Umeona eee! Ugumu wa mtani kuipata nafasi ya pili. Utofauti wa magoli yaani Goal difference bado inampatia nafasi kubwa Azam kumaliza nafasi ya pili hata kama ktk hyo mechi yao atashinda Simba na baada ya hapo kila mmoja ashinde mechi zake zote.
Si kweli. Simba akimfunga Azam na akishinda mechi zilizobaki atafikisha point 71. Azam akifungwa na Simba na akashinda mechi zilizobaki atafikisha point 69. Simba atashika nafasi ya pili. Lakini na pia Yanga akishinda mechi tatu kati ya tano zilizobaki atakuwa amekuwa bingwa kwa kufikisha point 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yeyote.
Wewe Oscar na Baba levo acheni kupotosha umma mpaka sasa simba akishinda mech zake zote pamoja na hicho kiporo na Azam pia ashinde mech zake zote bado azam atakuwa juu ya simba by any how...,bado simba aombe maombi azam adondoshe point si chin ya michezo na zaid ili simba ipate upenyo
Team MP Points Azam 25 57 Simba 24 53 Next Game Azam vs Simba Simba akishinda mechi na Azam msimamo utakua hivi Team MP Points Azam 26 57 Simba 25 56 Simba akicheza mechi yake ya kipolo, msimamo utakua hivi Team MP Points Simba 26 59 Azam 26 57
Oscar umesahau msim ulipoanza ulisema yanga watamaliza nafasi ya 5??? Haya sasa tuambie kimetokea nini
Osca atakuwa amesha kunywa konyagi tayar sio bure
Angalieni hesabu zenu.Hamjazipata vizuri.
Simba wanatakiwa kutengeneza timu siyo ubabaishaji huu
Azam atashika nafasi ya pili Oscar acha kuwadanganya makolo wenzio
Asante. Huyo. Oscar. Oscar. Ameshakunywa. Huyo. Ni. Mlevi. Sana
SIMBA NAFASI 3 Haina MAOMBI🤣🤣🤣🤣
Azam atakuwa mshindi wa pili
Ubingwa upi wa nafasi ya pili au moja
Kama huna wachezaji wazuri omba mpaka matako yapike viraka hupati ng,oooo
Kwiki Oscar mwehu😂😂😂😂😂😂
Duuh sema Madunduka wamevurugwa
Oscar ni tapeli
Shirikisho walifuta
Simba hawezi kuwa bingwa kwa mcmu huu
Kweli vichaa ni wengi ??!
WOTE HAO BANGI
Boli linatembea amecheza na nani? Amecheza na timu ya 15 na 16
Simba hata akimfunga Azam, halafu Azam akashinda mechi zake zilizobaki zote na Simba akashinda zote bado Simba atamaliza nafasi ya 3
Umeona eee!
Ugumu wa mtani kuipata nafasi ya pili.
Utofauti wa magoli yaani Goal difference bado inampatia nafasi kubwa Azam kumaliza nafasi ya pili hata kama ktk hyo mechi yao atashinda Simba na baada ya hapo kila mmoja ashinde mechi zake zote.
Si kweli. Simba akimfunga Azam na akishinda mechi zilizobaki atafikisha point 71. Azam akifungwa na Simba na akashinda mechi zilizobaki atafikisha point 69. Simba atashika nafasi ya pili. Lakini na pia Yanga akishinda mechi tatu kati ya tano zilizobaki atakuwa amekuwa bingwa kwa kufikisha point 74 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yeyote.
Mnazungumzia kushindwa tu. Muonekano uliopo Kila timu kati ya 3 za juu itapata droo.
Hii ni Abunwasi
azam akimpiga simba anamzid point 4 ak draw anamzid point 1 akipigwa azam anazidiwa na simba point 2 mbona ni hesabu nyepesi.
Hakuna kbs
Hakika kbs
Huyu naye mjinga sanaaaaa
Simba anacheza asl
Mgunda sikocha
Mchungaji mashimo alisema mwanzo wa msimu yanga atachukua nafasi ya tatu
Wewe Oscar na Baba levo acheni kupotosha umma mpaka sasa simba akishinda mech zake zote pamoja na hicho kiporo na Azam pia ashinde mech zake zote bado azam atakuwa juu ya simba by any how...,bado simba aombe maombi azam adondoshe point si chin ya michezo na zaid ili simba ipate upenyo
Uyu oscari alisema yanga atakuwa nafasi ya tatu
BANGI SIO SAFII🤣🤣🤣YANGA TO LOSE ??
Acheni ukuda na unafiki
Watatoa sare hao
Oscar unaongea kwel,,,simba chini ya mgunda azam ana kaz kubwa hachomoki
KWA WAAMUZI KAMA WALE WALIOCHEZESHA SIMBA NA TABORA ,KWA UCHEZESHAJI ULE SIMBA ANAFUNGA AZAM
Kesho simba na azam wana droo
Edo wewe mtu wa mpira!! Azam akipata nafasi yapili, narudisha kadi yangu uanachama CCM!!!
JAMANI KWA SASA TATIZO LA SIMBA KUMALIZA NAFASI YA PILI NI AZAM FC NA WALA SIYO VINGINEVYO...!
Wewe Oscar si ulisema Simba bingwa, Azam namba 2 na Yanga namba 3?
Kak alisema yanga ya. Tano ya tatu alimpa singida na 4 ihefu kak😂😂😂😂
Ameshasahau😂
Amejisahau
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤ @@Taito-brand
MNA VITUKO SIMBA ATAPATA UBINGWA POINT HATAZICHUKUA WAPI NA JE YANGA HATAFUNGWA ZOTE?
Yanga anahitaji pointi 8 tu
Ni saba7 tu
anahitaji point 6 tu yanga abebe ubingwa
Team MP Points
Azam 25 57
Simba 24 53
Next Game
Azam vs Simba
Simba akishinda mechi na Azam msimamo utakua hivi
Team MP Points
Azam 26 57
Simba 25 56
Simba akicheza mechi yake ya kipolo, msimamo utakua hivi
Team MP Points
Simba 26 59
Azam 26 57
Simba hata akimfunga Azam, halafu Azam akashinda mechi zake zilizobaki zote na Simba akashinda zote bado Simba atamaliza nafasi ya 3
Rudi angalia msimamo vzr