Mwalimu Mwenye ni kiwakilishi. Tukisema mtu mwenye bidii atatuzwa, basi mwenye ni kivumishi. Ukiondoa nomino mtu, mwenye litakuwa kiwakilishi. Tazama mfano huu pia: Mwenye kalamu amefika.
@@mwalimuesther8472samahani nimelirejelea swali. Ni kweli. Lakini kwenye mfano wako hapa Mwalimu mwenye, nikidhani Mwalimu ni nomino pia hivyo pia mwenye itakuwa kivumishi.
Kazi nzuri
Thank you for teaching us
Hayo maswali ningefeli vibaya saana 😢😢😢, Asante saana mwalimu
Tafadhali jaribu uweke karatasi vizuri iyonekane
Mwalimu je usipoandika sajili ni gani unakosa alama ya maswali zifuatazo au la
Utakosa alama hata kama sifa umepata. Maana kisahihi uwezi juwa sifa ukose kujua sajili
Kazi kuntu dadangu
Asante sana mwalimu 😍
Swali la (g) - Mwenye ni kivumishi cha pekee na bidii ni NOMINO. Haliwezi kuwa kiwakilishi cha nomino na lifuatane na NOMINO (bidii)
Mwalimu Mwenye ni kiwakilishi. Tukisema mtu mwenye bidii atatuzwa, basi mwenye ni kivumishi. Ukiondoa nomino mtu, mwenye litakuwa kiwakilishi.
Tazama mfano huu pia:
Mwenye kalamu amefika.
@@mwalimuesther8472samahani nimelirejelea swali. Ni kweli. Lakini kwenye mfano wako hapa Mwalimu mwenye, nikidhani Mwalimu ni nomino pia hivyo pia mwenye itakuwa kivumishi.
Mwalimu kazi murua hii. Pongezi
Pp3 letaa
Kesho kutwa Insha'Allah