#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • #RiyadhTvZnz #Zanzibar #ShkMsabbah

ความคิดเห็น • 24

  • @aliseif2691
    @aliseif2691 3 ปีที่แล้ว +6

    Masha allah.
    Allah akupe afya njema ili uweze kutuelimisha zaidi,INSHAA ALLAH.

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 2 ปีที่แล้ว +1

    Mimi naangalia masheikh wengi wa Tanzania na Kenya lakini Sheikh Salim Msabah ufundishaji wake is best. Allah akuhifadhi.

  • @AliySaid-i2t
    @AliySaid-i2t 6 หลายเดือนก่อน

    Shekh Msabaha unanivutia Sana na darsa zako wewe ni mwingi WA elmu ya dini Allah akupe afya njema na neema za duniani na Aghera amiin.

  • @mrmuhammed8790
    @mrmuhammed8790 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheikh msabah aa wewe fundi bana dahh huzifatilia sana darsa zako tunapata ujumbe mzito inshallah Allah akupe umri mrefu

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 3 ปีที่แล้ว +2

    MASHAA ALLAH

  • @AbdallahHamad-ib8vj
    @AbdallahHamad-ib8vj 7 หลายเดือนก่อน

    Sheikh jazaaka llahu lkheir, he vp kuhusu ardhi saba

  • @nasseralmaqbali6317
    @nasseralmaqbali6317 2 ปีที่แล้ว

    Maashaallah sh Msabbah ni Ulamaa mkubwa sana haingilii madhaahib wala hamdharau mtu anatoa elimu ya kimataifa ✔️✔️

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 2 ปีที่แล้ว

    Allaha akujaalie kheir sheikh msabah mashallah

  • @mammukaratu4687
    @mammukaratu4687 2 ปีที่แล้ว

    Genius Msabahha !! Allah akutunze
    .

  • @mwashambamakame4435
    @mwashambamakame4435 3 ปีที่แล้ว +1

    Maashaallah, pure science

  • @mams1892
    @mams1892 3 ปีที่แล้ว

    Jazzakallahu khairan

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 3 ปีที่แล้ว

    Maa Shaa Allah

  • @swahibually1723
    @swahibually1723 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu wewe hodari wa maelezo, ALLAH akulipe kheri nyingi zaidi duniani na akhera.

  • @wamanja5572
    @wamanja5572 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh msabaha Allah akulipe malipo ya kheri unafanya kazi ya mitume na sisi tunasikiliza na kufuatiria darasa zako

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 2 ปีที่แล้ว

    Darsa zur sna Allaha atujaalie miongoni mwa waja wake wema

  • @suleimanissa6113
    @suleimanissa6113 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh uko vizuri mashallah. Tena una upeo lakini samahani hiyo minywele ipunguze ikate

    • @ibrahimnassorali3360
      @ibrahimnassorali3360 ปีที่แล้ว

      Huo nimuonekano aliochagua na cmakosa katka dini ya kislam

  • @hanashhanash535
    @hanashhanash535 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah

  • @swahibually1723
    @swahibually1723 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh nakuomba ukiona yafaa na ukapata nafasi,tutajie MIJI iliyotajwa ktk Qur'an kwa majina ya Zamani,utujulishe MIJI hiyo kwa Majina ya Sasa,mfano MADIANA;kwa leo ni MJI GANI?nk,in shaa a LLAAHU.

    • @SeifMjawir
      @SeifMjawir 6 หลายเดือนก่อน

      Lebanon uko

  • @bilalbaker9238
    @bilalbaker9238 3 ปีที่แล้ว

    ingekuwa malaika wanakuja moja kwa moja kwa nnvyowajua ingekuwa hatari. Huwa hawasiki lolote ila walilotumwa na Allah. Tingetia adabu sote. yani kama wanavyotoa roho ndio ingekuwa style leo/ Ahsante kwa darsa maridhawa

  • @shekhansaid9543
    @shekhansaid9543 3 ปีที่แล้ว

    Kiburi hakijengi kinabomoa

  • @MbeguBakari
    @MbeguBakari 11 หลายเดือนก่อน

    L