Lady Jaydee adai alitaka KUJIUA, 'Jana nilitaka kunywa sumu' Ujumbe wake wazua utata

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 139

  • @ingabireflavia9329
    @ingabireflavia9329 6 ปีที่แล้ว

    Our legend its good you invited all your fellow lengends like juliana en the rest

  • @roselineojwang6176
    @roselineojwang6176 6 ปีที่แล้ว

    Jay d you are the best in tz among the ladies,what ever situation you are it is temporary, it will be past just be strong God be with you, i love you for free even my family loves your work

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 6 ปีที่แล้ว

    Usijali unapesa kamakuhusu mtoto sio tatizo kama wetu wanaosema Sababu unamtoto usiwajali siku ukiwa tayari Uta Adopt aukupandiza somasana Bible fanya Yoga sali sana achana nawatu wenye maneno
    maneno be String tunakupenda sana tena sana mimi Na mme wangu CoolDown🙏🙏🙏🙏🌹🌺🌸💐🥀

  • @abuuomar6122
    @abuuomar6122 6 ปีที่แล้ว

    jaydee mungu atakuwa nawe hayo yote ni maisha tunapitia ondoa mawazo kama ni kupata mtoto ni majaliwa mie hapa sina mtoto nimeoa miaka 15 sasa na mke wangu wa ndoa kaisa na yy mke wangu yupo na watoto wawil na ni wanangu nawapenda sana nakuwa na mawazo wakati mwengine kuwa na msimamo wa mungu atakusaidia au fanya maarifa upate watu wa kuongea na watu wenye msongo wa mawazo
    jah bless jaydee

  • @mwaminindayishimiye4434
    @mwaminindayishimiye4434 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana Dada yakabizi Mungu akusimamie kwakila jambo tuna kupenda sana ❤from UK

  • @josej9888
    @josej9888 6 ปีที่แล้ว +12

    Kukosa mtoto kwenye maisha nikitu kigumu sana, unaweza kupata kila kitu unachotaka hapa duniani, lakini kitu kimoja kinaweza kufanya ukakosa amani pamoja navitu ulivonavo, mtoto anamtesa sana Jide.

    • @felixjunior4772
      @felixjunior4772 6 ปีที่แล้ว +1

      Ajalibu kwa kupandikiza

    • @ftmat2805
      @ftmat2805 6 ปีที่แล้ว +1

      Kweli lkn ajue Kuna mungu kutaka kujiua hamna faidah na hakujiumba mwenyewe yy kupata mtoto Ni majaliwa na kuolewa majaliwa asikate tamaa amtegemee mungu tu pekee🙏

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว

      Inawezekana.

    • @josej9888
      @josej9888 6 ปีที่แล้ว

      @@felixjunior4772 Wengine hawapendi kupandikiza.

    • @najma3268
      @najma3268 6 ปีที่แล้ว +1

      James Joseph Katunzi kweli kabisa kaka ,maisha nikitu kingine kabisa

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana mama Mungu atakusaidia dunia hii ni mbaya sana ukisikia kujiua sali kwanza alafu sikiliza nyimbo za Mungu

  • @sabrinasabrina8660
    @sabrinasabrina8660 6 ปีที่แล้ว

    Duuuu! Pole sana Jide mwenyezi Mungu akusaidie

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 6 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakusaidia tu dada yetu , utapata tu mtoto, mungu ndio mtoaji.

  • @zainabumtubwi263
    @zainabumtubwi263 6 ปีที่แล้ว

    Munhu akuodoshee mawazo mabaya maisha ni safari na jua linalokukuta mungu amekupangia .kua na imani .dada tafuta mtu wa kuongea nae ili uweze kuwa na amani .pole sana

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana #jide unachokiitaji Allah atakufanyia wepesi utafanikiwa kwa uwezo wake inshallah.

  • @tahrinkessy7119
    @tahrinkessy7119 6 ปีที่แล้ว

    Yarab amuepushie dada yetu na mawazo hy me niko upande wa bby sky kuna mijitu haijielew eti jmn dada komando tatizo lisikufnye ukafikia htua hy love #SnS

  • @kanezajoella6663
    @kanezajoella6663 3 หลายเดือนก่อน

    Ukiona mtu anaamuwa kujiuwa moyo unakuwa umechoka sana nilipitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu ila nilipokuwa nataka kujipa sumu nakumbuka upendo Wa MUNGU kwangu hilo tu lime nifanya nisiwazi ninayo ya pitia ao wanayo nifanyiya binaddamu mtu kama huyu anaitaji kuongereshwa na kuwa nae karibu kumpa moyo na faraja

  • @sakinaomar301
    @sakinaomar301 6 ปีที่แล้ว

    Pole mamy God bless u

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 6 ปีที่แล้ว +5

    Nyumbani hatuna tabia ya kuadopt mtoto ( kuchukua mtoto yatima na kupata nyaraka za kisheria awe wako) unamlea na anakuwa mtoto wako Kama wa kuzaa pamoja na haki zote unapata. Huku nje watu wengi wanafanya hivyo Kama wanataka watoto na hawana uwezo wa kuzaa au hawataki kuzaa Tena ila wanataka watoto zaidi ya mmoja. Nadhani Kuna watoto yatima wasio na ndugu hata mmoja, waliokotwa barabarani au mtoto alitupwa chooni akaokolewa na wapita njia, wanatamani matunzo hata ya mama tu, na Jay D angeweza maana uwezo anao. Ingesaidia pia kusaidia serikali kupunguza watoto wa mitaani, yaani Jay D usife moyo mama, kumbuka Mungu anakupenda na yeye ndio mpangaji wa maisha yako.

    • @aminaabdallah3644
      @aminaabdallah3644 6 ปีที่แล้ว

      It's good idea but sisi africa itakuwa yele yele oho mtoto siwako basi it hard😔😔

  • @mariamsamira5826
    @mariamsamira5826 6 ปีที่แล้ว

    Pole baby jaydee ila amini kila kitu mungu ndio kapanga ukiamini utakuwa ok

  • @annamlay6088
    @annamlay6088 6 ปีที่แล้ว +2

    Dada Jaydee nakuomba ufahamu hakuna situation ambayo ni permanent. Jipe muda utakuwa okey. Suala la mtoto usihofu utampata tu, watu wanazaa hadi na miaka 50 hivyo you still have time.

  • @annastaziakibole5603
    @annastaziakibole5603 6 ปีที่แล้ว +2

    nimeshuka sana kusikia anataka kujwa sumu. n jambo gan gumu ata unywe sumu. wew ni komando mlilie mungu atakusaidia

  • @zulfaabdallah3217
    @zulfaabdallah3217 6 ปีที่แล้ว

    Masikni pole sana dada angu mpenzi mlani shetani isha Allah Allah akupe afya na shufaa anijalie maisha marefu yenye mafanikio

  • @rehemagomile7764
    @rehemagomile7764 6 ปีที่แล้ว

    Jamani comando jide Mungu akusaidie tunakupenda dada usikate tamaa, songa mbele

  • @felixgerald5879
    @felixgerald5879 6 ปีที่แล้ว

    Pole dada ata yesu alipitia magumu ndio maana akasema dunia kunamagumu kikombe hicho kikuepuke dada yangu

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 6 ปีที่แล้ว

    Seymour is perfect...baby sky usimjaji pia nimtazamo wake muone tuu kama yuko sawa na very real... according to him/her...

  • @kuluthummbegakulu7564
    @kuluthummbegakulu7564 6 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤love sns asichoke kumuomba mungu kwani yeye ndo atoaye

  • @ingabireflavia9329
    @ingabireflavia9329 6 ปีที่แล้ว

    Ladydee please if you read this comments please believe in God of abraham isac en jacob the same God who blessed Sara with a baby at the late ege he's the same God who will bless you with a child trust me God's time is the best.Jaydee please come to kampala to my church at the synagogue church of all Nation prophet Samuel kakade will pray for you trust me that's something small before God u will testify my sister have loved u since day one my long time musician, please jaydee make it a point come to kamplala and be prayed for you will see miracles in your life there is God in that church people who were burren have becone mothers of twins men who are not fuctioning have been prayed for yani i can't say it all try en come to uganda please hun, may God' presence be upon you

  • @daudisimwinga1324
    @daudisimwinga1324 6 ปีที่แล้ว

    Pole jidee life is so challengeabld,have faith in God and be slow in heart

  • @abdallahlippi8669
    @abdallahlippi8669 6 ปีที่แล้ว

    pole sanaa dear hata mimi kuna siku nilitaka kujiuwa

  • @KhadijaKhadija-mk6jf
    @KhadijaKhadija-mk6jf 6 ปีที่แล้ว

    Dada angu polee Sanaa

  • @hejopansimon5217
    @hejopansimon5217 6 ปีที่แล้ว

    Pole dada

  • @tamalijafari8311
    @tamalijafari8311 6 ปีที่แล้ว

    Pole kamanda Jay Dee

  • @ftmat2805
    @ftmat2805 6 ปีที่แล้ว +2

    Kuolewa majaliwa kuzaa majaliwa only god knows why lady jay Dee ondoa fikra hiyo hukujiumba mwenyewe shidah zako mtegemee mungu tu pekee 🙌

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 ปีที่แล้ว +1

    Sky na bby sky nawapenda 😍😍😘

  • @maureenmwimano1973
    @maureenmwimano1973 6 ปีที่แล้ว

    pole sana jay dee

  • @kikukukijoka1452
    @kikukukijoka1452 6 ปีที่แล้ว +2

    Pole jide inshaallah mungu atakuvusha kwa hilo na jengine jipe moyo na imani kama unaweza dada nasi tunakuombeya

  • @phayphay8471
    @phayphay8471 6 ปีที่แล้ว

    Mm naona urudi nyuma kwenye history yako kama umekosana na Family yako ndungu na jamaa pamoja na church yako urudi ukaombe msamaha manbo yatakuwa sawa tu mungu akuondolee matatizo yanayo kusumbua🙏

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 6 ปีที่แล้ว

    Dadaangu shetani ameshindwa,kwanza umemuaibisha. Mwambie shetani wewe huwezi kufa labda kwampango waMungu. mungu akutie nguvu ktk harizote.

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akunusuru wallah 😢😢😢😢😢

  • @christinetimothy5805
    @christinetimothy5805 6 ปีที่แล้ว

    Inaweza kua siomtoto labda nimahusiano. Watanzania msipende kumuongelea mtu kitu ambacho yeye hajasema. Kama nimtoto kwanini asjiue ckuzote aje ajiue Leo?? Kuweni waangalifu Sana.

  • @gloriamruma1313
    @gloriamruma1313 6 ปีที่แล้ว

    Jidee nakupnda hao ndo wanadamu bana!!!!

  • @nurunakalema386
    @nurunakalema386 6 ปีที่แล้ว

    May God forgive u dia and back to Jesus Christ nijibu too

  • @jrawwtz
    @jrawwtz 6 ปีที่แล้ว +1

    Duh hatari sana maisha yamekua na utata #ladyjaydee

  • @nikitadiamorelivingstone2831
    @nikitadiamorelivingstone2831 6 ปีที่แล้ว

    watu wanaojibu majibu ya ovyo kama hayo, ni watu ambao pia wameshajikatia tamaa ya maisha, hawaoni umuhimu na thamani ya mtu kuishi.hivyo kifo hukichukulia poa tu, huwa hawajali hisia za mtu.hivyo kwenye mitandao kuna watu na viatu

  • @laymapeace4538
    @laymapeace4538 6 ปีที่แล้ว

    pole dadaangu mungu atakujaalia utapata tu

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 ปีที่แล้ว

    Uyu dada mm nampnda wallah

  • @alikiba9723
    @alikiba9723 6 ปีที่แล้ว

    RIP #LadyJaydee 🤦🏻‍♂️🤷🏻‍♂️ +1

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 6 ปีที่แล้ว

    Mwenyeezi mungu akuepushe hapo na penginepo inshaallah 🙏 @ lady jdee mshinde shetani katika moyo wako

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 6 ปีที่แล้ว

    Pole dada yngu ndio maisha ayooo

  • @ashrafjuma8438
    @ashrafjuma8438 6 ปีที่แล้ว +4

    anayetaka kunywa sumu huwaga hasemi huyo alitaka kunywa chai

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 ปีที่แล้ว

    Hamna elimu hapo watu wengi humu ndani watu ni ovyo maisha yamewachanganya hawajali tena watanzania tumekua wanyama

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 6 ปีที่แล้ว

    Ni vibaya kupost personal feelings when you are DEPRESSED..... shida ni wasanii wamezoesha watu kufanya #KIKI ..... hata mtu akifa we still think ni kiki....... mm nko na DEPRESSION na am a SUICIDE SURVIVOR but when am DEPRESSED DEEP REST IS MY BEST OPTION

  • @alikiba9723
    @alikiba9723 6 ปีที่แล้ว

    Tena mwambiye akijiuwa apeleke Salam kwa Legend Kanumba,Mzee Majuto nawenginewo bila ku sahau nduguzetu waliyo poteza maisha yawo bila kupenda kwa ajali ya maji #MVNyerere na asisahau kutubu kanisani 🤔😏+1

    • @salmaalabrawi7867
      @salmaalabrawi7867 6 ปีที่แล้ว

      Jamani mbona binadamu nyie hamusalifiki mwacheni aseme mwenyewe kipi kilichomkera

  • @issasalum7284
    @issasalum7284 6 ปีที่แล้ว +1

    No positive from Everyone, Another can post Negative, tukubaliane na hali,

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 ปีที่แล้ว

    mtihani kweli Duniani kuna watu wengine hatujui tutendalo

  • @zumratkajonje6365
    @zumratkajonje6365 6 ปีที่แล้ว

    nawapenda sana sky na baby

  • @vumimanga9363
    @vumimanga9363 6 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh jamn 😕😕

  • @jasmenejuma6025
    @jasmenejuma6025 6 ปีที่แล้ว

    you need to what??

  • @superwomen233
    @superwomen233 6 ปีที่แล้ว

    mungu ampe subra

  • @blacknature7637
    @blacknature7637 6 ปีที่แล้ว +1

    Bangi ilimzidi tu

  • @mankahsebastian7658
    @mankahsebastian7658 6 ปีที่แล้ว

    okoka tu sasa yatosha

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 6 ปีที่แล้ว

    Pole jide chukua watoto wasio na wazazi itakusaidi maana pia wanahitaji malezi na utabarikiwa

  • @AizackWay
    @AizackWay 6 ปีที่แล้ว

    Jidee wangu jamani nini kimekusibu hadi unafikia hatua hiyo

  • @zachariamishai7258
    @zachariamishai7258 6 ปีที่แล้ว

    Uyo aliekoment ivo kanitia hasira sana😞😞🤒 safar bado, ipo cku yake mpuuz mkubwa uyo aliekoment hapo🙁😞

  • @najma3268
    @najma3268 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana dada, yaan huyo mtu alo coment hana akili na atakuwa mchawi yaan

  • @saudamanyongo5766
    @saudamanyongo5766 6 ปีที่แล้ว

    Yani awana ubinaadamu kabisa kunakitu auwezi kumwambiya mweziyo

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว

    Daaaah😢

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 6 ปีที่แล้ว

    SNS mmenikwaza Yan nmejiunga DCB tangu juzi lakn cjapata notification yeyote Kama nimewa accepted

  • @evabonfas21luvata7
    @evabonfas21luvata7 6 ปีที่แล้ว

    Mmmm bina dam tuna tabia mbov dunia simama ni shuke

  • @manalibaby4192
    @manalibaby4192 6 ปีที่แล้ว +2

    Kama ambavyo kuna warefu na Wafupi, wembamba na wanene, wazuri na wabaya, wapole na wakorofi, werevu na wajinga, ndivyo ambavyo tumetofautiana kiakili, mie kwangu huyo kijana aliemjibu Jd maneno hayo naweza sema hajijui wala hajitambui..mungu amsamehe tu,

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 6 ปีที่แล้ว

    Usinywe Sumu.kunywa gongo utapata nafuu!.

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 ปีที่แล้ว

    me naona sikuizi watu wamechanganyikiwa namitandao inawaendesha keeli vichwa vimekua kama wehu

  • @janesuma2193
    @janesuma2193 6 ปีที่แล้ว +1

    wa kwanza kucoment uyu ametafuta kiki ili akili za watu zihamie kwake waje. mliman kwa wingi jaman mastaa wabongo ni number one kwa kiki haki ni balaa sana

  • @stainasmkoko604
    @stainasmkoko604 6 ปีที่แล้ว

    Wapi spicy mtu wake

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 6 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔

  • @shafee9128
    @shafee9128 6 ปีที่แล้ว

    Ningumu kuelewa mpk yakupate

  • @alikiba9723
    @alikiba9723 6 ปีที่แล้ว

    Ebhana sikilizeni kwanza wacha nimpe pole kwa #Jaydee kwa kutaka kujiuwa ingawa kisa hatukijuwi ila mimi ukifikia kisa eti unataka kujiuwa kivyangu mimi siwezi nikakukataza coz kama unania yakujiuwa mwenyewe je kwa mtu baki itakuwaje si utanyongatu....😏😏+1

  • @suleimanali3716
    @suleimanali3716 6 ปีที่แล้ว +2

    Anataka kutombwa tu huyo,,, watu wanaziki na maisha yeye analeta drama za kisenge

    • @ftmat2805
      @ftmat2805 6 ปีที่แล้ว

      Jaman tumpe moyo mwenzetu

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว

      Pumbavu wewe fanywa wewe bac.

    • @suleimanali3716
      @suleimanali3716 6 ปีที่แล้ว

      @@saumuhassan6365 kumamayo, kakoshe kumalako

    • @saumuhassan6365
      @saumuhassan6365 6 ปีที่แล้ว

      @@suleimanali3716Mamako wewe kakuzaa na mboro acha kudharau Kuma ya Mamako au uchi wa Mamako maana kakutolea umo unapopadharau.

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 ปีที่แล้ว +1

    Kiukwel watu hawana utu kweny stress za watu, baaady mkatoa msaada kwa ushauri

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 ปีที่แล้ว

    Huyo anatafuta kiki ndio maana anaendelea kubishana

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 6 ปีที่แล้ว

    Same people dnt have sympathy or respect for humanity ☹☹

  • @maryammarym4437
    @maryammarym4437 6 ปีที่แล้ว

    Polen sana maana janjaro pia ata ajiuwe si mtihan huo

  • @KAMTUPE
    @KAMTUPE 6 ปีที่แล้ว

    ajinyonge tu

  • @suleimanali3716
    @suleimanali3716 6 ปีที่แล้ว +1

    Anataka kufiwa tu huyo

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 6 ปีที่แล้ว +1

    Kuna wtu hawana imani

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 6 ปีที่แล้ว

    Km anamatatiz mung amsimamie bado tunakuhitaj na tunakupend jd kuna weng tunamatatizo but tumevunga na kumuomb mung sali sana my love sister

  • @emmamueljerryeasther3833
    @emmamueljerryeasther3833 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mtu aliyejibu maneno ya ovyo hivyo kwa mtu aliyepata msongo wa mawazo ya kuwaza kujiua ana tatizo la akili au yawezekana alishawahi kutumia madawa ya kulevya au anavuta bangi akili yake c sawa au kakosa malezi bora so anajiendesha bila kujielewa. Mimi mwenyewe kanichafua roho. Poleni jamani hata nyie mnaofanya kazi kwenye midia mnakutana na sms zenye makwazo. Zaidi sana huyo mtu hana Mungu ndani yake. Maisha yake yamejaa ushetani. So anahitaji maombi.

  • @thebenzclassic1905
    @thebenzclassic1905 6 ปีที่แล้ว +1

    Kwangu mim sioni tatizo uyo jama yuko Sahii, yote hii inatokana na kiki zao walizo tuzeweza sisi ma fans.Hata kukitokea jambo mbaya kwao sisi kichwa tayari tu najuwa ni kik

  • @hamidizojaphariii384
    @hamidizojaphariii384 6 ปีที่แล้ว

    Daaaa!binadam bwaanaa upendo na imani hamna kabisaa

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 6 ปีที่แล้ว +3

    1 kucoment

  • @lucygodlove8838
    @lucygodlove8838 6 ปีที่แล้ว

    JD anakila kitu ambacho mwingine hana,lakini hana furaha moyoni na yawezekana anahitaj kitu kidogo sana ambacho kinaweza sababisha matokeo makubwa sana ambacho ni Furaha..Furaha ni kitu kikubwa saana kwa binaadamu.hapo alipofikia anahitaji msaada sana mnoo,ndg zake na watu wake wakaribu wafanye kitu juu yake...

  • @rockyvlogs2214
    @rockyvlogs2214 6 ปีที่แล้ว +3

    Kuna watu hawawazi kabla ya kucoment and trust me anaweza comment upuuzi akapata wanaomsapoti wengi tu just imagine hapo kapata like Saba lakin kiukweli inabid tuwe na hofu yamungu

    • @sophiamose1328
      @sophiamose1328 6 ปีที่แล้ว +1

      Wazoee Binadam mimi sipendi kusaport coment za Ujinga mtu anatoa coment kana kwamba ame shikwa koo

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 6 ปีที่แล้ว

    Dawa ya depression ni Yesu, lady Jay Dee njoo kwa Yesu, yote atayachukua yeye na utakuwa na amani. Depression is some sort of Demon. Devil is tormented you, he is pushing you, he is always give you negative thoughts. Ni ushauri wangu kwa sababu Nina a lot of testimonies, humu mitandaoni ndo utakutana na comments za na baba na ma Mama wa mashetani watakuongezea matatizo. Jesus is an answer.

  • @zahoorzozo2241
    @zahoorzozo2241 6 ปีที่แล้ว

    Jide we ni commando nakuamin sana what happens my dear?

  • @fncmedia11
    @fncmedia11 6 ปีที่แล้ว +2

    Binadamu wamereta uchawi Instagram

  • @gracerenady9425
    @gracerenady9425 6 ปีที่แล้ว

    Wakwanza leo mimi

  • @lilianjeremiah2880
    @lilianjeremiah2880 6 ปีที่แล้ว

    Kuna watu wakurupukaga just it

  • @jojininga3191
    @jojininga3191 6 ปีที่แล้ว

    Apo kaka ndounankoshaga ukitangazaga ww na shemeji

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 ปีที่แล้ว

    Mungi atampa mtoto tuu inshaallah wallah

  • @fatumaally3266
    @fatumaally3266 6 ปีที่แล้ว

    Jd otagema kunywa isumu olakwa

  • @realsifas5168
    @realsifas5168 6 ปีที่แล้ว

    Wana SnS mimi namuunga mkono uyo alie mwambiya ati awezi acha yatima,lady ni mtu mkubwa na mwenye heshima yake na anajuwa watu wangi tu wakubwa angeweza kuwaonyesha jambo ilo nawangemsaidia kwa kumshauri lakini kwa nini aweke ma tatizo yake mtandaoni na anajuwa kama kuba wa chawi wa Levi wenye ma tatizo kama yenye kuzidi na yakwake kwaiyo asitarajiye aonewe tu uruma yeye

  • @lucychande3963
    @lucychande3963 6 ปีที่แล้ว

    Ivi hawa ni mtu na mkewe, Namaanisha hawa watangazaji...naomben jibu wadau mnaofaham..

  • @sophiamose1328
    @sophiamose1328 6 ปีที่แล้ว +2

    Usijali Dadangu binadamu wengine wana ujinga sana ila usijali jus teck it izii bby