#UNABII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

ความคิดเห็น • 96

  • @josephakure6743
    @josephakure6743 ปีที่แล้ว

    Nabii mkuu ngurumo ya upako napokea na kufunguliwa milango ya baraks in mighty name Jesus Christ.Amen...........................

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 4 ปีที่แล้ว +6

    Amen,mchungaji niombee nami nifike mikononi wako kwa tamko.

    • @boniventuremarrirey6930
      @boniventuremarrirey6930 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu ni Nabii mkuu siyo Mchungaji

    • @albertntola8598
      @albertntola8598 4 ปีที่แล้ว +1

      Max Love karibu ni kisongo ngurumo ya upako

    • @maxlove2668
      @maxlove2668 4 ปีที่แล้ว

      Boniventure Marrirey thanks kwa kunirekebisha,God bless u.

    • @maxlove2668
      @maxlove2668 4 ปีที่แล้ว

      Albert Ntola Asante natamani sana kuona nabii Mkuu.

    • @mariyaal5366
      @mariyaal5366 4 ปีที่แล้ว

      Amen

  • @dorcasbutinda5
    @dorcasbutinda5 3 ปีที่แล้ว

    Napokeya baraka,uponyaji na ufungulivu katika jina la yesu christu, Amen 🤲🙏

  • @felisianathadei5403
    @felisianathadei5403 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki baba kwa kazi nzuri

  • @liliankhavakali3878
    @liliankhavakali3878 4 ปีที่แล้ว

    Ameen prophet Geor Davie mungu akubariki sana niombe na mimi baba

  • @agnessmalyeek9387
    @agnessmalyeek9387 7 หลายเดือนก่อน

    Baba mungu akuongezee milango ya baraka

  • @emmanuelmollel5636
    @emmanuelmollel5636 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen asante baba kwa kunitoa kwenye hilo shimo Amen

  • @mussakijiko5588
    @mussakijiko5588 3 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa xn nampenda Baba yangu wa kiroho by Mussa kijiko

  • @peninahwanja5829
    @peninahwanja5829 4 ปีที่แล้ว

    I feel blessed how GoD is using his servant

  • @paulinemathenge514
    @paulinemathenge514 4 ปีที่แล้ว +2

    I connect my brother to this prophecy he is delivered IN JESUS MIGHTY NAME AMEN

  • @agapeignas5216
    @agapeignas5216 4 ปีที่แล้ว +4

    Amina

  • @enizetv5196
    @enizetv5196 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana Baba kwa ufungulivu

  • @boniventuremarrirey6930
    @boniventuremarrirey6930 4 ปีที่แล้ว +1

    Thank you senior prophet Dr Geordavie I appreciate

  • @bambuguyasamuel3107
    @bambuguyasamuel3107 4 ปีที่แล้ว +1

    GOD is Good

  • @jackobsabore4655
    @jackobsabore4655 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzurii sana

  • @obedrichard5085
    @obedrichard5085 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen!

  • @asiatopaplets800
    @asiatopaplets800 3 ปีที่แล้ว

    Nabii naomba maombi yako katika familia yetu na Dada yangu ni mwendazimu

  • @farajahrogath2506
    @farajahrogath2506 4 ปีที่แล้ว +1

    Amina sana

  • @albertntola8598
    @albertntola8598 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ndio baba yangu sio mchungaji ni nabii yani msemaji wa ufalme wa mungu duniani

    • @brothermasta7165
      @brothermasta7165 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akinibariki nitafika apo

    • @maxlove2668
      @maxlove2668 4 ปีที่แล้ว +1

      🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 2 ปีที่แล้ว

    Nabii namm napokea naiwe kwangu kwa jina la YESU MUNGU ailinde mimba ya mkewangu ajifungue salama

  • @noncwaizaackluffoko7225
    @noncwaizaackluffoko7225 4 ปีที่แล้ว +3

    Nabii wa mungu niombee na Mimi kila mtu yeyote ninae mdai akaweze kulipa pesa yangu kabla hii mwezi uishe

  • @peninahwanja5829
    @peninahwanja5829 4 ปีที่แล้ว

    In kenya pray for me I have hearing problem chest and stomach.

  • @bernadetagama3786
    @bernadetagama3786 3 ปีที่แล้ว

    Nataka nimkabidh yesu maisha yangu kupitia huyu baba na kabisa lake

  • @sharifahamisi9091
    @sharifahamisi9091 4 ปีที่แล้ว +1

    Ameen

  • @tysonphilip2094
    @tysonphilip2094 4 ปีที่แล้ว

    Nabii na Mimi niombe nipate kazi nzuri na afya nzuri kila nitakapo enda nipokelewe vizuri na niwe mwenye bahati

  • @samwelmollel3376
    @samwelmollel3376 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika baba nabarikiwa

  • @chancelinechuchu7333
    @chancelinechuchu7333 4 ปีที่แล้ว +2

    amen

  • @eunicekakitya7801
    @eunicekakitya7801 3 ปีที่แล้ว

    I would like to know where exactly I can get you, which part in Arusha cause I have known the headquarters is there. When I called your number it is never picked , am from Kenya

  • @sabinaboas6760
    @sabinaboas6760 4 ปีที่แล้ว

    Powerful

  • @rachelemmanuel6244
    @rachelemmanuel6244 4 ปีที่แล้ว

    amina

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @nduwayojacques5432
    @nduwayojacques5432 4 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @batonimwasyika9969
    @batonimwasyika9969 4 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu mwema

  • @salomessmart9814
    @salomessmart9814 3 ปีที่แล้ว

    Baba wewe ni hatari,eee,bwana wangu yesu akubariki mara dufu

  • @glorynguma3593
    @glorynguma3593 4 ปีที่แล้ว +3

    nasikiliza sana shuhuda zako lakini sijawahi kusikia ukimtaja Yesu mm ndo nashindwa kukuamini

    • @peninahwathinai5972
      @peninahwathinai5972 4 ปีที่แล้ว

      Mimi nimeza sikia nabii akitaja jina la Yesu ebu fuatilia kwa utube maonyesho yote utasikia,lakini kuna swali na kuuliza ? Yesu alikuwa nabii mkuu wa wakati huo na tena alikuwa mwana wa mungu, na tena alikuwa baba, cha mhimu ni kujua kuna mungu aliye umba mbingu na nchi na kila mtu, Bwana Yesu alikuja kuokoa,Kazi ya Nabii ni kutoa watu kwenye kufinyika maisha na kuwaonyesha vile kutakuwa maishani ili waweze kubadîlika,isitoze nabii ni wa kila mtu hana dini uwe mslam au kabiri au mchristo ,yeye tu ni nabii wa wakati huo kwa mjira hiyo,Kwa hivyo nabii mkuu geordavîe ni nabii wa wakati huu nampenda sana huyu nabii namfuatilia ni kiwa kenya, Kwa kweli wanatanzania mmebariki, Na ni vizuri usome bibilia sana agano la kale vitabu za wanabii ujue kazi yake usiwe na suku tena kuhuzu Nabii Mkuu GeorDavie

    • @fednandmunisi990
      @fednandmunisi990 4 ปีที่แล้ว

      Glory Nguma tatizo walioweka msingi wa neno la Mungu kwako nakwangu ndio walio kosea ndiomaana tunapatashida ukitaka kumwamini Nabii Mkuu lazima usikilize mafundisho yake na watumishi wake na baadhi ya watumishi wanaosema kweli ya Mungu bila kupindisha

    • @glorymassawe5659
      @glorymassawe5659 4 ปีที่แล้ว

      Kwani umetumwa ungalie siutafute kazi ya kufanya huku TH-cam ukimtaja YESU na sisi tukuamini

    • @mwana3887
      @mwana3887 4 ปีที่แล้ว

      @Glory Nguma Nabii amepewa mamlaka yakutamka soma wafalme wa kwanza sura 2 mstari wa 4 na 12

  • @Wangarimatai
    @Wangarimatai 4 ปีที่แล้ว

    Naomba uniombee baba nafanya kazi Saudi arabia na Sina amani kabisa nikishika peza zangu anaishi tu sioni inaenda wapi🙏🙏

  • @mussakijiko5588
    @mussakijiko5588 3 ปีที่แล้ว

    Baba tuko pamoja unikumbuke na mm kea maombi na unabii

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 ปีที่แล้ว +2

    Jmn samahan huyu baba anasut hiyo tu mbn km kilia video sut hiyo

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 4 ปีที่แล้ว +1

      Chunguza Kwa makini ana suti za design nyingi mno ila kinacho kuchanganya ni huo weupe wa suti zake.

    • @jacklinamani7519
      @jacklinamani7519 4 ปีที่แล้ว

      @@R.Dickon mh

    • @R.Dickon
      @R.Dickon 4 ปีที่แล้ว

      @@jacklinamani7519 mbona waguna

    • @albertntola8598
      @albertntola8598 4 ปีที่แล้ว

      Jacklin amani unapenda suti angalia vizuri utaona utofauti wa izo suti nakila siku anapiga mpya tu

    • @albertntola8598
      @albertntola8598 4 ปีที่แล้ว

      Jacklin amani mbona wachungaji wanavaa majoo amuoji kuhusu ayo majoo yakianzia sandy school mpaka leo unayaona baba nabii Mkuu anazo kibao tena mpya tu

  • @mussakijiko5588
    @mussakijiko5588 3 ปีที่แล้ว

    Niko Tabora lakin namfualia nabii mkuu kwa you tube

  • @neemaneema4740
    @neemaneema4740 4 ปีที่แล้ว

    yaani mimi. Baba mtumishi lazima nije uko yaani

  • @albertntola8598
    @albertntola8598 4 ปีที่แล้ว +1

    Usiofu nimpenda watu baba yangu njoo tu kwani unaishi wap

  • @zaitunilucas7133
    @zaitunilucas7133 4 ปีที่แล้ว

    Ili kanisa linapatikana mkoa gani

    • @habibamohamed3529
      @habibamohamed3529 4 ปีที่แล้ว

      Arusha

    • @rosentikha691
      @rosentikha691 3 ปีที่แล้ว

      KANISA LIPO JIJI LA ARUSHA...NJE KIDOGO YA MJI...ENEO LINAITWA KISONGO.. UKIFIKA PALE ULIZIA.... NGURUMO YA UPAKO (CHUO KIKUU CHA MANABII) HAKIKISHA UKIFIKA UNAKUTANA NA HAYA MAANDISHI GETINI KWA JUU... NA HAPO UTAKUA UMEFIKAA NDO NYUMBANI KWETU NDUGU KARIBU SANAAA

  • @omaratik2778
    @omaratik2778 4 ปีที่แล้ว +1

    You to prove to the people that your miracles are true you are not supposed to give the Secrets of the People especially to a woman where we see you break their inner secrets where the god has hidden That is unacceptable and you will have done them no justice

  • @kabeyamuzenga4654
    @kabeyamuzenga4654 3 ปีที่แล้ว

    Nabii mimi nakufataa apo congo rdc natamani kabisa kukuhona jinalangu andrea kabeya nabii mku unisahidiye mahisha siyosawa sinakazi mimi baba wawa totosita mukemoja dinalake maria kabeya

  • @eddyjuniortz2234
    @eddyjuniortz2234 4 ปีที่แล้ว

    Rukwa sumbawanga lini jmn

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 ปีที่แล้ว

    Mama kanumba

  • @brysonclemence5916
    @brysonclemence5916 4 ปีที่แล้ว

    m nataka kujua mwanza unakuja ln baba nabii

    • @zawadi56willison93
      @zawadi56willison93 4 ปีที่แล้ว

      Amina mtumishi, napenda kufika katika kanisha lako mie niko dodoma, kanisa liko wapi?

  • @hadijaangura6572
    @hadijaangura6572 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabi niombe na mm unifunguwe

  • @yahayatemu1858
    @yahayatemu1858 4 ปีที่แล้ว

    Baba tuone nasisi ktk maombi

  • @neemaneema7955
    @neemaneema7955 4 ปีที่แล้ว

    Nahitaji maombe yako baba

  • @kamanda007
    @kamanda007 4 ปีที่แล้ว +1

    Usanii tuu lakini at least anawafanya waache ujambazi

    • @emmanuelmollel5636
      @emmanuelmollel5636 4 ปีที่แล้ว

      Usijitafutie laana ndugu usiombi hili likukute huyu mtumishi mungu anamtumia ipasavyo alichoniambia ndivyo illivyokuwa na hanifahamu wala sijawai kumuambia matatizo yangu

    • @kamanda007
      @kamanda007 4 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelmollel5636 good for you and hopefully umeacha ujambazi

    • @emmanuelmollel5636
      @emmanuelmollel5636 4 ปีที่แล้ว

      @@kamanda007 unaona unavyokurupuka sasa kuwa makini uliona video au ulidandia kwa mbele tu

  • @mkushplatnam1595
    @mkushplatnam1595 4 ปีที่แล้ว +1

    kama kaiba vitu vya watu arudishe,, polic uyo msubirin mlango akitoka tu msepe naye

  • @jescagoda7461
    @jescagoda7461 4 ปีที่แล้ว

    Ameshakufa huyo kaka kwenye tukio la ujambazi

    • @jacklinekapinga7590
      @jacklinekapinga7590 4 ปีที่แล้ว

      Natamaini nikuone live maana matatizo niliyo kuwanayo hata kusimulia nashindwa

  • @kaisimwakalinga6722
    @kaisimwakalinga6722 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mirriammukai6004
    @mirriammukai6004 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @gumatohuka8827
    @gumatohuka8827 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen.

  • @saidakitisaida5969
    @saidakitisaida5969 4 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @janeingutia3114
    @janeingutia3114 4 ปีที่แล้ว +2

    Amen