Kwa sasa tupo kwenye process ya kurecording na tutakuwa,na usiku wa neema ambapo tutaachia nyimbo hiyo siku, ndipo baada ya hapo tutajiandaa kwa shooting na kuachia album ya tatu.
Ni kweli mtumishi tulipata changamoto hasa tishio la corona lilitupa wakati mgumu. Ila hivi karibuni tutatangaza tarehe ya kuzindua. Endelea kutuombea mtumishi.
Ee Mungu bariki kazi yao Album mpya ijayo iwe yenye Baraka tele na Mafanikio ktk Kanisa la Mt.Andrew Msalato,..............
Nawapenda sana mungu awabariki sana nikisikiliza nyimbo zenu hata kama na magumu kiasi gani nauona ukuu wa mungu
Ni maombi yetu uzidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu.
Jamanai nyimbo nzuri sana mbarikiwe mt andwer nawapenda
Aisee Tanzania tumebarikiwa mnoo kunavipawa mubarikiwe mnooo
Amen
Hakika kupitia wimbo huu, kiimani namuona Mungu. Kazi nzuri sana mbarikiwe munomuno.
This is by far their best record to date. May God bless you
Amen
Mungu akubarikini sana
Wapendwa mnaachilia lini hizi nyimbo? Tunazisubiri kwa hamu kubwa sana
Kwa sasa tupo kwenye process ya kurecording na tutakuwa,na usiku wa neema ambapo tutaachia nyimbo hiyo siku, ndipo baada ya hapo tutajiandaa kwa shooting na kuachia album ya tatu.
Mungu azid kuwainua Sana, 😍😍😍☘️
Tunasubiri Album kwa ham Sana wapendwa. Mbarikiwe 🙏😇
Wapendwa bado tunasubiri albamu hii
Endelea kutuombea mpendwa kazi tumeshafanya audio bado video. Lkn tunajipanga kwa ajili ya usiku wa NEEMA kwa sasa
Be blessed watumishi
My fav.SONG
Kazi nzuri. Mungu awabariki.
Amen
Muhawa yalugutwe muno muno!
Mbarjkiwe jamani🙏
Amen 🙏
Mawasilian0 yenu
0685502771
Wapendwa tunaomba mrejesho wa albamu yenu Kama mlifanikiwa kuitoa
Bado mtumishi, tunaweka mambo sawa ili tutoe. Endelea kutuombea mtumishi wa Mungu.
Wapendwa album ya tatu itatoka lini? Maana tulisubiri tar 3 mwezi April kama mlivyosema
Ni kweli mtumishi tulipata changamoto hasa tishio la corona lilitupa wakati mgumu. Ila hivi karibuni tutatangaza tarehe ya kuzindua. Endelea kutuombea mtumishi.
@@Mt.Andreakwaya Amina, Mungu awatangulie
Wimbo huu ulishaachiwa?
Bado mtumishi, ila utakuwepo album ijayo.