Kiukweli ni kwamba waigizaji wote wa Donta TV mnajua kuigiza na kutoa fundisho kwa jamii husika popote na sehemu yoyote ile hongereni makamanda one love kwenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Safi Sana halafu Leo mmenifurahisha kuweka title fupi hii inamfanya mtazamaji kumfuatilia kuona mwisho inakuwaje kuliko kuweka kichwa Cha habari ambacho mtazamaji akikisoma tu anaelewa moja kwa moja mwisho utakuwaje
ila jamani mumeanza kufeli tambueni ka ma tuna akili pia tuwatizama ila story zenu zinalingana ngani ivyo badrisheni ma historia zenu mana mkiendelea hivyo mtakufeli na mtapotea
Wa pili kutoka Kenya naombeni likes plz alfu wakenya wenzangu tujuane na likes
Vp kuhusu maandano huko
Yako fresh @@wiliamkatala
like moja kwanguuu..
Kiukweli ni kwamba waigizaji wote wa Donta TV mnajua kuigiza na kutoa fundisho kwa jamii husika popote na sehemu yoyote ile hongereni makamanda one love kwenu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jaman wa 6 mimi like yangu naombeni by magoma studio
Mauwa kwa kunambii umecheza vizuri sana 👌👌❤❤🇧🇮🇧🇮
Nami leo niwaombe like zenu wapendwa.
Kunambii eee amenichekesha kweli ameceza vizuri
Jamani nyinyi hata machozi yanilengalenga kwa sababu ya huyo mlemavu kaambae nkweli jamani waaa mwajia kicheza,cogratulations 🎉🎉🎉🎉
Like like like kutoka kenya🇰🇪🇰🇪Nawapenda sana donta tv❤❤❤❤
Mambo donta tv❤
❤❤❤❤
Hongera sana kunambi dah! Uko vizur chukua 🎉🎉🎉🎉🎉 fundisho kwa wote
Maoni ya move hamtoi lakini kuomba like aaaaaaaah 😂😂😂
Hum Wewe nimuingizaji muzuri sana kunabi una njuwa ingiza Kabisa
Donta TV aki nawapenda sana sana love Ness aki nampenda
Kunambi nimekukubali san asant kwa technique yako big up sana
Kunambia alifanya vzr kwenye hii movie❤❤❤
Ila Nelly 😂😂😂🙌🙌🙌 me nawapenda tu❤❤❤
Kunambi naye anavituko ndo kawa zezeta reo makumbwa😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊
Hongera kunambi kwa kaz nzuri unazofanya. Ukioa mwanamke mjinga dawa yake ni hiyo tu
Wanawake hatuoni ufarume wambigu kabisa nikuomba mwisho mwema vayi wewe hunahuruma namumewako subhanallah 😮😮😮😮😮🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤mnanipa furaha na funzo pia good job dear❤❤❤
Nmewapa kila mtu like😂😂😂😂😂rudisheni like zangu nyie n mmalizie vedeo kabla ya kucoment
Mungu wangu kumbe! kawapima tu,yawakuta wenyewe...
Kunambi nipe maua yangu sana yan nilikuwa sikuuimaliza ila fikra zangu zimenipa imani muigizaji mzuri sana
Kunambi pole sana.nawapenda donta❤
Move nzur mnoo❤❤❤
12 murundi🇧🇮wa kwanza likes hapa
Hongera saaaana kunambi ukovizuri
Acheni kuigiza uzezeta hawakupenda kuwa hivo😅
Wewe mshamba wawapi? Kwani mwenyewe umegundua ni kuigiza na kuigiza si kiujinga ujinga tuu Hiyo ni mafunzo makubwa.
😂😂😂😂😂zezeta kunambi unanichekesha yaajabu
Safi Sana halafu Leo mmenifurahisha kuweka title fupi hii inamfanya mtazamaji kumfuatilia kuona mwisho inakuwaje kuliko kuweka kichwa Cha habari ambacho mtazamaji akikisoma tu anaelewa moja kwa moja mwisho utakuwaje
👋👋👋
Kunambi hapo umeweza😢😂😂
Umetisha sana kunambi🎉🎉🎉🎉🎉
Duuuuu niatar San
Waaau kunambi hii movie umeicheza poa sna
Daaaaaah😂😂😂😂😂 hiiii ni motroooooooo🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️💯🙏
Tunachunga na mbambili waitisinema inamafunzo sana kwasisi wakapendapenda
Nalitukanalincheka that was personer 😂😂😂
Kunambi likes 100% hii nayo umeweza bro, nakupenda tu bure 🇰🇪
Kunambi 😂😂😂😂etii zezeta🎉🎉🎉
Nyii watu,mnaombanga like za kazi gan,badaya ya kujifunza kazi n kuomba tu like ovio😏
Watafute kazi ya kufanya likes za nn pia nyie
kama majinga vile mim yananikera sana
Vai jamani tunza mgonjwa vizuri wa kero 🙆🙆🙆🙆🇰🇪
Mnanipa mafuzo megi jinsi nitaiishi kwa familia yangu mchezo tunaoucheza tuwache
Kunambii ushaharibu scene mapemaa sanaa muda unapewa maji ya kunywa umeshushaa mikono chini safi kabisa kama mtu mzimaa😂😂
Umekwepa na kofi tenaa 😂😂😂
😂😂😂😂umefanya nkairudie mwanzo sasa nmeon ni kwel
😂😂😂 kunambi umefika kwa zezeta kabisa 😂😂😂
Watu wanaitisha like Mimi naomba mtoto wa bosi na dada wa kazi
Ila Vai unajua kuigiza🎉🎉
Nice one❤❤❤❤
Kunambi omekosea kimoja ulikua utoke madendaa😂😂
Na wa sapoti sana.
Nzur
Kevin upendezi kuwa na rohoo mbaya ivyo
Ila Brawon kwa hii cinema umenikosha
Mimi Nina swala jamani;- hivi Vae na Maya ni mtu mmoja AU matwins? Nangoja jibu sahihi🙈
Hawana hata undugu
@@Dontaplus what? Seriously! Na vile wafanana jamani..
Wanafanana sana hadi wanachanganya@@ruthgloriaobonyo
Hi nayo zezeta kweli😂🎉🎉🎉
Brother kunambi umecheza kama pele Yani daah mpka raha blood🎉🎉🎉🎉
ila jamani mumeanza kufeli tambueni ka ma tuna akili pia tuwatizama ila story zenu zinalingana ngani ivyo badrisheni ma historia zenu mana mkiendelea hivyo mtakufeli na mtapotea
Brown wewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂utaniua ujue
Duh hii mpya isitokee kwako isikie Kwa jirani😅😅
Umetisha baba 😂😂😂😂😂😂
Kuingiza hamjui kuomba like aaaaah
😂😂😂
Hee kunambi umecheza kali sana wanawake wengine hawapendeki
Kwani kelvin alienda wapi ety
Kazi nzuri
Movie nzuri ❤❤❤❤❤
Sisi wanawake tuna roho mbaya naona mke wa kunambi dio kafanya ndondocha kama wewe utakufa vibaya mbwa wewe
Kunambi una nifura Hisha kwel
😂😂😂😂😂braun umeuwa😂😂😂
Kuigiza kunataka UFundi zezeta kachonga panki 😅😅
Kunambi apo umeweza walai😂😂😂😂
Nifunzo kubwa kwetu SS wadada jamani ongeleni sana
Nmewai leo jaman naomba like
Wa pili kutoka Kenya buewasdm Love❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ila hamtufanyii poa😢😢bado hamjapost siku moja kabla ya ndoa ndio hao mnaleta zingine mnaboa
Kunambi🎉🎉🎉🎉🎉
Vai huna adabu, kwendaaaa
nakukubali kunambi😂
😂😂😂😂😂rudi umalizie vedeo ww
But kunambi sio taira anaangalia kama anapendwa kweli utajutia siku mmoja wewe mke
Like ya pili mm😂
Ww dada acha kumutesa jaman
Mushkj wang kunamb unamufanyia hvo we vai ww
😢😢 🤲🙏 SUBRA
Lakini bana tuleteeni siku moja kabla ya ndoa yangu mbona inachelewa hvi
Nzuri San jaman
We vayi kwa nini hauna huruma dada
🎉❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
jaman vip kuhusu ep ya 13 ya siku 1 kabala ya ndoa yangu au imeisha
Ilitoka na imeisha
Kunambi hakika wewe kiboko
Tunachunga nambambili wandug
Hahha b4own
😂😂😂
Shanaiza alienda wapi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kumi no like for me
Heeeee na mimba angu staki nmwamgalie kbsa kunambi🤣🤣🤣🤣