Mwenyehaki Ya Kutangaza Mwezi Ni Muft/ Usitutangazie Hauna Haki Ya Kutangaza/Sheikh Walid Alhad Omar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 59

  • @suleimanayoubkhamis5419
    @suleimanayoubkhamis5419 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sheikh letu WALIDI BIN HADI tokea uutumikie uislam na Waislam NURU yako Allah(SW) ameing'arisha zaidi. Na pia nuru za viongozi wako mashallah. WAISLAM TUMEFURAHI.
    Na tunamuomba Allah(SW) mwingi wa fadhila akupeni kheri nyingi na umri mrefu na ulinzi wake milele. Amin

  • @Abuu180
    @Abuu180 8 หลายเดือนก่อน

    MashAllah shaikh waongea vzr ila ilmu ni bahar, ..suala la mwez wa popote n suala la kiilmu. Kwa sheria ya Tanzania kuna uhuru wa kuabudu hvyo mufti hana mamlaka ya kumlazimisha kila muislam amfate lau kwamba ingekuwa nchi inafata sheria ya dini aw madhab fulan moja mathalan kuna mwongozo wa kutii mamlaka hapo watu wanalazimika kufata mamlaka ila jambo lipo ktk uhuru wa kuabudu. Basi baadh ya watu wao hufata mwez wa popote na kwa akhwal za scholars nao wao wako sahihi, ....ama kama shida iko kwenye kutangaza fatilia sheria ya nchi kama inawaruhusu wote kutangaza Allahu Musta^anu.

  • @kassimubilali5259
    @kassimubilali5259 8 หลายเดือนก่อน

    Shekh warid namuelewa sana yupo katk haki

  • @AbdallahMwanga
    @AbdallahMwanga 8 หลายเดือนก่อน

    Wallah sheikh ward katika watu walikuwa wapo kwenye haki nilikuwa nakukubali ila nimeamini madaraka huletq majivuno

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 8 หลายเดือนก่อน

    Allah Akbar!!!.

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa sheria zenu za kidunia ila kama ni sheria za Allah yoyot ana haki maadam awe amekidhi kigez cha ukwel na kuaminiw na watu...wana haki ya kufungua....Hiz ni tofaut tu ktk rai ila msilazimishe watu ad muft atangaze...Wapen watu uhuru

  • @abuuabdirrahmaan4132
    @abuuabdirrahmaan4132 8 หลายเดือนก่อน +1

    WACHA UJINGA SHEIKH MBONA UNAIDHALILISHA ELIMU ALIYO KUPA ALLAAH HEBU TUTAJIE KAZI ZA MUFTI KWA MUJIBU WA VITABU VYA KISHERIA USITUTAJIE KAZI ZA MUFTI KWA MUJIBU WA DEMOKRASIA AMBAZO ALLAAH HAKUZITEREMSHIA HOJA YEYOTE.

  • @GreysonMdee-wm8tn
    @GreysonMdee-wm8tn 8 หลายเดือนก่อน

    KWELI KABISA MWEZI UKITANGAZWA NA KILA MMOJA ITAKUWA NI VURUGU LAZIMA TUWE NA UTARATIBU, KIONGOZI NDO ANA NAFASI YA KUTANGAZA KAMA ATATUDANGANYA BASI SIKU YA KIYAMA ATABEBA MIZIGO WOTE YEYE.

  • @MfaumeMnemo-rf9nv
    @MfaumeMnemo-rf9nv 8 หลายเดือนก่อน

    Swadakta uposahihi

  • @salmaomar7979
    @salmaomar7979 8 หลายเดือนก่อน

    Inamaana kazi yenu mwezi tu kutangazwa wanokwenda uchi hamuwaoni

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 8 หลายเดือนก่อน +1

    FUNGENI MNAPOUONA FUNGUENI MNAPOUONA,, CLEAR

    • @alhilaltvonline
      @alhilaltvonline 8 หลายเดือนก่อน

      Hajasema fungeni ukitangazwa na mufti bali kasema Mwenye haki ya kutangaza..... Sio Kila mtu ashike maiki.

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 8 หลายเดือนก่อน

    Issue mufti anaamini mwezi wa nchi sisi wengine wa kimataifa na unakubalika kisheria, sasa ugumu unakuja atangaze yey tuu, wakati kuna watu wanafata kimataifa watangaziwe na nani hawo.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 8 หลายเดือนก่อน

    Kila siku zinavokwenda watu wanawaona udhaifu wenu na wanawakimbia sasa povu linawatoka Kwahiyo roho zenu zinawauma.

    • @mzeerajab9154
      @mzeerajab9154 8 หลายเดือนก่อน

      Umemsiliza ki-ikhlaas au kishabiki?

  • @abuuzainabuhussein7974
    @abuuzainabuhussein7974 8 หลายเดือนก่อน

    Acheni presha kwani mnachoogopa nyinyi bakwata nini mbona roho zinawaenda mbio watu kuonyesha misimamo yao

  • @ابوفيصلعقيدة
    @ابوفيصلعقيدة 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani nilazima kila mtu auone mwezi ili afunge tafadhalini naomba munijibu

  • @MusaDadi-pd3jd
    @MusaDadi-pd3jd 8 หลายเดือนก่อน +1

    Bakwata sisi wengine hatuna imani nao kabisa sheikh tunaona ni taasisi ya kinafiki na ipo kwa ajiji ya maslahi ya serikal zaid kuliko waisilam sasa usitulazimeshe sisi kuwa muft ndo atutangazie mwez
    Kwanza huyo muft mamlaka ya kutangaza mwez kapewa na nani????

  • @LovelyBrain-wz7si
    @LovelyBrain-wz7si 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwenye haki ya mwezi ni Allha peke yake toa uchawa huko

    • @assadyabdull5146
      @assadyabdull5146 8 หลายเดือนก่อน

      Duuuuuh ww umesoma wapi kwahyo hao wenu wanaotangaza mwezi ni mungu sio

  • @sudisalehe192
    @sudisalehe192 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona mambo ya uislam na waislam ni mengi viongozi munabaki na mwezi ,tujikite na maendeleo yetu

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 8 หลายเดือนก่อน

    Iyo hakki nyinyi kawapa nani wakati nyi nyi ni taasisi na wengine ni taasisi, mufti anatoa fatawa tuu,

  • @mchezoyakite4326
    @mchezoyakite4326 8 หลายเดือนก่อน

    Hayo ndiyo alioamrisha Allah kwenye Qur an,mashekhe wetu mnakwama wapi yaani sasa mnaacha mafundisho ya mtume,madaraka yanawatoa kamasi kweli

  • @abakibibi9917
    @abakibibi9917 8 หลายเดือนก่อน

    MWENYE KUTANGAZA AKISEMA NI AMRI KUTOKA JUU PIA AFUATWE

  • @AllyAhmad-zg2yp
    @AllyAhmad-zg2yp 8 หลายเดือนก่อน

    Hakki ya mufti ni kutoa fatwa kama lilivo jina lake na sio kutangaza mwezi

  • @aboumuqbil2529
    @aboumuqbil2529 8 หลายเดือนก่อน

    Uongo ni uongo tuuu hata uuzungumze kwa upoleeeee. Sisi maara hii kwetu twaanzisha idi elewa kama mlikuwa kumi sasa mmebaki watano

  • @abuuzainabuhussein7974
    @abuuzainabuhussein7974 8 หลายเดือนก่อน

    Mwezi lazima utangazwe,huyo aliyetangaza hajatangazia bakwata kwahiy nyinyi bakwata kwanin mufuatilie mwezi unaotangazwa na asie kua mufti wenu,kaeni musubiri mufti wenu awatangazie lakini wale wanaofuata mwezi wa kimataifa lazima wapewe taarifa kwani wana haki ya kufanya ibada kwa kile wanacho kikubali

  • @davidruhasha9670
    @davidruhasha9670 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe hutaki watu wanao amini mwezi wa kimataifa watangazie waumini wenzao, unataka mufti wako ndio atangazie wengine, sasa walid ziangalie sheria za nchi zinaruhusu taasisi kuamini na kutangaziwa mwezi na viongozi wao wa taasisi?

    • @kitaauniversity7105
      @kitaauniversity7105 8 หลายเดือนก่อน

      Mwezi wa kimataifa ndio mwezi gani ndugu?

    • @rajababdallah9239
      @rajababdallah9239 8 หลายเดือนก่อน

      Mwezi wa kimataifa ni ule utakapoonekana popote duniani.

  • @abdunajuma6024
    @abdunajuma6024 8 หลายเดือนก่อน

    Kwani shekh mbona basuta wanajitangazia wenyewe kwani nyie mnapata maudh gani yani ujue nashangaa hasi😂😂😂

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 8 หลายเดือนก่อน

    Sheikh kanena MMEPITWA NA WAKATI 😂😂😂

  • @suphiansalim3530
    @suphiansalim3530 8 หลายเดือนก่อน

    Shekh huyo anaetangaza huo mwezi wa kimataifa kasema ametumwa na bakwata? Kama? Kama wametangaziana wenyewe kuna haja gani ya kuwazuia?,,Mana hta bakwata hana mamlaka ya kutangaza mwezi wa kimataifa kwa niaba ya taasisi zingine akasema nimetumwa na taasisi mfano basuta,,atakua amekiuka sheria..

  • @Fatma-up9qs
    @Fatma-up9qs 8 หลายเดือนก่อน

    Wana ubwabwa

  • @MwambaAlly-j5z
    @MwambaAlly-j5z 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe acha uzushi. Mwezi sio maliasiri

  • @muhidinally3753
    @muhidinally3753 8 หลายเดือนก่อน +7

    Ila Sheikh Walid tangu uingie Bakwata nuru yako inapungua sana. Mufti huyu wa Bakwata anaendesha taasisi iliyosajiliwa na RITA sawa na Baraza Kuu, na NGOs nyingine. Mufti hayupo kisheria kwa Waislam wa Tanzania. Ila Mufti wa Zanzibar yupo kisheria na fatwa zake ziko kisheria zaidi. Sheikh Abubakar Zuberi ni Mufti wa Bakwata tu asilazimishe akubaliwe na watu wengine wenye taasisi zao.

    • @SWABRASWALEH-nc2lf
      @SWABRASWALEH-nc2lf 8 หลายเดือนก่อน +2

      Mufti ni kiongozi tusimtharau kiongozi wetu yeye ndio anabeba maajukumu ya waislamu akitangaxa makosa wewe huna jukumu

    • @YaziduIddy
      @YaziduIddy 8 หลายเดือนก่อน +2

      Acha uhuni alikwambia mufti sio ninani au ndo hao wapuuzi wenzie wanakujaza ijinga?

    • @JumaZahoro2000
      @JumaZahoro2000 8 หลายเดือนก่อน

      Sheikh WALID kosa lake Nini?😅 Embu tuangalie wapi tunaikhtilafiana na wapi hatu ikhtilafiani. Suala la mwezi mbona dogo tuu kilamtu AFUNGE anavotaka Kwani shee anatatizo gani

    • @aamarsuleymain2932
      @aamarsuleymain2932 8 หลายเดือนก่อน

      Kumbe ndo maana anatupotosha

    • @rashidimohamedi5188
      @rashidimohamedi5188 8 หลายเดือนก่อน

      Elewa Maana ya mufti tafadhali!😢 Nisawa na Rais wakoo

  • @جزيرةعبدالله
    @جزيرةعبدالله 8 หลายเดือนก่อน

    Fikih inasem fuga ukiona mwez nafugua ukiona nakama mutu unayomuamin kakufikishiy unaruhusiw kufug

    • @alhilaltvonline
      @alhilaltvonline 8 หลายเดือนก่อน

      Anachosema Sheikh ni kuhusu haki ya kutangaza sio wajibu na haki ya kufunga.

    • @جزيرةعبدالله
      @جزيرةعبدالله 8 หลายเดือนก่อน

      @@alhilaltvonline ok nimeshamuelew

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan 8 หลายเดือนก่อน

    Mufti anawatangazia wanaoifuata Bakwata sasa Aswaru Sunnah nani Awaatangazie?????
    Basuta wanawatangazia aswaru sunnah walio sio bakwata na wafuasi wake
    Je wasio mtaka rais haki yao ya kuabudu wanavyotaka imevunjwa???
    Ndo ivyo ivyo Answari Sunnah hawana haja wala kufuata mwezi wa Bakwata
    Kwa hiyo wanapotangaziana mwezi ni wao sio wa watanzania

  • @sefuriyembe7864
    @sefuriyembe7864 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wahabi hamlazimishwi kumfuata Mufti, sasa kelele za nini !!?? Fungeni mnavyotaka, ila mwezi utatangazwa na Mufti. Haiwezekani kila mtu atangazie watu kuhusu mwezi !!.

    • @Abuu-lr5bz
      @Abuu-lr5bz 8 หลายเดือนก่อน

      Kakae darasani usome nini maana ya mufti na nizipi kazi zake hii ni dini sio siasa ya chama cha ccm na bakwata

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 8 หลายเดือนก่อน

    Hahahhahahaa eti mweny haki Hiyo Mufti.
    Aisee kumbe Hata Fiqihi yako Ndogo.Nenda ukaimbe Qaswida zako Dini Waachie wenyewe wazungumze.Mufti hana Mamlaka ya kutangaza mwezi.
    Mufti kazi yake ni Kutowa Fatwa Na neno Fatwa Ndio lilioleta neno Mufti.
    MWENY MAMLAKA YA KUWATANGAZIA MWEZI NI KADHI.NA WATU WATATII TAMKO LAKE KADHI PINDI AKITANGAZA.

  • @Abuu-lr5bz
    @Abuu-lr5bz 8 หลายเดือนก่อน

    Alhadi acha uwongo hii ni dini sio siasa ya chama cha ccm na bakwata yako kama kweli wewe ni mkweli tuambie nini maana ya mufti na kazi zake alafu utuambie kwenye huo umufti mufti anahaki ya kutangaza mwezi !? Acha utapeli wa dini