Hujambo ... Mm ni mkenya ..cc kama wajaluo majina yetu huanza na A kw wanawake O ni kw wanaume mostly tunaitwa kilingana na majira au masaa ya kuzaliwa eg.. Adhiambo ni mwanmke aliezaliwa jioni from the word godhiambo ... Sasa nauliza hii A na O nikiunganishi ama ? ..then nifafanulie kuhusu majina na herufi kama nya,ng'a nja, nda ,na dha
@@allykk1459 okay .. mm ni mkenya kabila langu ni kijaluo ... Majina yetu mtu huitwa kulingana na majira au saa aliyo zaliliwa mtu ... Example: mtoto wa kike akizaliwa mchana huitwa Achieng wakiume akizaliwa chana huitwa Ochieng ... Sasa swali langu n je hi A kw waschana na O kw wanaume .. nikiunganishi ama... Swali 2: haya majina yanayo anza na hizi herufi kama ... Nda ,ng'a, nya, njaa ,ng'a ama nza .. zko katika nyota Gani ?? .. shukran 🙏
Nimekuelewa
Nimekuelewa mnooo Mmungu akuweke
Bwana Ally Like utapata km zoteee darasa lako liko vzr
Good teachings again Sir❤
Asant
Ni mimi paul kaka najuwa ivi ni miaka mi tatu sasa nakufatilia asante sana kwa elim yako 🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Asante ally
Namba hazionekani vzr kaka
🙏🙏
❤❤❤
Mimi.z.na.mwenzangu.s.jee.inaendana.kuowana
Mimi ni B namwenzangu ni G tunaendana
Hujambo ... Mm ni mkenya ..cc kama wajaluo majina yetu huanza na A kw wanawake O ni kw wanaume mostly tunaitwa kilingana na majira au masaa ya kuzaliwa eg.. Adhiambo ni mwanmke aliezaliwa jioni from the word godhiambo ... Sasa nauliza hii A na O nikiunganishi ama ? ..then nifafanulie kuhusu majina na herufi kama nya,ng'a nja, nda ,na dha
Kama sijakuelewa vizuri.
@@allykk1459yan anataka kujua kama jina linaanza na hizo alizozitaja nyota inakuaje
@@allykk1459 okay .. mm ni mkenya kabila langu ni kijaluo ... Majina yetu mtu huitwa kulingana na majira au saa aliyo zaliliwa mtu ... Example: mtoto wa kike akizaliwa mchana huitwa Achieng wakiume akizaliwa chana huitwa Ochieng ... Sasa swali langu n je hi A kw waschana na O kw wanaume .. nikiunganishi ama... Swali 2: haya majina yanayo anza na hizi herufi kama ... Nda ,ng'a, nya, njaa ,ng'a ama nza .. zko katika nyota Gani ?? .. shukran 🙏
Dear He is talking of your first names like Linda Otieno, He is talking of Linda Not Otieno!!!!
@@Amani-l7d but we have many pole who use the surname more than the other names.. that's why I asked 🙏🙏
Uishi maisha malefu ni msomi wa nyota lakini umenikuza kwa uerewa wa Hari juu
Asante kaka