@nervillemaestro5127 that statement sio yake ni ya watu hupenda kuchotana na clubbing yeye ishampata, only thing he can do is give his life to Jesus. Huku inje the devil has many ways to trap people na future ya huyo chali ni bright sana kukua trapped hivyo
I concur. Why be forced.she organized goons to pick and harass him b4 she knew she was pregnant. She's not pregnant and this is her lifestyle. He seems not to be her fist victim. Warn your teens. I feel sorry for the boy. My prayer that God open his eyes and protect him against these cartels.
Hey huyu msee anasound legit , nabelieve Kuna vile walimseti na izo stori za bol pia ilikuwa part of the plan . Like for real Huyo boychild akuwe free from Huyo dem. Hawezi forciwa bol &love .
Mimba ni ya babake alipata kama amelewa.pelekea babako mimba serikali don't force people to stay in marriage if it can't work. Boy child should sue her to leave his house, until she deliver then DNA.But for now they must separate for security purposes.
Abduction is a crime under the law, also impregnating a girl does not mean you marry them, siku hihi you can co-parent. Wacha she gives birth wafanye paternity then decide on how to co-parent. And men let this be a lesson to you.
Boy child, URGENTLY report this woman to the police or a Human Rights organisation and get a lawyer. This woman is a gangster. You cannot force yourself on boy child! Who raised her? Boy child please report this matter as soon as possible.
What was he expecting will happen if he doesn't use a CD? He must own up to responsibility and take care of that that child. People just think they can say 'hiyo ball si yangu' and get away with it.
So nice, si alimkatia? So let him carry his own cross this idea of men/boys dumping sn changing ladies like diapers iishe. He was not forced into this lady.
Mbona ubebe Dem upeleke kwako kama sio Dem wako huyu anapima watu bangi . You were peacefully walking together , being that Stevo amewasimamisha ndio sasa hampendani. 😂 Ni life
CD ziko ready nyumbani means kijana unaokota-okota frequently. Leo umeenda bar ukaokota - turns out she's a well-connected sugu! Weh! It's like that other city collector, who landed on an "I dreamt that you are my husband" girl from Kitui. Pole sana.
Hiyo ndio sawa ya wanaume kama ninyi wenye mnanga mwekekeo 😂ata sijui nasikiza nini utapataje dame na unambeba kama mzigo na kudandia tu hiyo ndio matunda 😅😅😅😅dame gwamia hapo ata kama ball si yake ndio wengine msomee hapo wenye tabia kama hiyo
My gender si basi ungekuwa mcool to win his heart jameni so kwa hali ii nayo hata kwa prayers tutaisha maji kukemea😂 aah hata me nasubiri atakaye comment kwa ii ntaforce atwae wanae 🙈nasubiria tu hehehe
Hiki kiherere cha mwanamke i feel hii ball sio ya huyu boy,the best way forward is DNA,mtu wa club cannot know who impregnated her,she just wanted someone to dinya her apate excuse,bro hata kama utauza everything,do so for DNA,hawa wakora wa NBI tunawajua
scripted...story za jabaa very fake and unconvincing...entertaining lakini 🤣
Hata kama ni scripted bora tunaenjoy
mr. bot, show your face and true identity and also some real proof, for credibility.
Unasikia aje umepiniwa juu ya ujinga 😂😂unaongea ..we love this script.. double middle finger 🖕
Mbona unawaste time yako kuwa hapa huna kaxi ya kufanya
sasawa producer mjuaji
Mnaokota takataka kwa club, siku Moja mtadinya majini
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂
Waah.
mkale umekimbiza facts teketeke lakini ni ukweli
Msichana rudi kwenu ulee mimba ukisha jifungua tafuta kijana mfanye DNA. FULLlSTOP and THANK YOU.
Angekaa kwake hii mambo haingempata, tuache sherehe mingi, hizi siku tunaishi ni tricky sana. Find God and have fellowship with Him
sa na ni place anafanya job
Peter correct. Sherehe nyingi ni za nini. There is no life outside Christ. It's all vanity. Vijana muishie Mungu na mta enjoy life.
@nervillemaestro5127 that statement sio yake ni ya watu hupenda kuchotana na clubbing yeye ishampata, only thing he can do is give his life to Jesus. Huku inje the devil has many ways to trap people na future ya huyo chali ni bright sana kukua trapped hivyo
Alikua kazi yake ya kuuza sheesha
Bro hio mimba si yako run
People should atop forcing love izi vifo tunaona kila siku za love matters ni juu ya kuforce issues kwani lazima uwe na mtu ndio mm huuliza
Hiyo ball sio ya huyu Jamaa....
DNA ndiyo ita prove. Anapeleka aje mwanamke kwake without expecting repercussions? Na bado watu wataendelea kufanya hivyo, sleeping around.
DNA ifanywe.
Was that argument about tots and mzinga necessary?....huyu ni dem wa streets....mang'aa sana.
Ikr
Kwani dame hajui tot ni nini😅...si unaweza kuwa na mzinga uiichape tot mdogo mdogo
Hajui anafikiria tots zinawekwa kwa chupa
Jaluo mochinga
@@sarahwanjiru191kuwa serious wewe
Fala tu
Imgn ajui mtu anakuwanga na mzinga anakunywa tots pole pole
Help this guy plz, amebebeshwa mizigo si yake
Steve help this guy to exit this forceful marriage why should they force you to marry her😮😮😮
Why should he be helped and he is not mentally disabled
I concur. Why be forced.she organized goons to pick and harass him b4 she knew she was pregnant. She's not pregnant and this is her lifestyle. He seems not to be her fist victim. Warn your teens. I feel sorry for the boy. My prayer that God open his eyes and protect him against these cartels.
Mistakes
1. Alcohol.
2. Go to bar.
3. Woman in the bar! Never talk her.
Stevo waende perternal test ama wagonje miezi Tisa wapige DNA hapo Kuna swali 🤭 kubwa Sana aty DCI aje sasa
Skuizi DNA sio must you wait mtoi azaliwe. Ata akiwa 3 months kwa womb you can know.
Hey huyu msee anasound legit , nabelieve Kuna vile walimseti na izo stori za bol pia ilikuwa part of the plan .
Like for real Huyo boychild akuwe free from Huyo dem.
Hawezi forciwa bol &love .
You are right, survival tactics by a cartel.
The Word of God is like water from a faulty tap, It refreshes day by day
Huyu msichana hata kama ni ball anaforce love. Ishi na mtu anakupenda
Abduction zimechukua direction igne😂😂😂
Leo mnipee likes na mnifollow guys...1st to comment 🎉
Sure😅😅
😂😂😂what is the meaning of abduction
Abduction means being taken against one's will. Like kidnap.@@TimothyKiplimo-pl1nn
Sex is for marriage. That would prevent most heartbreaks, depression and broken families. Find Jesus find life ❤
The church has failed........ drastically
@ I did not say find a church, I said Find Jesus. Only your creator can save you
@@linvi_chemutai Praise God Chemutai😁😁
Hawaskiiii
Utasombwa vitu Kwa nyumba bro😂😂😂
Stevo zunguka kila mahali utuokoe plz
Huyu hana tofauti na yule boy child alichukua ule dem anakula nyama mbichi,
stevo should revisit
Sio yeye yule alikuwa black
@@rendee267 sijasema ni yeye
Yea 😂
Bms , you should revist manze
Kindly help this man to get out of that relationship hata mtoi c wa huyu jamaa
The voice in this lady inaonyesha tw anadanganya...hope this man ataachana na this club woman
Mimba ni ya babake alipata kama amelewa.pelekea babako mimba serikali don't force people to stay in marriage if it can't work.
Boy child should sue her to leave his house, until she deliver then DNA.But for now they must separate for security purposes.
Sikuizi mambo ni simple enda DNA
Huyu dem hata si wife material ni milayas Steve saidia huyu boy,
Hiyo dawa ya ulevi ulea by force mtoi si wko
Wauh huyu dem anajaribu ku force nini Steve okoa huyu morio man
Big man, justice kwa boychild,,my instict tells me huyo anatishia hyu kijana ni mbabas wa hyu dem,,coz mzazi akili yake iko sawa awexi tishia mtu😢
Sijui kaa ni mm peke yangu na forwadishaga direct mahali violence imeanzia😅😅😂😂
Kama kawa
Hii episode ukiforward unamiss a lot
😂😂😂😂huyo ni mimi
@@carolinemuthoni2929 hii imeanza na vayolens mapema
@@tuk_talk vile napenda violence sanaa
Mwanamke domo kaya😂😂😂
Nikama radio station😂
Hana break ya mdomo ataki mwingjne lujiexplain very toxic commanding forcing things alot of threats and many more
BMS camera man was just chilling then boom t shirt like his size errupts
Huu Mwaka eeeh.... ndo mwaka wakufosi yani mtake mstake........ To dispel any doubts DNA to be performed....
😂😂hata wee ntakuletea watoi wako Wacha izo nmechoka tkutane utwae wanao🙈😁
Huyu hat ball hana anataka ku kwamailia kwa cute face but men hua mnadinya everything 😢😢😢
Stevo hujasaidia that guy........
maturity is realizing that anything forced will never ever give u happiness/peace..nothing good comes out of forced love,except frastration😢😢
💯facto
I a billion% concur. Forced relations ni bwege tu. Nothing comes out of them
The lady ni gaidi hata hiyo bol ni ya magaidi wenzake
Ata labda Hana mimba ,huyu NI mwizi mkora
@@user-cg3vf2bl6biyo tumbo ikai kuwa na kitu ndani mara tu
True😊
Ingekuwa ni jamaa amefanyia dame hivi,BMS angekuwa amemwitia polisi.......
Nimechoka kupretend hio BMSinamaanisha nini
@@RahmaAbubakar-cb3jx big man stevo
@@RahmaAbubakar-cb3jxBig Man Stevo
@@RahmaAbubakar-cb3jxbig man stevo
@@RahmaAbubakar-cb3jx BAD MAN STEVO
Uyu poko ni kauzii Walai 😢she forced herself to this young boy vibaya sna Aki 🤔 hio mimba sio Yako bratheee cholea kabisa as early as possible
Huyu Malaya ako desparete ng’ombe y’a mwamke
Milaya
True 💯
Io momba ni ya akina Omolo
Kweli huu mwaka ni wa ku force 😂😂
Abduction is a crime under the law, also impregnating a girl does not mean you marry them, siku hihi you can co-parent. Wacha she gives birth wafanye paternity then decide on how to co-parent. And men let this be a lesson to you.
Comrades watu save sana....siku hizi usimini mtu, sita marry walai
Boy child, URGENTLY report this woman to the police or a Human Rights organisation and get a lawyer. This woman is a gangster. You cannot force yourself on boy child! Who raised her? Boy child please report this matter as soon as possible.
Na mumwambie awache pombe na achunge marafik bure bdo atangukia milaya sugu hii ni practice 😂😂😂😂
Report this man or report this woman?
be careful where you enter. You might enter the lioness den.
Huyu ni muwaji Stevo saidia huyu Chali
Umewalipa ngapi comred
Dude if uts bad scroll up or down....simple
Repurcussions of drugs,greed and lust.Choices have consequences ...deal with them young man
What was he expecting will happen if he doesn't use a CD? He must own up to responsibility and take care of that that child. People just think they can say 'hiyo ball si yangu' and get away with it.
Amesema alitumia CD
Hiki kizazi jamani kuvuta,kuvuta,kuvuta kulewa na raha nyingi,wamepoteza muelekeo ndio maana uchumi imekuwa mbaya hakuna kitu wanachangia kimaendeleo
Huyu si mwanamke wakukaa naye boy child run run run
Jamaa aliagiza wet fry.😂
Amiloooo😂😂😂😂 she's a very good girl in person. And my friend
Huyu na wale ma hit and run ni kama akona madem wengi
Even though dem alijileta😂
@Vera-snaider walikutana kwa club
@@beatriceowuor she needed somewhere to spend the night na akaisaidiwa,she gave in and it's not like walikua wadate so Ilikua ahit then??😁
You have poor listening skill or you are a feminist who always play victim of reality
Waaa pple r so evil. Msichana anaforce
I just love this content 😅😅
So mlipatana bar, sioni shida
Huyu dem ni wale huwa wanateka majamaa kwa club ..unasikia vile anaumwa jamaa akiongea uwkeli 😂
💯
So nice, si alimkatia? So let him carry his own cross this idea of men/boys dumping sn changing ladies like diapers iishe. He was not forced into this lady.
ambia bro achoree aende kwingine
Mbona ubebe Dem upeleke kwako kama sio Dem wako huyu anapima watu bangi .
You were peacefully walking together , being that Stevo amewasimamisha ndio sasa hampendani. 😂
Ni life
Wondering too ama ni acting
Aki wewe mjaluo jameni 😂😂😂
😂😂
Steve advice the guy aende DNA this lady is forcing herself to the innocent guy
Eti mjaluo haekewi mkono hivo😂😂😂 kwani wana nini kama sio kiburi?
Stevoh sanitize huyu dame tujue ukweli..😮😮😮😮
CD ziko ready nyumbani means kijana unaokota-okota frequently. Leo umeenda bar ukaokota - turns out she's a well-connected sugu! Weh! It's like that other city collector, who landed on an "I dreamt that you are my husband" girl from Kitui. Pole sana.
The road to 500k subscribers continues.
Hio mimba SI yko g
Please 🙏 Steve if possible wasaiendie wafanye test ukweli ijulikana, i guess ball si ya huyu boy.
One month ashamove in..anyways he's handsome that's why😂
😊😊😊😊
Kwa club waaa ata hajielewi aky
Huyu boy alipatana jambazi mwanamke
Barre akapata dent😂😂😂. Pole lakini
Interested kuona t-shirt ya camera man😂
Huyu dem ameweka towel nyuma au ni.pilo. ama naona kivyangu. Kinyangarka. Haraka kimbia KOINANGE STREET. FLORIDA AWAITS YOU DEM. 😮😮😮😮😮😮😮😅
Ati You stay with the person who gave you the ball😂😂eeei
Discipline is the cure of regret... no woman will have anything on you without you're seed in her.
True watu wajiheshimu
Not always
@tadichaguyo290 what other reason would warrant this kind of entitlement
Waah kumbe hii ni tabia ya wajaluo mazy pole sana bro ukweli itasimama God will help you
Sio wajaluo....ni personality ya mtu manze
Hiyo mimba Sio ya huyi jamaa
We kijanaa jitoe wachana na maraya
Ety mjaluo hawekewi mkono ajeee 😂😂😂😂
DNA!!!
Weeuh!!hadi nimehurumia boy.This girl is disrespectful si mtu anaweza ishi na mtu ata.
Young man after enjoying yourself you must pay the price. Hakuna cha bure
Steve you would have sanitised that girl ugeona ukweli
Hapa hakuna relationship..shida tupu
😊
Good narration. Script like a movie.
Kojoa ulale wivu tu
Si upite kama unaona ni script
Nataka kuona hiyo tshirt ya camera man😂
🤣🤣🤣
Utakaa aje pahali utakikani jamani😂
Just go for DNA it will set you free
Merci amevaa panty imeshika Haga poa sana
It's undersize imemkaza coz it's small
Mimi hii kitu hunimaliza!!dem akivaaa hivi 😂mi huisha
kijana anauliza kama huyu ni wa kususmbuana one hour! 🤭🤭🤭
Ndo maana boychild wanajiua 😢😢
Ndio maana lup men don't want their fellow luo women...kisirani
Msichana ako na mdomo na hana place ya kukaa..maringo bure
Hiyo ndio sawa ya wanaume kama ninyi wenye mnanga mwekekeo 😂ata sijui nasikiza nini utapataje dame na unambeba kama mzigo na kudandia tu hiyo ndio matunda 😅😅😅😅dame gwamia hapo ata kama ball si yake ndio wengine msomee hapo wenye tabia kama hiyo
Its Stevo smile for me when he hears tshirt na camera man😂
😂😂😂
but si ni ukwwli wanatupeaga tshirts kubwa😂😂😂
Fanya DNA
Kwani wajalau wako na nini ..ala!magi to ang'o?
Stive kindly. Let's help the guy. It's very unfair kindly. The guy is saying the truth