Mimi Sijawahi fika ofisini kwakwe nimewahi kuongea nae nipende kusema kwamba huyu kaka siyo mtu mwenye tamaa ya pesa yupo kusaidia wa Tanzania kwabei anayo toza nindogo sana kama atakuombea kazi basi jua kitu utakacho pata ni zaidi ya hiyo pesa nipende kushauri kwawale walio bahatika kuombewa kazi na huyu jamaa wakapata basi wamkumbuke huko walipo . Mungu akuzidishie mana hufanyi biashara kama wengine wewe unasaidia watu.
Kaka mimi pia Denis mwenzako apa!! Nisaidie msaada pia maana ndoto yangu kubwa kaka kufanya kazi nje kaka 🙏🙏 skilled and unskilled zote naweza ila sasa sina ushauri yaani bado sina direction kaka tayari passport ninayo!
mimi niko burundi kaka utanisaida aje kupata kazi canada kazi nayo ijuwa kutengeneza vifa vya baridi navifa vya kutengeneza joto unisaiidie kulipiwa visa nanauli nitatumika nawalipa
Denise Samahani. Kama mtu ana passport na anahitaji kazi Canada au Marecan . Kupitia zile free Visa ticket and rcomondetion, food also drink please iyo imekaaje hapo kaka? Wengi wetu uwezo hatuna ?
Anapokea simu tena haraka Sana na msg anajibu pia kama mie nipo nje ya tz na tunachart nae hakika kaka Denis yupo vizur Sana mungu akubariki Sana tena ni mreal kbs
Je? Nimda gani mtu ata spend endapo kaz zimetokea na malipo ya kila kitu cv kujaziwa passport n.k mpaka kuondoka tz? Napenda kufaham ilo brother magessa

🙏
Fact Mimi ni mmoja wapo jamaa hana tamaa kabisa siyo kama wakina dnyota
Umesema kweli kabisa. Kuna wahuni kina Dnyota na wenzake wanaliza watu mamilioni. Wajameni tukifanikiwa tukumbuke na waliotushika mikono.
Kabisa wala ujakosea kaka Denis anatusaidia Tu sisi kweny hizi fursa mungu ambariki sana kaka Denis
@@ibrahimsaguti7470 Hahahahaha
Dyota kiboko na nusu kabisa🤣🤣🤣
Mungu akubariki sana kwa kazi kubwa unayofanya ya kutimiza ndoto za watanzania wengi wanaotaman kufanya kazi njee ya tanzania mkuuu👏👏👏
🙏🙏🙏
Umetusaidia wengi.. may the Lord bless you uzidi kusaidia wengi zaidi
🙏
Brother Denis mm Ni muhitaji
Hakika ubarikiwe sana kuwa na moyo wa kipekee 🙏🙏🙏🙏
Nicheck WhatsApp tafdhari 0766048783
Sawa
Barikiwa sana Deniss .nauhitaji msaada kama huu
🙏
Kaka mimi pia Denis mwenzako apa!! Nisaidie msaada pia maana ndoto yangu kubwa kaka kufanya kazi nje kaka 🙏🙏 skilled and unskilled zote naweza ila sasa sina ushauri yaani bado sina direction kaka tayari passport ninayo!
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
@@DennisMagessa done checking
Bigap@@DennisMagessa
Sawa kaka nakukubali sana unatusaidia usjsuri
Mungu akupe umri mrefu kaka Denis uzidi kuwasaidia watu wengi kweny hizi fursa
🙏
Natamani sana kupata kaka nafasi ya kazi 🙏
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Ongera sana bro tunashukuru na tunakuombea Utena umri mlefu
🙏
Mungu akubariki
🙏
Hii ni idea nzuri sana nilikuwa nasubilia 🙌🔥
🙏
Kazi nzuri sana Mr. Magesa. Tuletee testimony kwa sie matomaso ndugu yangu. Itatusaidia sana
Asante, usijari zinakuja boss wangu
@@laurentraphael5470 😂😂😂Akina yuda 😅
😂😂😂jaman
Nimetuma maombi tayari mwenyezi mungu akutie nguvu
Hongera
Ok
👍
Asante sana ndugu yangu, soon naja ofisini kwako.
Karibu
Nice
🙏
Bwana Dennis, sisi ambao tuko kenya tutakupata namna gani
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Hongera sana Mkuu Kazi zako ni nzuri Sana
🙏
Magessa ni noma yupo vzr sana
Nicheck WhatsApp 0766048783
Safi sana ofice dar ikon sehem gani?nataka kuja kukuona
Nice , tuko kujifunza
🙏
Mungu azidi kukubariki niko fanzi wako tokey Burundi ❤
🙏🙏🙏
Caregivers age range ni gani?
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Nakupa Hi kaka denis✊ kijana wako. Kassimu hapa
🙏
Vp kasim ulikwea pipa kupitia jmaa? Tunatamani testimonies tuhakikishe
@@saidhamad7504 daa mnantamanisha wadau 😢😅😅pipa!!! 😢
Mungu akupe maisha marefu kk yangu uzidi kutusaidia
🙏
Pamoja sana mkuu
🙏
Tupo pamoja mkuu
Mbona namba niza Tanzaniya?
Sv nn mm sijui naomba nifahamishe samahani kaka
Nicheck WhatsApp kwa namba hii 0766048783
Asanteni kwa kzai nzuri unafanya.naomba namba yako ili niweze kuongeya na wewe unisaidie kuomba kazi.
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Kaka Mungu akulinde sanaaaa
🙏
Kaka nisaidie cv na kunifundisha kuapply
@@MansourYusuphu nimefundisha video zipo unaweza kuangalia na kujifunza Boss wangu
Brother mungu akuongeze hicho ulicho nacho na akupe lile la hitaji lako
🙏
Je unaishi wapi muda huu?
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Good kk
🙏
Weka wazi bei
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
mimi niko burundi kaka utanisaida aje kupata kazi canada kazi nayo ijuwa kutengeneza vifa vya baridi navifa vya kutengeneza joto unisaiidie kulipiwa visa nanauli nitatumika nawalipa
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Kaka tupo pamoja
🙏
Kuhusu Makato ya kodi ya serikali ya Tz na kanada imekaaje ndo nataka nijue Kama Kuna makato
Hakuna makato wewe uko chini ya mwaajiri kana cheap labour
Office ukowapi tata
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Atawatafutiyaje kazi?
Denise Samahani. Kama mtu ana passport na anahitaji kazi Canada au Marecan . Kupitia zile free Visa ticket and rcomondetion, food also drink please iyo imekaaje hapo kaka? Wengi wetu uwezo hatuna ?
@@YuxuphMuxh nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
Kaka ninamaisha magum sana mimi. Nisaidie nipate kazi.
ANicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
One love l
👍
Telegram haupo?!
Hapana
Hallo kaka tunataka kuingia
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Mimi hapokei simu wala hajibu sms zangu 😭
Hello napatikana WhatsApp Sio kwa njia ya simu ya kawaida, nitafute WhatsApp tafadhari
Anapokea simu tena haraka Sana na msg anajibu pia kama mie nipo nje ya tz na tunachart nae hakika kaka Denis yupo vizur Sana mungu akubariki Sana tena ni mreal kbs
Habari@@sarahrashidabdallah3109
Kaka kweli lakni vipi kuhusu sisi ma opareta mana tunatapeliwa sana tunaomba kama unaweza utusidie
Yaan Kama form four wanapata kaz bac mm nipe gharama nitafute nilipe nikaanze maisha mm jmn
Nicheck Whatsapp tafadhari 0766048783
Hae brother nauliza wewe ni agency ama wewe ni Mwalimu tu wakufudisha
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
Mimi ndio wa kwanza Leo na nimtu wa kwanza kukupenda na kukufatilia nakupenda sana kaka yangu MUNGU akujalie uzima
🙏
Kaka mie nauliza nimeomba kazi nimejibiwa kwenye compuni lakin nime ambiwa nilipie post tu vilo BAKI wana fanya wao et inawezekan
@@MwanaMmmm Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Nitakuchek brooo
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Je? Nimda gani mtu ata spend endapo kaz zimetokea na malipo ya kila kitu cv kujaziwa passport n.k mpaka kuondoka tz? Napenda kufaham ilo brother magessa
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
@@DennisMagessa Shukran nimeona
Ofcni kwako ni wap??
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Nqkufuatilia nikiwa pande za morogoro
🙏
Inaonekana canada ni ngumu sana kupata kazi ya non professional yenye visa sponsorship.
Ondoa hiyo ngumu boss wangu Kisha Fanya maamuzi hakuna kitu Kigumu wala kirahisi
Niunge na what's up
Nicheck whatsapp tafadhari 0766048783
Sass tulio atujasoma tumeishia form four tunaweza pata kaz
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Kitu kimoja huwa kinapoteza followers na kinaongeza followers,kitakacho kukuongezea followers ni kuwajibu watu kwa muda sahihi apo nakuomba usichoke
🙏
Ndugu habari za uzima kwema ofisini yako mkuu ipo wapi nataka nifike
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Mm nataka Uk US na Canada yaan kati ya hizo nchi nikipata moua nitashukul san
Ukiwa tayari nicheck WhatsApp 0766048783
kaka Huwa naona advertise mbalimbali za kazi za caregivers, mara care house na children cares ivi huwa ni kweli izo kazi zipo ?
Zipo boss wangu
Naomba contacts zako plz
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Sasa brother Mimi natamani kufanya kazi ulaya vipi kuusu gharama
Ukiwa tayari nicheck WhatsApp 0766048783
habar kaka, wew unapatikana wapi
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Kaka nambie tunaingiaje?
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Tunapataje
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Unapatikana wapi bro
Ukiwa tayari nicheck WhatsApp 0766048783
Mkufunzi naomba kufahamu, Ukiwa unafanya maombi kuna document gani zingine unahitajika kuambatanisha wakati unaapply kazi kwenye job bank
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Passport ni bei gani
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Simu hupokeagi we jamaa
Tunaomba namba yako ya simu denis magesa
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Nakupa brother kazi yako njema
🙏
Kaka pokea xmu tunataka hiyo michongo
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783
Safi sana kka unatoa elimu vizuri sana Hussein shekika
🙏
Tunakufatilia sana ila atufanikiwi ebu tuambie nn tatizo
Usikate tamaa jalibu tena kuaplay
Nicheck WhatsApp Tafadhari 0766048783
Mimi dereva wa roli niliwai kukueleza nikakosa majibu hii imekaaje
Nicheck WhatsApp Tafadhari 0766048783
Naona wewe wasema ukweli baraka
👍
Mkuu nakutafuta Whatsapp
Ofcni kwako ni wap??
Nicheck WhatsApp tafadhari 0766048783