ความคิดเห็น •

  • @duhuzebosco6207
    @duhuzebosco6207 4 หลายเดือนก่อน +2

    On air

  • @EmmanuelMurula
    @EmmanuelMurula 4 หลายเดือนก่อน +1

    Zamani nilikuwa najuwa kama sisi wa Congo 🇨🇩 ndio tuna sifa ya kujisifia, ila wa Tanzania mumetuzidi aisee😂😂😂😂😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwizi kweli sura ina sema😂😂😂

  • @jumamwaramoyo8603
    @jumamwaramoyo8603 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kama ngiri kweli😂😂😂

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 4 หลายเดือนก่อน

    Baadhi ya vitu vija bei hasa Dhahabu, chains hizo za madini tofauti. Vinasaidia kwa mambo ya kiroho baada ya kufuata utaratibu wa mtu husika. Ndo maana ukiwa mtu mweusi ukienda kwenye hizi duka za warabu ambao wanatengeneza Pete, ukitaka kutengenezesha ya kwako kwao na hasa madini ya kiwa na uzito mkubwa, wanakuuliza sana kua unataka kuitumia kwa lipi, wakati hata wao wamezivaa

  • @beckamuziki2785
    @beckamuziki2785 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sio Uongo Thamani Alizo Taja

  • @Pratnumzsimba
    @Pratnumzsimba 4 หลายเดือนก่อน

    Ngoja uwaone TRA watakutembelea so mda umetoa siri yako😂😂😂😂😂

  • @GeorgeJusto-y4v
    @GeorgeJusto-y4v 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pengo nimuongo kinyama mil78 unaijuwa wewe au nihilo pengo ndomil78😂

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna story zengine n zakupitisha muda 😂

  • @joeshayo1992
    @joeshayo1992 4 หลายเดือนก่อน

    Cheni za 78ml mzee umetoboa 😂

  • @GeorgeJusto-y4v
    @GeorgeJusto-y4v 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe pengo unakicha 😂