Habari za Nipashe ~ December 25, 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @faresealmediatv
    @faresealmediatv 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    😭😭😭Mungu asimame na vijana

  • @kamwende
    @kamwende 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Sasa kenya imekuwa kama Uganda wakati wa idd amini

  • @SamuelMathenge-gp6ye
    @SamuelMathenge-gp6ye 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Kushika vijana sasa inasaidia nani? Na wengine wanashangilia serikali na kuiabudu.

  • @magdalinekenneth7238
    @magdalinekenneth7238 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Ruto hajaongelea utekaji nyara wa vijana so inaonekana wazi kwamba anahusika ameenda kung,ang,ania chanjo za upuzi

    • @deeruta9894
      @deeruta9894 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni nani kama sio yy na police wake, si joho alisema atawakujia vijana wamitandaoni

  • @mwanarusimusa3620
    @mwanarusimusa3620 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hii Kenya hata ni heri huo ukoloni mwenyewe kuliko ukoloni mamboleo.

  • @elviswabwire1747
    @elviswabwire1747 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    thanks for your news and the best RMS in east and central
    africa❤❤🎉🎉

  • @remmykasili2914
    @remmykasili2914 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Its disheartening. Power is transitional. May the Lord who hears the cries of his people protect the young men.

  • @PhionaOntita-n3e
    @PhionaOntita-n3e 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Baba wachana Au okoa Kenya inch yachomeka zakayo asikii wewe ndio unamueza zakayo

  • @IreneKwamboka-h4k
    @IreneKwamboka-h4k 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Thanks for your news

  • @luci8764
    @luci8764 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    God protect our young guys, the darkness is coming soon.

  • @SamuelMathenge-gp6ye
    @SamuelMathenge-gp6ye 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wale wanasuport serikali ya Kenya Kwanza kwanini hawaongei haya? Aibu kubwa

  • @lameckondieki4756
    @lameckondieki4756 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Na hao watoto wa streets wanakula wapi siku 364 ndio muwapee chakula krismas? Eti Kanisa my foot.

  • @Onyancha-v9d
    @Onyancha-v9d 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yoh

  • @stevenjenga506
    @stevenjenga506 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ruto should set free this boys ad young girl 😢

  • @christopherg2967
    @christopherg2967 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kenya 😢😢

  • @AlexanderMwongeraJohn-jx8xx
    @AlexanderMwongeraJohn-jx8xx 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Is this the way they're showing us or the next generation. Where are we heading to my fellow Kenyans. When will this end anyway this thing has worried me seriously even if the missing ones are not my friends, brothers nor relatives and we don't know each other but...💔💔💔 until when

  • @KipsilgichKe
    @KipsilgichKe 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂