Amen Mungu bariki watumishi wako ponya na chi yetu pia ukimtukuza Mungu yy huinua ila kuimba kwa kujibariki mwenyewe INA kuwa ngumu kujua uzuri wa Mungu wetu kaka Kazi nzuri sn tunapona Sana.
Huu wimbo unaonyesha nikiasi gn muimbaji anamjua anayemwimbia, MUNGU azidi kukupaka mafuta ktk utumishi wako.......MUNGU uinuliwe unayefanya mambo makubwa,GOD of wonders, GOD of mercy and miracle,🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Huu wimbo umenigusa Sana hakika Mungu azidi kkpa mafunuo kama nawe imkbariki weka like yako hapa
Barikiwa sana mtumishi wa Jehovah kazi hii ni njema sana,uinuliwe Mungu ufanyae mambo makuu kwetu
Waoo Mungu akuinue zaidi mtumishi wa Mungu.
Kazi nzuri sn Frank, nakuombea kwa Mungu azidi kukubariki
Wimbo Huu unitiya Moyo sana
Kusema ukwel sichoki kusikiliza hii nyimbo , inanitia sana nguvu 🌹 .ubarikiwe mtumish wa Mungu kwa ujio mpya
Kazi ya shemej producer
mwalemi tsitso khakha bhane ungolove akhutange
wimbo mzuri sana mtumishi
Kazi nzuri sana mtumishi wa Mungu....ubarikiwe
Kazi nzuri mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana Mungu azidi kukupaka mafuta na kukupa maono juu ya utumishi huu .
Ubarikiwe kaka kazi nzuri.
Ubarikiwe bro kwa nyimbo nzuri
Mungu akubariki dada vicy
Mwalemi sidzo.
Mungu akubariki kwa Kazi nzuri sana
Wimbo mzuri sana kaka angu barikiwa sana
Hahaha thank you my God unafanya mambo makuhu kwer kasa 🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️
Nyimbo nzuri sana inabariki sana
Mungu ibariki kazi hii,wimbo huu umenibariki sana
Av been practising and on sunday ntaiimba kama praise 🙂🙂
Wimbo una upako sichoki kuusikiliza
Saf xana wajna mungu aendelee kukupa uzma na utashi
Hongera Kaka💯
Wimbo umejaa mafuta ya roho mtakatifu
Mungu akuinue zaidi mtu wa Mungu wimbo mzuri Sana
Barikiwa mtumishi wa MUNGU kwa nyimbo nzuri endelea kunyenyekea utafika mbali kuliko unavyofikiri.
Hongera sana kaka yangu,kazi nzuri sana.
Kazi njema kaka
Amen Mungu bariki watumishi wako ponya na chi yetu pia ukimtukuza Mungu yy huinua ila kuimba kwa kujibariki mwenyewe INA kuwa ngumu kujua uzuri wa Mungu wetu kaka Kazi nzuri sn tunapona Sana.
Hakika wimbo unanibariki sana sana Mungu Hajawahi muacha Mtu Mungu Anampenda Kila Mtu alieumbwa na Yeye Hakika Mungu Uinuliwe sana sana
Wimbo huu nikiusikiliza unanibariki San. mungu akukumbukee mtumishi wa mungu
Safi sana kaka
MUNGU akubarik kaka kwa kazi nzuri sana
Hongera sana mtumishi masanja ndio kasababisha niijue hii nyimbo
Huu wimbo unanibariki kwa namna ya ajabu sana
Asante Ubarikiwe sana mtumishi kwa ajili ya wimbo huu❤
Barikiwa sanaaa
hongera sana kaka
Mungu akutunze kaka yangu
Mungu akutunze mtumishi na azidi kupanda ujumbe wenye uponyaji zaidi hakika unauganga Moyo wangu....barikiwa Sana🙏
Bonge la kazi hongera sana nyimbo tamu sana
Wimbo mzuri sana huu una nguvu ya Mungu
Hakika Mungu unafanya mambo makuu mno na ya ajabu
Mwana wa MUNGU, BARIKIWA Sana kwa uimbaji mzuri
Leta mwingine
Hakika Mungu unafanya makubwa yanayozidi fahamu zetu! Mungu azidi kuwatumia kwa utukufu wake.
Hakika jina la Mungu liinuliwe milele yote
Nzuri sana
When God starts ministering in the souls of his people everything becomes spiritual...nice song continue been blessed....and all the groly to God
Mungu azdi kukutumia KAZI nzuri Sana
Wakuinuliwa ni Yesu tu
Waoooo my broo bonge lawimbo hongera sn😘😘
Barikiwa muimbaji na mlezi wako pasta mgogo
Wimbo mzur Sana sichoki kusikiliza
Ubarikiwe kaka kwa wimbo
Mzuri wenye Upako
Kazi ni njema
Amen amen mtumishi wa MUNGU mb zangu zinaishiaga hapa kwakweli wimbo una pawa ya MUNGU sana
Strong one
BARIKIWA SANAA MTUMISHI WA MUNGU..
NIMEBARIKIWA SANAAA
Barikiwa mtumishi kwa wimbo wenye nguvu mnooo
Vocal ya da Victoria Mungu amtunze dada vicy
Wimbo mzuri sana huu Mungu akupe hekima ya kuendelea mbele mtumishi wa Mungu
Jamn yesu nzur mno hawez kunichoka yesu nakupenda
Barikiwe mwanawamungu kazinzuri sana mtumishi
Unaimba vinzur sana kaka umekbilia wapi ckioni kanisani kwet buguruni
Ameeeniii wimbo mzuri sana
Jaman mie sichoki
Ubarikiwe sana sana mtumishi.
Ameen uiniliwe Mungu
balikiwe Sana mtumishi
Wow wimbo mzuri sana ndugu yangu be blessed, waweza tembelea channel yangu pia
Wimbo mzuri sana balikiwa mno
Jamani mubalikiwe Sana nyimbo imenibaliki Sana Dada Vicki ❤️❤️
Wow
Endelea kumshilikisha huyu dada anasauti nzuri sana aisee
Oh Wimbo mzuri
wimbo mzuri mno..unaongeza pumzi ndani ya nafsi yangu
🙏🙏
Huu wimbo unaonyesha nikiasi gn muimbaji anamjua anayemwimbia, MUNGU azidi kukupaka mafuta ktk utumishi wako.......MUNGU uinuliwe unayefanya mambo makubwa,GOD of wonders, GOD of mercy and miracle,🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Nimebarikiwa Sana, samahan huyoo Dada mwingine huyoo mwimbaji anaitwa nana
Amen barikiwa sana watumishi wa Mungu
Hongera kaka F sanga
Hongera sana Frank kazi yako ni njema,Mungu azidi kukutumia.
Nabarikiwa sana mungu ambariki huy baba
Umenigusa sana Yani na happy
Wow, very powerful song ❤ then nguza hio kengele plz tusapotiane
uinuliwe Mungu 🎶🎶 🙏
Mungu awabarikiii kaz nzuri
Congratulations brother mungu aendelee kukuinua juu sana kudos
Very nice song
Asante mtumishi wa mungu mungu akubaliki sana ❤️
BARIKIWA SANA MTUMISHI KWA WIMBO MZURI
Ubarikiwe sanaa Mtumishi wa BWANA.. am blessed alot
Ameeen ameeeen hakikaaa Mtumishi ubarikiwe sana
Ubarikiwe Sana kaka Mungu akuinue viwango vya juu zaidi
Amen 🙏🙏🙏🙏 unanipa amani moyon mungu wangu
Hongera mno bro
Hongera kwa injili songs mbele zaidi ya hapo mungu ukutie nguvu
Safi sana kaka
Am blessed more grace sir much love from 🇰🇪🇰🇪
mungu azidi kukuinua
Nimebarikiwa Sana na huu wimbo Mungu wa mbinguni ailinde huduma yenu
Kazi nzuri sana
Amina
Amina Amina !!! Very powerful song