Iko sawa thanks kwa kutupea morale...then for me ningekwambia uzipage kama ni beers Counter moja ,,,spirits counter moja,whiskys counter moja,creams counter moja,Gins counter moja,vodka counter moja,brandy counter moja...uache kuzichanganya atlesat display yako ikae more decent🥰🥰🥰🥰much love gal
Go for prayers,you see that rejection that you are passing thru can lead to anything, vile nimefuata shows zako rejection ilikuanza utotoni kama mimi.....Sio kawaida sis, please hear me and i would like to be your friend.
Pookie ujue kupanga counter 🤣🤣hiyo viena ingekuwa chini ya hizo spirits ,,,nasema pombe hupangwa na bei yake kuteremka ,,,,,thats great dear good job ,,,watching from Alaziziyah riyadh,,,🥰🥰🥰🥰🥰
I prefer club ya bear coz utaweka hadi keg na keg iko na doo sana, tena hii unafunga 6 na ndio watu wanaanza kulewa?wee me naona ya all pombe ikiwa sawa than wine and Spirits
Aki ata mmi nimebabika na yeye kutushow ukweli ..nilikua nataka kueka yangu but mwenye nauliza ananishow uongo..imagine 200k nko na pub na mwenye nauliza ananishow pesa ni kidogo
Watu wako na depression hapa wanatafuta kule wataoffload pressure zao SASA umri wake unakuumiza na nini SASA wewe ndio umezaliwa saa hii Jelousy type hopeless idle type tafuta KAZI ufanye and stop cyber bullying. Gal you look great don't listen to loosers 🤬🤬

Wow God bless you
🙏🙏🙏
I love your energy gal, I'll meet you when I come to kinia,go go go gal
Wow nimeipenda 😘 thankyou mama 🙏 now nimejua venye nitaanza yangu😊❤
Thank you mama keep going
Go for prayers,you see that rejection that you are passing thru can lead to anything, vile nimefuata shows zako rejection ilikuanza utotoni kama mimi.....Sio kawaida sis, please hear me and i would like to be your friend.
The best thing she should do is accept she has been rejected and think about her own life and her children, you can't force people to love you
Alcohol business is dirty money....
More blessings
This girl is very real...I like her so much 🥺
Nakutakia mema nakuombea mema Mungu akuinue usiwahi rundi gulf.. you're strong woman you will make it in life in Jesus almighty name Amen.
Thanks for your advice that's my plan when am back home
Keep it up.
Mum your very strong 💪 Bigup and may God continue blessing u n open your all ways 🤲
Mungu akuinue zaidi my Hard work 👧
Keep on pushing girl..I can say is that you are a very strong woman.God loves you
Girl you going far God bless your work
Pookie nikitoka saudi naweza tamani kukutebelea aki uko n roho mzuri mungu abariki biadhara yako
Mbona unashindwa kuongea 🤣🤣🤣
Mashalla ukopwa Sana
God bless the work of your hands beautiful 🙏🙏🙏🙏
Good job and God bless work off hard 🙏🙏🙏
Jikazee mamaa, don't give up, you are a hardworking person, keep pushing for the sake of your beautiful kids. Remember God loves you
Keep it up👏👏👏 good job
Distribute ....good work 🙏
Good job dear i love that 😘
Please 🙏 I need to talk to you personally girl you are so real don't give up
Great advice even me am planning for it
Nakupenda my sister
May God bless you ❤
Thanks alot gal you are going fsr
Keep pushing mydea....sky is your limit....
Keep it 💯 👌 nakupenda
More blessings gal🙏🙏
Pookie ujue kupanga counter 🤣🤣hiyo viena ingekuwa chini ya hizo spirits ,,,nasema pombe hupangwa na bei yake kuteremka ,,,,,thats great dear good job ,,,watching from Alaziziyah riyadh,,,🥰🥰🥰🥰🥰
Great I have learned alot dear because am planning to start
One step at a time ata matajiri walianza apo keep pushing
May Jehovah God give u the reason to smile
Keep up the good work
Wow good job
Good job pookie nakupenda bure
Thanks dear nataka kuweka
Thanks mama.i have learnt something
New subscribe ❤️😘 good job Mama ❤️❤️❤️
Good job and great advice
Hitoo
push push mama, but kiambu sisi tunalipa 100k for license
Good job keep up
Kibao, hunters wanaitwa kwal
I prefer club ya bear coz utaweka hadi keg na keg iko na doo sana, tena hii unafunga 6 na ndio watu wanaanza kulewa?wee me naona ya all pombe ikiwa sawa than wine and Spirits
Dont worry my dear mungu atakukupuka
New subscribe ❤️
You have a good hurt my sister
Hio chuki ya kwenu imeniuma sana but beliv in God alone
Kabisa👍
Thank congratulations pokii
Wow
Jikaze Mama utaweza tuwa strong
God bless u gal
❤❤❤❤❤TEAM STRONG
❤❤❤🙏🙏go go girl
New sub,,
Good job pokie
Kidistribute dear 💕
Toa tithe siz hii bzy itagrow sna
I agree with you
Thanks dear hata umenitia moyo Hapo Kwa pesa ya lincse wengine wanatuambia pesa mingi Hadi unashtuka but thanks dear
Aki ata mmi nimebabika na yeye kutushow ukweli ..nilikua nataka kueka yangu but mwenye nauliza ananishow uongo..imagine 200k nko na pub na mwenye nauliza ananishow pesa ni kidogo
Licence ya wines siku hizi inadepend na counties. Kuna county ata ziko chini ya hiyo 66 and others kama Nairobi ni over 100k
Congratulations 👏 are in order
Good job 👍👍
Uko mbele mrembo ata mimi natamani hii job
I love your work dear but punguza kunywa ndo kazi iwe sober ❤️❤️
Aki kweli may God remember her one day
Good advice
Usago wanawake wanawivu wanaweza Sema wazee wameibiwa
Good job kairitu
New subscribe even me ithink for this job thank for advice gal
How much did u start witch
200
❤️❤️❤️❤️❤️❤️👊👊Team strong
Usikumywee lkn pia kumbukaa ni kharamu jaribu pia kufugaa kukuu
Good job
Kwani wewe ni WA Nakuru kwetu
I love you for free aki mama
Work hard dear
Watu huwa wanaruhusiwa kunywa hapo ndani
Mach love u pookie
Umeweka side gani nax
my sister ni Fetty pia
Thank you dear all the best 👌
Haki naombaa nijibuu duka ni lako
My sister could u please use English throughout .some of us do not know Kiswahili language.Thanks
thanks 😘 for showing me
Thankx pookie I get my unser🙏🙏🙏
Wow 😍😍, keep on going dear
Pls I need to talk to you and see you in person..we can work together
Macho inakuuza wewe ni cucu,weka nywele colour inastahili
🙄🙄Acha izoo
As if hutawai zeeka
We ni mchawii aki,,
Watu wako na depression hapa wanatafuta kule wataoffload pressure zao SASA umri wake unakuumiza na nini SASA wewe ndio umezaliwa saa hii Jelousy type hopeless idle type tafuta KAZI ufanye and stop cyber bullying. Gal you look great don't listen to loosers 🤬🤬
Roysambu Monday kulikuwa na police wa 200 wa kagari ,na wa 50 na mwingne wa 50 ..in total 300
Daily ama
Pookie hapa ulikuwa sober kweli🤣🤣