#Exclusive: BABA MZAZI WA MUDATHIR AFUNGUKA TUSIYOYAJUA KUHUSU MWANAE| MAISHA YAKE NYUMBANI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 74

  • @othmanali7408
    @othmanali7408 8 หลายเดือนก่อน +11

    Hongera baba kiukweli nimependa maelezo yako .namuomba Allah amuengezee nguvu na uwezo zaidi Mudathir amin .

  • @user-bw1hs2nd8p
    @user-bw1hs2nd8p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Duuuuh! Mudathir weeee ,, this is what we call,,, like father like son ❤❤❤❤

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 8 หลายเดือนก่อน +9

    Kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana shalom

  • @user-yu9hn2cq3y
    @user-yu9hn2cq3y 8 หลายเดือนก่อน +17

    Mudathir kafanana na baba yake mpaka sauti asee ongera sana 💚💛💚💛

    • @shadyahamad3724
      @shadyahamad3724 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli sauti km mudathir

  • @MosesMamaya
    @MosesMamaya 8 หลายเดือนก่อน +4

    Tunakupenda sanaaa baba yetu❤❤

  • @abdallahkassim8600
    @abdallahkassim8600 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mzee unaogea km mudathir Hongera sna

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 8 หลายเดือนก่อน +13

    Yani zanzibar hakuna staa kwa hela, urembo wala kwa soka au mziki, ukiwa star mbele kwa mbele lkn zanzibar wa kawaida tu.
    Tajiri unapiga nae kahawa au story kijiweni.

    • @MosesMamaya
      @MosesMamaya 8 หลายเดือนก่อน +2

      Really kabisa hatuna shobo kam wa bara

    • @user-zg5lg3yq9c
      @user-zg5lg3yq9c 3 หลายเดือนก่อน

      Tajiri nani sasa😂😂

  • @KadabraGadna-xu5ez
    @KadabraGadna-xu5ez 8 หลายเดือนก่อน +4

    MUDATHIRI ABASI COPY, GOOD KIONGOZI FOR YOUR CLEAR INTERVIEW.MUDATHIR IS OUR BEST IN YOUNG AFRICAN'S

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 7 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah dogo nilimuacha nilikua nam'beba miaka 21 iliyopita sasa hivi he be come great footballer kama Safari zingelikua hazina tabu ningelikuletea ulimi nikaja nikakupeleka hapa UK daraja la tatu tukawa tunawachukulia fedha zao ,Maashaallah Yahaya huzeeki 💯👌

  • @aishahasan7722
    @aishahasan7722 8 หลายเดือนก่อน +6

    Yaan kufanana huko mpka kuongea kaaah 😍 hatar sn

  • @BiasharaZetuPoint
    @BiasharaZetuPoint 4 หลายเดือนก่อน

    Kafanana na Baba 😂😂😂😂❤❤

  • @emanuelmwalukasa7723
    @emanuelmwalukasa7723 8 หลายเดือนก่อน +7

    Kafanana

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wababa wamefanana na watt wao

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 7 หลายเดือนก่อน +1

    Zinjibar kwa mpira kama Brazil kweli Yahya kina kirara walikua wakali lakini sasa hivi talent Zinjibar ziko sana tuu sema sinataka kukuzwa na mashuhulikia aji hapa UK hawajui football kihivyo lakini mashughulikiaji yao ni huge kwenye mambo ya football kwa sababu hapa football isn't sport, buh it's huge business okay.thanks

  • @fightermshamu2466
    @fightermshamu2466 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mama mudathir ni muaminifu kwa kweli

  • @BasuleBasule
    @BasuleBasule 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wamefanana sauti sura jamaa kajizaaa mwenyew

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 8 หลายเดือนก่อน

    Si kwa kufanana uko eeee,baba mzazi 🎉🎉🎉

  • @abdulplatinumz2299
    @abdulplatinumz2299 8 หลายเดือนก่อน +4

    Amefanana sura had sauti

  • @ngorshermelody2021
    @ngorshermelody2021 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kunakitu najiuliza kwann kila mzaz wamchezaj anaehojiwa wanakuwa wanafanana copyright ukianza namzaz wa sure boy mzaz wa baca namzaz wamdathiri wanafanan na watt wao kwel

  • @roi2554
    @roi2554 8 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee mmefanana sanaa😂😂

  • @sulehamad8700
    @sulehamad8700 8 หลายเดือนก่อน +4

    wazanzibar tuna dini sana hatupendi shobo wala kujionyesha

    • @athumankaswaga605
      @athumankaswaga605 8 หลายเดือนก่อน

      Wee naye mambo ya Uzanzibari na ubara umetoka wapi tena.

  • @mwejstar5678
    @mwejstar5678 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hahaahaaa!...uyu Mzee hana timu...yan anapoenda mwanake basi na yeye anaenda huko huko na familia nzima....😂😂😂

  • @jumbeojaso5767
    @jumbeojaso5767 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mwandishi umejitahidi ,japo jifunze Zaidi namna ya kufanya exclusive za namna hii ,fanya maandalizi ya maswali baada ya kuijua historia ya mchezaji.
    Mfano hukuuliza Mudathir alivyogombana na Azam ,akakaa nyumbani hadi kusajiliwa na Yanga.
    Familia ilijisikaje, na ilimshauri nini kijana wao.

    • @gohimtv2504
      @gohimtv2504 8 หลายเดือนก่อน +2

      Nami hili nimeliona... Hajui anaanzia wapi anaishia wapi

    • @klauskilamla1957
      @klauskilamla1957 8 หลายเดือนก่อน

      Huyu mzee simba

  • @sulehamad8700
    @sulehamad8700 8 หลายเดือนก่อน +3

    ss Zanzibar tunapungua kubandikiwa wa toto

  • @MassoudAlly-c9e
    @MassoudAlly-c9e 8 หลายเดือนก่อน +5

    Like father like son 😅

  • @user-qm5un9yc8r
    @user-qm5un9yc8r 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 8 หลายเดือนก่อน +1

    Muda kama Muda eti hizi zilikuwa 8 ila walijitahidi sana kula 5G wana bahati sana siku ile 🤣🏆💛💚💪🇹🇿🇦🇪

  • @JeniphaRobert
    @JeniphaRobert 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee hajapigwa na kitu kizito wamefanana na Mudathiri xanaa

  • @sahraabdallah7242
    @sahraabdallah7242 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wababa wa Zanzibar wako na damu kali wallah ukimuona baba ake Mdathiri copy na Mda ukimcheki baba yake Ibrahim copy kabisa na Baba Manshallah

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mudathir mtupuuu

    • @aishahasan7722
      @aishahasan7722 8 หลายเดือนก่อน +1

      Yan had kuongea kaaah😍

  • @saidmohammedmusa2814
    @saidmohammedmusa2814 3 หลายเดือนก่อน

    KA Yahya wakati wake huu

  • @salummussa1139
    @salummussa1139 8 หลายเดือนก่อน +1

    Zanzibar hatubambikiziwi watoto tafauti na majirani zetu

    • @denishaule6314
      @denishaule6314 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sisi sio majiran zenu ss ni ndugu zenu shwaini…acha ubaguzi

    • @denishaule6314
      @denishaule6314 8 หลายเดือนก่อน

      Afu kila mahali ayo mambo ya kusingiziwa watoto yapo na hiyo mada umu s mahal pake..its about soccer

    • @hamadfakhi3195
      @hamadfakhi3195 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@denishaule6314kwani tukisema jirani kuna ubaya

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mapilau unacheka Tu hapo.na father namkumbuka viwanja vya priz.champion na Manchester.enzi hizoo alikuwa akiyaweka.

    • @mfalmekima5318
      @mfalmekima5318 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe kweli unamfahamu kipindi cha kina kocha caloss mzee wa kwenda ngoi

  • @BibeBoaz
    @BibeBoaz 8 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Saut mudathir

  • @ngorshermelody2021
    @ngorshermelody2021 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamn mbinu yakujizaa mwenyew ikojeee duh😂 had saut

    • @marthageorge5043
      @marthageorge5043 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂ile inakuwa mda wote upo na mkeo mnakutana sana na mkio kwenye tendo la ndoa,apo utajizaa mbaka ushangae,lakini umetia mimba alafu mda wote upo mbioni safarini lazima uwe na mashaka na mtoto😂😂😂😂😂

    • @hasaniabdalah6148
      @hasaniabdalah6148 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@marthageorge5043😅😅😅😅 sawa martha george

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo jamaa wa pembeni mwenye jezi ya yanga amefanana na yule mtu wa ikulu alitokeza mgongo..

  • @selemanmaganga-le4zg
    @selemanmaganga-le4zg 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani wapemba wanajizaa kweli, bacca copy na babayake na mudathir pia kafanana na baba yake pia.

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 8 หลายเดือนก่อน

    Sunday Manara hakuwai kuwa mchezaji wa Simba we kijana vipi?

    • @songombingo108
      @songombingo108 8 หลายเดือนก่อน

      Kitwana Manara ndo alicheza Simba kwa muda mfupi

  • @sappepainters221
    @sappepainters221 8 หลายเดือนก่อน

    Atoe minywele ,inamdheesha

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 8 หลายเดือนก่อน +1

    Broo zanbar hakuna ustaa hatuna shobo

    • @kombosalim3219
      @kombosalim3219 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ww unasema hivo kwa sababu muda roho mbaya hamutakikukubali kuwa mtu fulani kafanikiwa

  • @saidmohammedmusa2814
    @saidmohammedmusa2814 3 หลายเดือนก่อน

    Hamis meno weee

  • @alinadee8207
    @alinadee8207 8 หลายเดือนก่อน

    Njino mapilau😂😂😂😂

    • @musseleng.2124
      @musseleng.2124 8 หลายเดือนก่อน

      Mwamba anapika Biriani blaaa 😂😂😂

  • @SoccerCity01
    @SoccerCity01 7 หลายเดือนก่อน

    Copy ya Mudathir pure 😅

  • @charleschao9809
    @charleschao9809 8 หลายเดือนก่อน

    Muandishi anajua kuhoji mno

  • @batihubadiy3106
    @batihubadiy3106 8 หลายเดือนก่อน

    Sio MDATHIRI NI MUDATHIR

    • @malietamaliet
      @malietamaliet 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂,

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 8 หลายเดือนก่อน

    kweli mzee hajaibiwa maaana copy paste

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 8 หลายเดือนก่อน

    Angesaini simba Mungesema nyote nyie simba

    • @huseinaly5163
      @huseinaly5163 8 หลายเดือนก่อน

      Elewa kiswahili mkuu...amesema yeye amemshahuri aende semba lakini alivyochukuliwa na yanga basi haina shida sisi sote tutakuwa yanga ukoi mzima

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe mbona huelewi.Mzee alilipenda Simba ila aliposajiliwa Yanga akaona wamuunge mkono kwa kuishabikia Yanga.

    • @maryamtan682
      @maryamtan682 8 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@gibsonjosephat6352muongo ajapenda simba Sema alikua anapenda kucheza kt ya timu hizo mbili, kwa bahati akaitwa yanga. ❤❤❤

    • @abdallahdullah8642
      @abdallahdullah8642 8 หลายเดือนก่อน +2

      Mpira maslahi ushabiki zamani.
      Saiv unangalia maslahi ndo unaelekea huko sio uzalendo na njaa.

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@maryamtan682unasikiliza huku unasinzia, amesema alikuwa simba lakini sasa hivi family yote ni Yanga, na alipokuwa Muda alipoenda Azam na wao walikuwa Azam tena ilikuwa ikiwauma.

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mdathari Ana skills Hatarith-cam.com/video/l_xZ_B_idVo/w-d-xo.htmlsi=xkhMjSS5PHh9DU7j

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 6 หลายเดือนก่อน

      Unatangaza masanamu kwenye mambo ya soka?!😂