MwajeiKhamis 8 หลายเดือนก่อน +1

    Anayesikiliza 2024 tujuane

  • @garikiganjani9163
    @garikiganjani9163 4 ปีที่แล้ว +5

    Dada'angu ahsante Sana kwa program ako nzuri sanaaaa

  • @sarahkitindi3420
    @sarahkitindi3420 3 ปีที่แล้ว +3

    Mganga hajawahi kumwacha mtu salama acha tujiweke kwa mwenyezi mungu zaidi

  • @giseraheneriko9357
    @giseraheneriko9357 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwakel simulizi nzuri ni fundisho sana tunajifunza zaidi ubalikiwe Dada velonica

  • @devothaatilio2933
    @devothaatilio2933 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Dada unasimulia vizur sana najifunza vitu ving kupitia simuliz hiz

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante dada nilikua nasubir hii movie mungu akubariki dada

  • @peterwilliam1043
    @peterwilliam1043 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante Sanaa dada Veronica najifuza mengi muno

  • @naomisamatwa6690
    @naomisamatwa6690 4 ปีที่แล้ว +5

    Hakika jmn dunia imejaa mambo mengi ya kutisha tuache tamaa dunia mapito

  • @hijahsaidy1562
    @hijahsaidy1562 4 ปีที่แล้ว +3

    Waganga si watu wakuwazoea mungu ndio njia ya kweli

  • @ramlamohammed1661
    @ramlamohammed1661 4 ปีที่แล้ว +4

    Maisha Yana Mengi mno

  • @mussasogody5307
    @mussasogody5307 4 ปีที่แล้ว +4

    Sister vero it's good stor

  • @costantinomponda4548
    @costantinomponda4548 4 ปีที่แล้ว +1

    Pesa hiyo ...Pesa inaleta matatizo...We mwenyezi Mungu tupatie pesa kwa njia zilizo za halali.Si pesa zenye damu za watu.

  • @salehali4saleh19
    @salehali4saleh19 4 ปีที่แล้ว +3

    Shkamoo dada
    Simulizi hii km inatolewa movie hakika itauza sana

  • @anthonyandrea6193
    @anthonyandrea6193 3 ปีที่แล้ว

    Yeah kwangu ni kimbilio mwingi wahuruma tele

  • @nicholasundesonsango564
    @nicholasundesonsango564 4 ปีที่แล้ว

    Dada veronika mungu akujalie miaka mingi ya kuishi uzidi kutuerimisha

  • @celinagadiel4634
    @celinagadiel4634 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuuuh
    Dunia hiii ina mambo mengi sanaa😭

  • @veronicaprincess266
    @veronicaprincess266 4 ปีที่แล้ว +2

    Dada v mungu akubariki amekujali sauti nzur ya kusimulia 😍

    • @charliejimmy5160
      @charliejimmy5160 3 ปีที่แล้ว

      A trick: watch series at flixzone. I've been using it for watching a lot of movies recently.

    • @andersmilan6937
      @andersmilan6937 3 ปีที่แล้ว

      @Charlie Jimmy Definitely, I have been watching on Flixzone} for since december myself :)

    • @caseyjaxtyn453
      @caseyjaxtyn453 3 ปีที่แล้ว

      @Charlie Jimmy Yea, been watching on Flixzone} for years myself =)

    • @melvinerik6565
      @melvinerik6565 3 ปีที่แล้ว

      @Charlie Jimmy Definitely, I've been using flixzone} for months myself :D

    • @edenty1716
      @edenty1716 3 ปีที่แล้ว

      @Charlie Jimmy Yea, I've been watching on Flixzone} for since december myself :D

  • @jacklinejerr2447
    @jacklinejerr2447 ปีที่แล้ว

    Nilidhan nimesikia yote kumbe bado bhana aya mazito kwakwel kuna mtu anaish haya😮

  • @jeromemack4356
    @jeromemack4356 4 ปีที่แล้ว +1

    Dada zauzima. Samahani story ya magdalena mbn sioni seem ya 12 ??

  • @talalalbarwani4165
    @talalalbarwani4165 4 ปีที่แล้ว

    Mungu atupe mwisho mwema

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 4 ปีที่แล้ว

    Asante Sana da Veronica🙏🌹

  • @mussasogody5307
    @mussasogody5307 4 ปีที่แล้ว +1

    Amin iman hurudisha wa2wake kwa mungu

  • @fredyjohnwaifakaratanzania29
    @fredyjohnwaifakaratanzania29 4 ปีที่แล้ว +1

    Utajili huu jamani daaaah

  • @zeramohamed9672
    @zeramohamed9672 4 ปีที่แล้ว

    Je simulizi hii niyakweli au naomba jibu

  • @estarkapinga6126
    @estarkapinga6126 3 ปีที่แล้ว

    Simulizi zote ! Ila hii dada v kiboko

  • @catherinesingano7630
    @catherinesingano7630 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuwa wapili

  • @jacklinemartin5869
    @jacklinemartin5869 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamanii hii dunia kweli tambala bovu duh😥

  • @zakayokalinga6273
    @zakayokalinga6273 4 ปีที่แล้ว

    Kwa haraka haraka magradena alikuwa mtu wa njombe, na hiyo hospital itakuwa ya ikonda inapatikana makete

    • @SabrinaJoshua-rc8kt
      @SabrinaJoshua-rc8kt 10 หลายเดือนก่อน

      Uongo mtu wa Lindi vijijini na alienda ngende...na iyo hospital ni ipo Lindi mjini inaitwa Kwa bigirigita

    • @pendorobert3552
      @pendorobert3552 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @pendorobert3552
      @pendorobert3552 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@SabrinaJoshua-rc8kthuko nasikiaga ni hatar kabisa

  • @dearuda9315
    @dearuda9315 4 ปีที่แล้ว +1

    Hatary

    • @manjaugodwin7834
      @manjaugodwin7834 4 ปีที่แล้ว +1

      Dah dada unajua kusimulia Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi

    • @manjaugodwin7834
      @manjaugodwin7834 4 ปีที่แล้ว +1

      Upo vzr sana Mungu akupe haja ya moyo wako