Asante sana kwa kunifatilia . Kitabu unakipata kwa kulipia 5000 kwenye 0784013400 Emanuel Minja Kisha unatumiwa kwa Whatsapp au email. karibu sana bwana charles
th-cam.com/video/OxVwf6uhtE4/w-d-xo.htmlsi=tMEPeWhNxnroh2a8 Bonyeza link hiyo utajifunza utumzaji wa nyanya kwenye tray hiyo ni sehemu ya kwanza inasehemu ya pili pia ukisachi utaipata
UWEKAJI WA MBOLEA kwenye kitunguu unaweka kwa kuisambaza kwenye jaruba tunaita kuchapa mbolea na ni vizuri uingize maji alafu ndo upige mbolea juu ya topetope maji yakishanywea
Kitabu unakipata KUPITIA Whatsapp au email baada ya kufanya malipo ya Tsh 5000 kwenye namba 0784013400 Emanuel Minja. Kuhusu kilimo cha vitunguu na tikiti ningeshauri utufatilie kwenye jukwaa letu la Facebook kwa kubonyeza link hii facebook.com/groups/803995816351821/?ref=share
Yaani kaka nikiipitia video hii najiskia raha sanq maana unachokisema ndivo ninavo fanya adi naondoka usiku shambani jinsi kijani ninanawiri na mazao sijawahi kuona kwa wingi craster moja adi 30 napata kazi ya kufungia kama vikonyo visikatike namshukuru mungu (((long life brother
Pole sana tazama video ya matunzo ya kitalu mwanzo mwisho andika hivyo itatokea IPO sehemu ya kwanza na ya pili imeelezea Kila kitu JINSI ya kutunza kitalu dhidi ya kata kiuno
Nashukuru mkuu kwa elim mungu akubarik
Asante sana blessed man
Nashukulu sanaa
Karibu sana
Elimu nzuri sana
Thank you brother I have know a d understand what I do no
Mkuuu punguza mbwembwe Unaboa Mtu kukusikiliza jikite kwenye pointi
Asante kwa fundisho nzuri kbs
Karibu sana boss
Hongera sana Elimu tosha Kwa mkulima.nakipataje hicho kitabu
Asante sana kwa kunifatilia . Kitabu unakipata kwa kulipia 5000 kwenye 0784013400 Emanuel Minja Kisha unatumiwa kwa Whatsapp au email.
karibu sana bwana charles
Very genius bro, huna uchoyo kaka. Barikiwa sana.
😂💪🙏 karibu sana mkuu
Tumeshuru sana mwalimu na tumefaidi vyakutosha kupitia minja kilimo
Tuendelee kubarikiwa
Umeupiga mwingi bro,umeongeza uwezo kwa mkulima,hapa kazi tuu.
Mbna tunyanya twa kawaida mbolea gani imetumika hapo😅😅
Ahsante sana kwa darasa safi. Naomba kitabu.
Karibu fanya malipo ya 7000 kwenye 0678231427 Emanuel Minja Kisha unatumiwa kwa Whatsapp au email. Karibu
Asante nashkuru kwa elimu nahitaji kitabu nitakipataje mm nipo Zanibari
Karibu kitabu unatumiwa kwa Whatsapp baada ya kuchangia 7000 kwenye lipa namba ya tigo 22211100 minja kilimo
Habari Asante kwa somo zuri kabisa hiyo ni mbega gani?
Hiyo ni assila da zubeda
❤upande wa madawa je na booster nazo. Kwenye nyanya zinafaa
Zinafaa sana
Shukuran Sana mkuu, naomba elimu ya hatua za usiaji wa Mbegu za nyanya kwenye trei na utunzanji wa miche
th-cam.com/video/OxVwf6uhtE4/w-d-xo.htmlsi=tMEPeWhNxnroh2a8
Bonyeza link hiyo utajifunza utumzaji wa nyanya kwenye tray hiyo ni sehemu ya kwanza inasehemu ya pili pia ukisachi utaipata
Umetupa darasa la maana big up
Karibu sana na Bado vitakuja vitu vizuri zaidi endelea kutufatilia
Umetisha kaka naomba namba Ili nijifunze zaid kuhusu kilimo please.
Tumekusoma bro endelea kutupa ujuzi
🙏💪
We are requesting the spray program also.
Sawa
Ninja kipimo SoMo lako Ni zuri sana
Asante endelea kutufatilia yajayo yanafurahisha zaidi
Vizuri
Kaka una maneno mengi Sana jikite kwenye point ili Mtu ajue nini cha Kufanya kimsingi unaboa Mtu kukusikiliza,
@@jamesmethusela1148 asilimia 98 wananielewa bro pole sana kama unaboeka
Haa! Unaweka kwenye mumea mbolea Npk tangu upandwe mpak utoe matunda
❤❤❤❤asnt kk minja
Nimekupata Vizuri Mkuu ninafuata sana ushauri wako.naomba Sasa darasa la kuweka Mbolea ktk zao la Kitunguu
UWEKAJI WA MBOLEA kwenye kitunguu unaweka kwa kuisambaza kwenye jaruba tunaita kuchapa mbolea na ni vizuri uingize maji alafu ndo upige mbolea juu ya topetope maji yakishanywea
Elimu yako NI nzuri Sana SHUKRANI, naomba kujua namna ya kupata kitabu hicho lkn pia naomba elimu juu ya kilimo Cha vitunguu na tikitimaji
Kitabu unakipata KUPITIA Whatsapp au email baada ya kufanya malipo ya Tsh 5000 kwenye namba 0784013400 Emanuel Minja. Kuhusu kilimo cha vitunguu na tikiti ningeshauri utufatilie kwenye jukwaa letu la Facebook kwa kubonyeza link hii
facebook.com/groups/803995816351821/?ref=share
facebook.com/share/p/YcAhXWVgUv1yBEvN/?mibextid=xfxF2i
Bonyeza link hiyo ikupeleke mojakwamoja kwenye kilimo cha tikiti
Yaani kaka nikiipitia video hii najiskia raha sanq maana unachokisema ndivo ninavo fanya adi naondoka usiku shambani jinsi kijani ninanawiri na mazao sijawahi kuona kwa wingi craster moja adi 30 napata kazi ya kufungia kama vikonyo visikatike namshukuru mungu (((long life brother
Nashukuru sana kuona unasaidika na mafunzo yangu tafadhali naomba share picha kwa Whatsapp yangu nione
Ok thanks
Ok, vzr sana, unaweka hizo mbolea kila baada ya muda gani sasa?
Wiki mbili
Naomba hapo kwenye kuongeza lishe toka gm 10 hadi 20
Hii code imeenda shule je kwa ukanda wa Pwani huku inafaaa?
Haswaaa code ni hiyo kote
nimejifuza mwalimu
Nina Imani kwamba familia yangu itaona mafaha ya minja kilimo nikiwa Bado hai
naiwe hivyo kama ulivyoomba. ameen
Poa saana, Sasa wewe ni mtalam kabisa. Following from Uganda. Mungu akulinde.
🙏💪
Hamna grup la wtsp
Kwa Sasa hatuna mkuu
Kitabu nakipataje?
Unatumiwa kwa NJIA ya Whatsapp au email baada ya kufanya malipo ya 5000 kwenda 0784013400 Emanuel Minja
ZANZIBAR
Nimekuelwwa kitabu nakipataje?
Lipia 7000 kwa lipa namba ya tigo 22211100 Minja kilimo au ya Voda 36070185 Emanuel minja Kisha unatumiwa kwa Whatsapp
Mimi ni mcongmani ,nafuraiya sn mfunzo ,tatizo kwetu hakuna mbegu nyingi zilizo bora.kuna:tanya,riogrand na tengero.
Poleni sana hizo mbegu ziko chini ya kiwango sana
Wewe ni mwl.wa kweli,vipi kuhusu nyanya inayodondosha mau na matunda? Nifanyeje kutatua tatizo hili?
Tafuta video ya kwann nyanya yangu inapuputisha maua imeeleza Kila kitu
Hiyo nyanya aina gani?
Hii ni assila F1
Je! Kunautofauti wa menagement kuanzia mbolea na madawa katika eneo lenye maji chumvi na maji yasiyo na chumvi?
Hakuna utofauti ila Kuna tofauti ya matokeo kwenye maji chumvi matokeo yatakua madogo sana ukilinganisha na maji baridi
Tupo pamoja na ushairi walo ndio mafanikio yangu
Karibu sana ndugu 🙏
Darasa liko vzur mm nimenunua trey na udongo wa kiwandan lakin kata kiuno imemaliza miche je shida nini hapo ? Nijib saiv
Pole sana tazama video ya matunzo ya kitalu mwanzo mwisho andika hivyo itatokea IPO sehemu ya kwanza na ya pili imeelezea Kila kitu JINSI ya kutunza kitalu dhidi ya kata kiuno
Hicho kitabu kinalipiwa kwa njia gani
Unatumiwa kwa Whatsapp au email baada ya kuchangia 7000 kwenye 0678231427 Emanuel Minja.karibu
Nakufatlia na kutabu nineisha nunua
Hongera da zubeda
No za whtsap nazihitaj
th-cam.com/video/oMBAhuVGCRM/w-d-xo.htmlsi=lP4X-Nu_Ku9Vp8ok
Bonyeza link hiyo ujifunze JINSI ya kuhudumia nyanya kwenye kitalu
0784013400
5000 chilings ni dollars ngapi ? Napenda noniue ile kitabu ya mulimo. Niko DRC Beni town.
Dollar 3 changamoto ni JINSI ya kuituma hiyo pesa
Ni almost $3
Nahitaji kitabu
Karibu unakipata kwa kulipia 5000 kwa 0784013400 Emanuel Minja Kisha unatumiwa kwa Whatsapp au email...karibu
👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎👎
Namba zenu za whatsApp plz
0784013400
Nahitaji kitabu
Karibu fanya malipo ya 7000 kwenye lipa namba ya tigo 22211100 Minja kilimo au ya Voda 36070185 Emanuel Minja