HAKUNA MTU YOYOTE AMBAE ANA LAANA ZA UKOO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimekua mjinga siku sote lakini Leo nimejua ukweli kila Mara tunaambiwa laana ya ukoo Leo nimejifunza mengi, Mungu akubariki sana

  • @hamprehymuniss7458
    @hamprehymuniss7458 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @eliudolekete7891
    @eliudolekete7891 ปีที่แล้ว

    Waauh you are right man of God I just got you right away

  • @esthermrambamramba1570
    @esthermrambamramba1570 3 ปีที่แล้ว +1

    Woo Ameen Ameen hakika nnajifunza

  • @majuralutta2140
    @majuralutta2140 2 ปีที่แล้ว

    Kizazi cha tatu na cha nne kwa wamchukiao, mimi napenda kukuita Mwl wa kiroho maana unatumiwa kweli na MUNGU na umetuokoa wengi.

  • @himselftz4120
    @himselftz4120 3 ปีที่แล้ว

    Amen barikiwa Mtumish

  • @rosemndolwa6622
    @rosemndolwa6622 5 ปีที่แล้ว

    Amen.... sema tupone mtumishi wa Mungu 🙇‍♀️🙇‍♀️

  • @esternyamoronga5444
    @esternyamoronga5444 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana nimefunguliwa kwa somo hili

  • @godfreyntembelea4151
    @godfreyntembelea4151 5 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa somo hili

  • @jacquelinelameck9820
    @jacquelinelameck9820 3 ปีที่แล้ว

    Tupee maana ya laana hadi kizazi Cha 3 na 4 imeandikwa

  • @deborakasuva9728
    @deborakasuva9728 3 ปีที่แล้ว

    Mmh

  • @kennethkaunda6924
    @kennethkaunda6924 ปีที่แล้ว

    Why reject downloading?

  • @rozinamassawe4083
    @rozinamassawe4083 3 ปีที่แล้ว

    Nakuelewa sana

  • @esterlaizer5273
    @esterlaizer5273 ปีที่แล้ว

    Pastor hapo umefundisha vizuri sana kwamba dhambi itamuhusu aliyefanya
    But uovu ndoo tunaridhi kizazi hata kizazi
    Hapo jitahidi kutofautisha ili ueleweke vizuri

  • @neemajeremia774
    @neemajeremia774 5 ปีที่แล้ว

    Asifiwe Yesu wa Nazareth

  • @nuruabraham3769
    @nuruabraham3769 4 ปีที่แล้ว

    Amina! Lakini inakuwaje wale watoto wadogo wenye uchawi inamaana kwa umri wao wamefanya hivyo pia, unakuta mtoto miaka mitatu mchawi hatari. Mi nafikiri wanarithishwa na wazazi wao, au na koo.

  • @ellymdundo9889
    @ellymdundo9889 ปีที่แล้ว

    Mafundisho yako yanatusaidia kufunguliwa kutokana na mafundisho ya dini ambayo mengi yametungwa tu na wanadamu.

  • @yusuphkayoka5452
    @yusuphkayoka5452 5 ปีที่แล้ว

    Amani imeongezeka,aksante Roho Mt kwa mafunuo halisi

  • @emmanuelphilimon4113
    @emmanuelphilimon4113 3 ปีที่แล้ว

    Hapo pastor umefeli sana

    • @hajimnzava1972
      @hajimnzava1972 3 ปีที่แล้ว

      Laana ya ukoo ipo bana ,je naile unakuta ,fulana alikuwa tasa namwingine namwingine,je hio nitabia au laana?

    • @mustaphaassumani2963
      @mustaphaassumani2963 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ni Nani🤷🏿

  • @paulmabula5903
    @paulmabula5903 5 ปีที่แล้ว

    Bwana awe nawe mkeu amina

  • @everlynekaiga1784
    @everlynekaiga1784 4 ปีที่แล้ว

    Nashukuru kw funzo la ukweli

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 4 ปีที่แล้ว

    hapana! hapo sijakuelewa! kwa sababu 2fm 17:17 wazazi waliwapitish watot moton, wakafanya uchawi. uchawi ni roho jaman! na hii roho ina uhalali wa kukufuatilia kihalal. kwa hiyo mtumish fundisha jinsi ya kutenganisha hizi roho na mtu kupitia Neno la Mungu. siyo tabia tu there is spirt behind. hiyo kumb 24 ni baada ya wale watu kutubu kwa Mungu ndipo agizo hilo likatolewa, biblia haisemi hilo ni agizo la milele. bado ktk hilo hujafunuliwa mtumish ukae na Mungu tena vizur.

    • @denisjames7072
      @denisjames7072 4 ปีที่แล้ว

      Wacha kupingapinga mahubiri ya mungu

    • @nuruabraham3769
      @nuruabraham3769 4 ปีที่แล้ว

      @@denisjames7072 ni katika kujifunza sio kwamba anapinga, hakuna mkamilifu, kwani ametukana? Amepinga kwa hoja nawe wapaswa kumjibu kwa hoja. Sio kila unavyohubiriwa unakubali tuu, kwenye kutaka kujua lazima uulize au upinge ili ujifunze zaidi.

    • @estherkoya8410
      @estherkoya8410 4 ปีที่แล้ว

      Kweli uchawi ni roho sio tabia

    • @mwitamagesa1034
      @mwitamagesa1034 3 ปีที่แล้ว

      Ngoja wajichanganye