Daa Yani Una moyo sana,Hila Mwanamke ni shetani Kweli mitihani lakini malipo hapa hapa Duniani,Na Huyo rafiki ni nyoka ana Adabu siyo rafiki Kaka Una Imani sana
Pole Sana, kiukweli imenigusa hata mimi niliumizwa na mume wangu mpaka Sasa nimeikimbia tz, sitamani hata kumuona kwakweli, nikirudi salama nitawatafuta TIKI TV nijielezee yaliyo nikuta ili watanzania wenzangu wanichangie mawazo, pia naomba m/mungu anisaidi nisije Nika mzuru nikaalibu maisha yangu na ya wanangu kipenzi, yani sitosahau na bado namfikiri mpaka Sasa nifanye nini yule mwanaume ingawa ni baba wa mtoto wangu, ila ipo siku.
Mama angekwambia achana na huyo mwanamke, wakati ameshakutawala kimapenzi ungemwelewa mamako? Pengine naye alikuwa anaumia ila hakutaka shida, ndo ile wacha wayaone wenyewe
Yaan ungekua mume wangu halafu unaenda kufanya itavyuu ya kumuongelea x wako ningekuacha ili umrudie huyo ex wako pumbavu ww eti bado nampenda siwezi kumuacha mshamba wa mapenzi ww
Tatizo kubwa umekosea kabla hujaowa fata taratibu ndo uowe huwezi kumkuta mwanamke kwenye mziki akatulia wala kwenye clab akatulia .mara nyengine fata haya maelekezo 1:Angalia dini yake mna lingana 2:Angalia nasabu yake ipo vizur 3:Angalia uzir wake anavutia kwako 4:Angalia uwezo wao 5:Angalia tabia yake inafaa kwako
Mtu mwenye insafu Sana maana mmeachana lkn umetaja mabaya kidogo bila kusahau mema yake.Na kua Bado anaishi moyoni mwako na akilini mwako.Na ungali unampenda jana leo na hata milele.wala hujapata Demu mkali kumshinda yeye.Japo ameharibu maisha Yako umekua mlevi na umepoteza kazi nakumpoteza yeye pia mke wa maisha Yako.Japo licha ya hasira unao msimamo pia.Na utu umo ndani Yako.umemsamehe Rafiki Yako aliesababisha maumivu makali Sana maishani mwako.Na hukuacha kumtakia kheri Salma ambae kupenda ngono ni udhaifu wake tu lkn nae anakupenda pia.Salma utulie dunia ya leo sio ya enzi hizo.Maradhi ni mengi.Huo ndio usia wa muhsin
Huyo mdaku nae karibu afanye kijana wa watu auwawe na umeme baada ya kumpa taarifa kuhusu mke wake. Ndio angetafuta njia ya kumwambia rafiki yake. Mshenzi huyo..mimi hata nione mke ama mume wa mtu yuafanya maovu sisemi..mpaka ashikwe na mwenzake. Watu wanauwana siku hizi. Makosa
Enti. Mke. Wangu. Mwnyewe. Mzinifu. Tu kila saa. Wamkosea allahu. Kwa kuzini. Hata ungekufa kwa mpereshe. Ulikuwa unahasa tu. Bale ya allahu. Sk. Hizi. Manaume mumekwama wapi maana ndowa imekuwa mtihani kwaza enti mahusiana ndo baadye dawa ina ilah wainalilah rajughuna wala ni msimba mzito sana. Ndomaana azabu za alahu zinatufika bila kujijuwa
Sahau ndugu yangu! Ulimpenda lakini hakukupenda. Tafuta mwengine. Ni uchungu lakini kumbuka kuna wanawake wengi duniani kumliko Mara Mia moja! Toa akili yako kwake! Usijiroge bure na mawazo juu yake. Wenzako tumepitia mengi makubwa kimapenzi kuliko hayo uliopitia.
Maskini kumbe na mahari ulitoa?
Wanawake wa Singida na Manyara na warangi yani hata umfungie ndani anachepuka tu
Wew.dad.jiagalie.kauli.zako.wew.ni.mwanmke.pia.unaza
😠😠😠😠😠👈 hiyo Siyo kauli
@@ameenaameena1224 nin.umesem.ujumbe
Au.kuwasem.kabira.yawate.hakun.kambila.hayan.kasoro.kila.kambila.lina.mapungufu.wake
Mwehu wewe warangi tumetuliya
@@aishajuma7739 huyo.dad..anazalalisha.kambila.la.warangi
Pole Sana kaka Ila nakushaur urud kazn utampata mwanamke mwingine
Daa Yani Una moyo sana,Hila Mwanamke ni shetani Kweli mitihani lakini malipo hapa hapa Duniani,Na Huyo rafiki ni nyoka ana Adabu siyo rafiki Kaka Una Imani sana
Pole Sana, kiukweli imenigusa hata mimi niliumizwa na mume wangu mpaka Sasa nimeikimbia tz, sitamani hata kumuona kwakweli, nikirudi salama nitawatafuta TIKI TV nijielezee yaliyo nikuta ili watanzania wenzangu wanichangie mawazo, pia naomba m/mungu anisaidi nisije Nika mzuru nikaalibu maisha yangu na ya wanangu kipenzi, yani sitosahau na bado namfikiri mpaka Sasa nifanye nini yule mwanaume ingawa ni baba wa mtoto wangu, ila ipo siku.
Nsameh bure ili maisha mengine yaendelee
Pole sana Aisha
Ukowap
@@yusuphmwaipopo4307 ahsante🙏🏼
@@swaumujuma3209 nilikua mozambiki/ss nipo Oman.
🙆itakuwa huyo rafiki yako alipokuwa anapeleka kwa mkeo vitu unavyotuma alikuwa anajigamba yeye ndo anagaramia.
Hilo nalo neno
mhhh ila ulijikaza kweli, pole sana walah
Uanaume kazi sana
Dar aisee pole sana ila ndo maisha hayo nikweli inauma sanaaaa.
Kina mama sisi tuna siri sana.
ndiyo maana watoto wengi wanapewa mababa feki kisa kujikuta mna siri siri ndo nini
Hawa wanaume nao waumizwe tu mbona wamama tunawavumilia.
@@makinitv4891 Bimkubwa anangalia presha yako katika mapenzi ndio maana anakausha kwani mapenzi ni upofu
dahh hiyo ni laana jmn, kama mama yako mzazi yupo muombe afute hiyo laana maana ulishafanya alichokuagiza.
Muachie mungu tu.atapigwa na laana hadi ajute. Kuna laana ya mume.oa mwanamke mwingine wema wapo.nenda msikitini au madras utapata mcha mungu.
Subhannallaa
Pole kaka
Mama angekwambia achana na huyo mwanamke, wakati ameshakutawala kimapenzi ungemwelewa mamako? Pengine naye alikuwa anaumia ila hakutaka shida, ndo ile wacha wayaone wenyewe
Yaan ungekua mume wangu halafu unaenda kufanya itavyuu ya kumuongelea x wako ningekuacha ili umrudie huyo ex wako pumbavu ww eti bado nampenda siwezi kumuacha mshamba wa mapenzi ww
Hukua wakwanza, huyo dem kawazid ujanja, wewe alikuwekea ndimu kwenye K ukajiona wa kwanza😂😂
Tatizo kubwa umekosea kabla hujaowa fata taratibu ndo uowe huwezi kumkuta mwanamke kwenye mziki akatulia wala kwenye clab akatulia .mara nyengine fata haya maelekezo
1:Angalia dini yake mna lingana
2:Angalia nasabu yake ipo vizur
3:Angalia uzir wake anavutia kwako
4:Angalia uwezo wao
5:Angalia tabia yake inafaa kwako
Mtu mwenye insafu Sana maana mmeachana lkn umetaja mabaya kidogo bila kusahau mema yake.Na kua Bado anaishi moyoni mwako na akilini mwako.Na ungali unampenda jana leo na hata milele.wala hujapata Demu mkali kumshinda yeye.Japo ameharibu maisha Yako umekua mlevi na umepoteza kazi nakumpoteza yeye pia mke wa maisha Yako.Japo licha ya hasira unao msimamo pia.Na utu umo ndani Yako.umemsamehe Rafiki Yako aliesababisha maumivu makali Sana maishani mwako.Na hukuacha kumtakia kheri Salma ambae kupenda ngono ni udhaifu wake tu lkn nae anakupenda pia.Salma utulie dunia ya leo sio ya enzi hizo.Maradhi ni mengi.Huo ndio usia wa muhsin
Wanyatulu wazuri lakin malaya sana.
Kabisa kabisa Kuna mtu huku kwetu kamfumania na mpangaji wk Yani Malaya kishenzi hao wasenge namisimi yao iliyovutwa tangu utotoni mirefuuuuu
Kila mtu na malezi yake,usihukumu kitu kwasababu ya mtu moja ama wawili,kila kabila ni malaya ndio maana wanazaliana
Kweli mwanamke mpumvavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe.
We mwenyewe una matatizo kwendaaaa
Ila rafiki yako ndo mbaya, kwanini atembee na mkeo na anajuani mke wa mtu huyo.
Mhhh
Kwani huyo mwanamke hajui yeye ni mke wa mtu.
Wanawake wengine ni mtihani tuu wanajishokesha wenyewe kwa mashemeji sasa utamuachajes
Huyo mdaku nae karibu afanye kijana wa watu auwawe na umeme baada ya kumpa taarifa kuhusu mke wake. Ndio angetafuta njia ya kumwambia rafiki yake. Mshenzi huyo..mimi hata nione mke ama mume wa mtu yuafanya maovu sisemi..mpaka ashikwe na mwenzake. Watu wanauwana siku hizi. Makosa
Enti. Mke. Wangu. Mwnyewe. Mzinifu. Tu kila saa. Wamkosea allahu. Kwa kuzini. Hata ungekufa kwa mpereshe. Ulikuwa unahasa tu. Bale ya allahu. Sk. Hizi. Manaume mumekwama wapi maana ndowa imekuwa mtihani kwaza enti mahusiana ndo baadye dawa ina ilah wainalilah rajughuna wala ni msimba mzito sana. Ndomaana azabu za alahu zinatufika bila kujijuwa
Mh
Wanyaturu kazi ipo duh mnatutia aibu sana
Heee mtihani huo
Si bure hauko sawa!
Huyu jamaa ana moyo wa jiwe.
Hao walapunda niinshu niwamalaya saana
Haha hahaaas
Sahau ndugu yangu! Ulimpenda lakini hakukupenda. Tafuta mwengine. Ni uchungu lakini kumbuka kuna wanawake wengi duniani kumliko Mara Mia moja! Toa akili yako kwake! Usijiroge bure na mawazo juu yake. Wenzako tumepitia mengi makubwa kimapenzi kuliko hayo uliopitia.
pole 🤔🤔
Wanyaturu sio Malaya ,Ila ni wanzur Na siku zote kizur kinajiunza kibaya kinajitembeza.
@@esterntandu1999 kabsa
Eti utoe pesa ukamuoe? Hayo ndio makosa tunayoyafanya halafu tunalalamika
TATIZO LAKO UZINIFU
Huyo mwanamke ni malaya tu ata angemuoa ni bure tu malaya malaya tu
@@Mpakauseme UMEGONGA NDIPO KABISA
Uchungu kama huu ni matokeo ya Hamza.
Kutoka kenya sikosi kufuatilia
Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza ngangana tu na huyo umepata
Kama humuhitaji na uliamua kumuacha unakujaje kwenye mitandao kumzungumzia achane upumbavu wenu
Wanawake wanaompinga uyu jamah nawao ndo ukute ndo walewale
Mjinga tu
@@juliethjulius4835 kweli kabisaa
Mama kakose sana.iyo ni lasna wakat wewe ndio umeumizwa. Inabidi aitengue itakusulubu.
Mama hana makosa angemwambia ange mwambia mchawi mama yake bora kimya kina majibu
kama asingetoa hizo mali kumpa mwanamke hapo angepata laana
Wewe bwege kumbe.umependa uzuri utasota sana.mjinga wewe
Hee
Hiko alichokifanya ndy alichikikosa
Kazi kweli
Sio wanawake wa Singida,manyara Wala kondoa ndio Malaya ,ni huruka ya mtu atakavyojiweka yeye mwenyewe
Mume bwege huyu!