PROPHET PASSION JAVA, PROPHET LOVY ELIAS walivyotua Tanzania kwaajili ya Mkesha wa Usiku wa Maajabu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2023
  • PROPHET PASSION JAVA na PROPHET LOVY ELIAS walivyotua Tanzania kwaajili ya Mkesha wa Usiku wa Maajabu
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 108

  • @colyndelwa1738
    @colyndelwa1738 7 หลายเดือนก่อน +11

    Hakuna kipya, yote tunayoyaona yalishatabiriwa. Yesu yu karibu kuja tena

    • @maystellakajuna5461
      @maystellakajuna5461 7 หลายเดือนก่อน

      Kabisa baba

    • @julianamwamgogwa
      @julianamwamgogwa 7 หลายเดือนก่อน

      Kwer hatutajitetea kwamba hatukuona haaaa aaaaaaaa

  • @clouartmichael7296
    @clouartmichael7296 7 หลายเดือนก่อน +5

    Symbol ya kujitambulisha kuwa ushoga ni haki ya Kila mtu Kwa kusuka nywele ndio maana wanaowasaport ni waabudu shetani ,Nuru na Giza hakuna ushirika 2 Wakorinto 6:14 ...Laiti watu wangefunguliwa macho wasingefika hata hapo kuwapokea lakini hayanabudi Hawa kuwepo ili maandiko yatimie Mathayo 7:15

  • @MjakaziGladys
    @MjakaziGladys 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mshindwe kwa jina la Yesu

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 7 หลายเดือนก่อน +4

    Njia za Mungu hazichunguziki

  • @Tianwang123
    @Tianwang123 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu atusaidie!!!!

  • @Witnessvlog
    @Witnessvlog 7 หลายเดือนก่อน +1

    Watangazsji wa bongo hamfanyi research. Huyu ni mwimbaji mzuri sana na ana hit songs pamoja na kaka yake. Na kaproduce ngoma za Justine bieber, chris brown na wengine. Kiufupi ni tajiri na hana njaa

  • @amanamani4429
    @amanamani4429 7 หลายเดือนก่อน +1

    Much love papa lovy Elias

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu anaita watu wa namna mbalimbali

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 7 หลายเดือนก่อน +2

    🎉🎉🎉 Welcome Dr Lovy❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sales7491
    @sales7491 7 หลายเดือนก่อน +5

    People are more than blind, Yesu wasaidie macho ya kuona Kilchoan nyuma ya pazia.
    Mtu mwenye njaa hajali nani anampa chakula,
    Be cautioned ⚠️

    • @johnrevocatus9955
      @johnrevocatus9955 7 หลายเดือนก่อน +1

      Umenena mkuu

    • @MOJAZAIDI.
      @MOJAZAIDI. 7 หลายเดือนก่อน

      Umeona nini ndugu?

    • @susansusanne6157
      @susansusanne6157 7 หลายเดือนก่อน

      It means that they will even go for dog vomit if they are hungry.
      Angalia Neno La Mungu kwenye kitabu cha
      Luka 15:16 inasema
      Akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe, wala hapana mtu aliyempa kitu.
      Mungu, please open the eyes of the blind in the Name of Jesus Christ, Amen.

  • @dianafinnes3248
    @dianafinnes3248 7 หลายเดือนก่อน +4

    Love you so Much Papa Lovy ,Karibu nyumbani.🙏🏽🇬🇧

  • @sarabura8933
    @sarabura8933 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mathayo 23:13 ole wao waandishi na mafarisayo wanafiki kwa kuwa mnawafungia watu ufalme wa mbinguni ninyi wenyewe hamuingi wala wanaoingia hamuache waingie MATHAYO 23:15 MATHAYO 23:14 WARUMI 1 :21 adi 32 damu za wa toto wa MUNGU mnazowadanganya kuwa ninyi ni watumishi wa MUNGU na kumbe sio mtadaiwa hata wewe unaye jiita nabii malisa mnajua kabisa mmeuza nafs zenu kwa ibilisi ili mpate umarufu na utajiri mnajua ni mungu yupi mlie naye kwa sababu utambulisho wenu wenyewe unawatambulisha kuwa mnamtumikia shetani tubuni mkareje kwa MUNGU wetu mumba mbingu na ichi YESU kirsto alimwaga damu yake kwa ajiri yetu bado mnayo nafasi MARKO 2 : 10 damu yenu na iwe juu yenu

    • @user-yr1ek9wc3c
      @user-yr1ek9wc3c 7 หลายเดือนก่อน

      Nini imekuonyesha kama sio watumishi wa Mungu

  • @jacquelinemosha8653
    @jacquelinemosha8653 7 หลายเดือนก่อน

    Karibuni.Sana

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ivi Yesu anarudi kuchukua kanisa ndo hili kweli Tena Wana jiita Manabii Nabii eliya mtisbi alikuwa hivi kweli,ivi Hawa ndo watawavusha watu waingie Mbinguni,Ni mapepo kwenye umbo la kibinadamu tato kuzimu,Rasta kuzimu vipens kuzimu vipini kuzimu mna hukumu kubwa Moto unaongezewa ukari Mara Saba una wasubiri mnakokota maelfu ya watu kwenda nayo jehnm mh inatisha inatisha

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 7 หลายเดือนก่อน

      Endelea kujifanya unamjua MUNGU(YESU KRISTO), kuliko yy maana hujasoma maandiko njia zake hazichunguziki, na hutumia kile ambacho wengi hukikataa, ww ulitaka MUNGU(YESU KRISTO) akuletee MTUMISHI ambae unataka alivyo, hapana

    • @danielyjarome9439
      @danielyjarome9439 7 หลายเดือนก่อน

      imeandikwa wapi kwamba ukivaa kipenzi na kuvaa kipini na kuweka tatuuu unaenda motoni ???????

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 7 หลายเดือนก่อน

      @@danielyjarome9439 yange andikwa yote bibblia isingetosha ivi Moses kulola aliye tikisa kuzimu alikuwa hivi mbingu silelemama washushe vinyago vyao vya yezeberi jehnm inawatamani ,makanisa yaliyo Shiba imani hawawezi kuita katuni Kama hizi kuhubiria Hawa waombewe Toba waokoke sio kuhubiria watahubiri vinini

  • @kateyndutu3313
    @kateyndutu3313 7 หลายเดือนก่อน +4

    Kwel....had nmetoa machoz....hiki ni Nini....sio Kila atakaye Taj Jin la Mungu no WA Mungu

    • @maystellakajuna5461
      @maystellakajuna5461 7 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi kulia mtumishi, huu ni ufalme wa shetani umetua Tanzania. KANISA liamkeee in Jesus name!!!

  • @user-vx5gl8iw5y
    @user-vx5gl8iw5y 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @FideleLisha
    @FideleLisha 7 หลายเดือนก่อน

    Ni wokovu gani unaogusa ndani ukashindwa kabadirisha inje, Kristo amesema kinacho ziirika inje ndicho kilicho ndani. Asomae na aelewe.

  • @MathiasKunnanga
    @MathiasKunnanga 7 หลายเดือนก่อน +2

    UShogaaaa😭😭😭😭😭😭

  • @benjamincaks8742
    @benjamincaks8742 7 หลายเดือนก่อน

    .... Nao wata danganya wengi, Yamkini hata walio wakristo wata wafuata.
    Bwana Yesu nipe mwisho mwema baba yangu.

  • @marthakwoba1933
    @marthakwoba1933 7 หลายเดือนก่อน +3

    Na Kenya mtafika lini jameni.

    • @emmanueltemplar
      @emmanueltemplar 6 หลายเดือนก่อน

      Hatumtaki asikuje wakora hawa.

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s 7 หลายเดือนก่อน +1

    Iv niwaulize apo kweli kna mtu WA mungu au shetani hata ujui kusoma hata picha jamani

  • @Solace577
    @Solace577 7 หลายเดือนก่อน

    Welcome in TANZANIA men of God

  • @frankmpembu
    @frankmpembu 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Manabii apo, hao wote ni Mafreemason, wote hao ni Wapinga Kristo

  • @vurilyrics3004
    @vurilyrics3004 7 หลายเดือนก่อน

    Duuu!
    Aseee!
    Yesu
    Tunakuomba uje mana watu wako tunaangamia kwakukosaa maarifa?????

  • @BrightonMbukile
    @BrightonMbukile 7 หลายเดือนก่อน

    Dah sikuelewa yale mabango niliyokuwa nayaona mungu ww ndounajua kipinikip tulehemu

  • @hamisiomary6286
    @hamisiomary6286 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu haziakiwi

    • @kenjoseph3337
      @kenjoseph3337 7 หลายเดือนก่อน

      Kachora tattoo

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 7 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wa Mungu kuweni makini sana na hawa watu naongea kwa unyenyekevu kabisa

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 7 หลายเดือนก่อน

      Tulia na kipara chako hujui unachokiongea

    • @Mzena4343
      @Mzena4343 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@Churchofecclesiaupo Kama shoga wewe

    • @fpcttz
      @fpcttz 7 หลายเดือนก่อน

      Unyenyekevu wako tulia na kwenu kama hujui unachoongea

  • @user-nm3bg7li9m
    @user-nm3bg7li9m 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani hawa Wana mtangaza Mungu yupi?

  • @user-uu1xj4zz5j
    @user-uu1xj4zz5j 6 หลายเดือนก่อน

    Njaa mbaya

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 7 หลายเดือนก่อน

    Ndio mana ka malisa kana sumbua na ma hela
    Kumbe ya bwelelee
    Watu kanisa hawachunguzwi na hawakaguliwi so lets see final

  • @user-ue8pu6ij5i
    @user-ue8pu6ij5i 7 หลายเดือนก่อน

    Duuuuu!!

  • @barakarobert1029
    @barakarobert1029 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nabii katoboa pua na kavaa kipini😊

  • @jeronboucher
    @jeronboucher 7 หลายเดือนก่อน +2

    What language are they speaking with the prophet?

    • @veeJesus
      @veeJesus 7 หลายเดือนก่อน

      Swahili

  • @NaisonMkwananzi-cy2fc
    @NaisonMkwananzi-cy2fc 7 หลายเดือนก่อน

    Ushogaaaa

  • @NicodemusGasore-xk9kd
    @NicodemusGasore-xk9kd 7 หลายเดือนก่อน +1

    Macho ya kiroho sawa hamna je ya mwilin?

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 7 หลายเดือนก่อน

    Nampenda nabii Lovy Elias

  • @user-ks2xm5yb4p
    @user-ks2xm5yb4p 7 หลายเดือนก่อน

    Polee 😂😂😂😂😂 mtaabudu miungu hata msiyoijua kwa kukosa kujua neno la MUNGU

  • @simonlomayani5743
    @simonlomayani5743 7 หลายเดือนก่อน +19

    Hawa ni wapinga KRISTO haitaji ata kuwa na Roho mtakatifu ili kuwatambua yani wako live ni mashoga hao

    • @veeJesus
      @veeJesus 7 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu akusamehe

    • @natupe123
      @natupe123 7 หลายเดือนก่อน +1

      Eb sema kwañn ni MASHOGA????

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 7 หลายเดือนก่อน +4

      Nimashoga kwani huwaoni wewe maandiko yamekwambia watatokea manabii wa uwongo, sasa hao niwakina nani kama sio hao manabii wa uwongo Nabii wamevaa vipi puani😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @happynessdavid7921
      @happynessdavid7921 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@handenitakuru6696Bwana akamjibu Samweli mimi sitazami kama Wanadam watamazavyo bali mm natizama MOYO.

    • @simonlomayani5743
      @simonlomayani5743 7 หลายเดือนก่อน +3

      @@natupe123 mwanaume mwenye rasta na kutoboa pua ni zaidi ya mwanamke kahaba

  • @Churchofecclesia
    @Churchofecclesia 7 หลายเดือนก่อน

    Nimependa lovy alivyoongea

  • @user-nf9nw7xd6y
    @user-nf9nw7xd6y 7 หลายเดือนก่อน

    America kipini

  • @user-uu1xj4zz5j
    @user-uu1xj4zz5j 6 หลายเดือนก่อน

    Kumbe manabii wanatoboa pua heee😂😂😂😂😂

  • @shadraachshadinho
    @shadraachshadinho 2 หลายเดือนก่อน

    Ewee bwana tuokoe

  • @janenandi4095
    @janenandi4095 7 หลายเดือนก่อน

    PROPHETIC Word FEARLESS Preacher UK 🇬🇧 KARIBU HOME 🏠 MY PAPA LOVY FOR THE MOUTH 👄 OF THE LORD HAS SPOKEN NO OTHERWISE ; 🙏🏼♥️❤️🩸

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mapadiri wanaonekana kama mashoga..inabidi Kwa makini sana

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia 7 หลายเดือนก่อน

      Shoga mashekhe wako

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 7 หลายเดือนก่อน +3

      @@Churchofecclesia ...Sheikh hawezi kusuka Rasta kutoboa Pua na masikio na kuvaa vichupi hivyo...🤣🤣🤣

    • @wadantz123
      @wadantz123 7 หลายเดือนก่อน

      @@Churchofecclesia acha kutetea mashoga wenzio choko ww

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 7 หลายเดือนก่อน

    Bila Shaka kuna biashara iliyo nyuma ya Kanisa!!??

  • @JacksonJohn.
    @JacksonJohn. 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 cna neno na kipin puan. 😢😢jiran yangu kapoteza chungu la supu anadai mm nimeiba mm mm niwakuiba supu. isiyo na chumvi

  • @user-pt4ft7ow1s
    @user-pt4ft7ow1s 7 หลายเดือนก่อน +2

    Strong English 😂😂😂

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 7 หลายเดือนก่อน

    Nyie nimashetani2

  • @salehmohammedsalum2054
    @salehmohammedsalum2054 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa hali ilivyo naona kila mkoa utakuja kuwa na Nabii wake 😂

  • @ashtivkenya
    @ashtivkenya 7 หลายเดือนก่อน

    Manahii😂

  • @shabanikitula645
    @shabanikitula645 7 หลายเดือนก่อน

    Matapeli wamekutana

  • @amostv1864
    @amostv1864 7 หลายเดือนก่อน

    Yaliyotabiriwa sasa yanatimia

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie ndio mmatuletea malaana ya maporomoko ya mafuriko wala sijingine eti mitume 😂😂😂

    • @maystellakajuna5461
      @maystellakajuna5461 7 หลายเดือนก่อน

      Usicheke! Unadema sahihi, hayo sio mafuriko tu! Yanamaana.

  • @haridimpelengana1246
    @haridimpelengana1246 7 หลายเดือนก่อน +3

    LGBT iko nyuma yao.

    • @graceamadi1096
      @graceamadi1096 7 หลายเดือนก่อน

      Noo this guy is a married man

  • @user-wj9cy9bg8u
    @user-wj9cy9bg8u 6 หลายเดือนก่อน

    Hahahahaaaaa mpumbavu hafundishwi kudanganya

  • @user-mv4vb3ch7w
    @user-mv4vb3ch7w 7 หลายเดือนก่อน

    Na kipini,na rasi! Eee! Mapya!

  • @user-cs7sv6os4p
    @user-cs7sv6os4p 7 หลายเดือนก่อน

    NABII ANAKIPINI PUANI

  • @AbuYasser-lx5gi
    @AbuYasser-lx5gi 7 หลายเดือนก่อน +1

    nhinhi wakristo amuna akili,, sababu awo wenhewe awagielewi

    • @godfreymarco629
      @godfreymarco629 7 หลายเดือนก่อน

      Jifunze kuandika kwanza, sawa kichwa maji

  • @gideonleonceelias5423
    @gideonleonceelias5423 7 หลายเดือนก่อน

    😤😤😤😤😤

  • @revocatusbahatibussiah5201
    @revocatusbahatibussiah5201 7 หลายเดือนก่อน

    Wapigaji hawana jipya hao

    • @dianamdaku9802
      @dianamdaku9802 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂watapiga nin kwa watanzania jaman😂 Huyo lovy ana pesa chafu, passion nae yuko vizur sana. sema watanzania vieleele vyetu na kutaka miujiza ndyo vinatuponza. Hapo utakuta wanajaa kuombewaa😂😂

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@dianamdaku9802...Nyuma ya pazia wamekuja na ajenda zao za kutangaza ushoga, padiri ametoga masikio na Pua, halafu kavaa kipensi na skin tight ...duh..🤣🤣🤣

  • @annastaziakimaro3042
    @annastaziakimaro3042 7 หลายเดือนก่อน

    Mambo mengine hayaitaji macho ya rohoni, macho ya mwilini tu yanakupa tafsiri, wapendwa muwe macho hizi ni nyakati za mwisho

  • @emmanueltemplar
    @emmanueltemplar 6 หลายเดือนก่อน

    Mkora Lovy amekuja Tanzania kuwatapeli. Ashindwe false prophet

  • @wadantz123
    @wadantz123 7 หลายเดือนก่อน

    Hivi nyie mnaotetea huu ujinga ni wakristo wa dhehebu gan, yan unalikuta jinga eti linamuita uyu nabii duuuuh mkristo anaeijua dini awez tetea upumbavu huo

    • @johnsonntanguye9843
      @johnsonntanguye9843 7 หลายเดือนก่อน

      Uko sahihi hawa ni watúmishi wa yule adui ni mbinu za shetani kuwachangànya Wàtu Wasione njia ya Uzima hawa ñdio wale Baadae Utasikia malà kabàdili dini au Ameacha lengo huwa nkupoteza watu wasio na úfaham sahihi wa Neno la Mungu

  • @user-xt4mi5zs2s
    @user-xt4mi5zs2s 7 หลายเดือนก่อน

    Iv mtalishwa matango pori Hadi lini mbn dini ya wenzetu mauzauza ni mengi Kila kukicha manabii wanaongezeka ivi hata amfunuki akili wenzenu wanatajirika kupitia nyie