Wangapi tumerudi hapa baada ya exclusive interview ya Zamaradi Mketema na Shamsa Ford n kweli aliethamini hii ndoa na kupenda mwenzake n Shamsa lkn Chidi kweli usela anao mwingi unaonekana pole daa tupo wengi c ww pekeo
Nmerudi kuitazama sherehe ya harus ya shamsa na chid kutokana na exclusive interview ya zamarad mketema nashamsa ford kama na wewe umefanya hvyo gonga like
hongera dada yangu umefanya jambo la maana sana unatakiwa udumu kwenye ndoa yako ili uwe mfano kwa wasanii wenzako wajue kwamba ujana unamwisho na inafika kipindi inabidi uwe mama wa family hongera sana mungu akulindie ndoa yako
Nawatakia safari njema ya ndoa ukawe mwanamke bora na si bora mwanamke ukaelimishe jamii kutokomeza mfumo unao semekana wasanii wa bongo hawaolewi na wakiolewa hawa dumu kawape heshima wasanii wenzako.
Wangapi tumerudi hapa baada ya exclusive interview ya Zamaradi Mketema na Shamsa Ford n kweli aliethamini hii ndoa na kupenda mwenzake n Shamsa lkn Chidi kweli usela anao mwingi unaonekana pole daa tupo wengi c ww pekeo
Umefanya jambo LA kheri sana shamsa mungu akuzidishie upendo kwenye ndoa yako akupe familia iliyo bola
mashaallah Mungu awafanyie wepesi ktk ndoa yenu na awape subrah kwa kila jambo mashaallah umependeza sana bibi harusi nanakupenda pia
Nmerudi kuitazama sherehe ya harus ya shamsa na chid kutokana na exclusive interview ya zamarad mketema nashamsa ford kama na wewe umefanya hvyo gonga like
ndo nimemaliza hapa sasa hivi jamani ha ha ha ha ha ha ha
Mashala llah Allah awaongoze katika ndowa yenu
hongera dada yangu umefanya jambo la maana sana unatakiwa udumu kwenye ndoa yako ili uwe mfano kwa wasanii wenzako wajue kwamba ujana unamwisho na inafika kipindi inabidi uwe mama wa family hongera sana mungu akulindie ndoa yako
Alf mabrouk da shamsa Mungu akutangulie kwenye ndoa yakk
MashaAllah shamsa na chidi mungu awaongoze ktk maisha yenu na awajaalie kizazi chema inshaAllah
Hongera sana dada yet2 kipenzi shamsa flood mungu hawe nawee
congratulations dia shams Ford nakupenda sana inshallah katika maisha ya ndoa
hongera sana mdogo wangu mwenyezi mungu akulindie ndoa yako amiin
Nkutakia maixha mame shamxia Allah akufanyie wepex kwa kila jambo
hongera Mwenyezi Mungu akuongoze...
Mashalla biharus na bwana harusi wamependeza
Daah hongera sana daShamsa nakutakia maisha mema kwaunyumba wako
Kamata dinu tudani , utalia km ulivyomliza mwenzako mungu anakuona bora angekuo wapili mwenzako nae pia akapata huduma
Mashaallah Shamsa wangu Pendaaaaa Sanaaaaa
Mabrouk.
Mungu Abariki ndoa zenu.
MashaAllah hadi bwana harusi analia machozi ya furaha
Mungu akubariki xana da shamsa
hongera Dada xhamsa ford, nakupenda sana
mabrok hongera sana mola awajaalie kila la kheri
Mashaalah allah awafanyie wepesi ktk maisha awaepushe na shari zote za shetani Amiiiiin
Nimejikuta na lia tu hiz ndooa za mastaa wetu mtian sna Mie nikutakie kila lakheir katika ndoa yako nyingine hii mpya 2023/8
Mungu Akujaalie ulinz mkali toka kwake pia Akuondoshee Madafanalbalaaa
mabrook dada mola awape kila la kheir katika ndoa yenu
Umefanya jambo la busara xn Shamsa nam nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe uvumilivu Amani na Upendo vikatawale ktk ndoa yenu,,,
khery inshaallah mwende kudumu kwenye dowa yenu jocho la hasidi lisiwaone
hongera tunakutakia maisha mapya najua tutakumis
ALLAH awabariq katka ndoa enu Insha Allah
mashaalah mungu awape khary
MashaAllah jicho la husda lisiwaone
Mm sikupenda venye walimuweka yule mtto mdogo wakike alikuwa vibaya ila wake alikuwa vizuri
Congrat shamsa I'm Eve from kenya god bless your family
MashaAllah dada shamsa Allah abariki ndoa yko uishi kwa wema na upendo love u
😢😢nimejikuta nalia kwa uchungu ndoa masha allah kwanini huwa amfikilii hiki kipindi kitamu 😷
kwel mwshi wa siku mungu anakupa chaguo sahh. ...kila la kheri inshallah
Hy
The lord has give you a Neun man still bless madam
maashAllah lukin niceeeeeeee ya harusa Alf mabrouuuuuuuuuuuuuuuuk
hongera shamsa mungu akujaalie ktk ndoa yako nakupendaga bure
inshaaaaallah Allah akujaalie dada shamsa kila lakher
Hongera sana dadaaa mungu akujaalie.
mashaallah shamsa umependeza mwenyezimungu akuongoze katika ndoa Yako inshaallah
mwenyezi mungu awafanyie wepesi kwenye ndoa yenu dada shamsa na mumeo
Hongera mamy...ndoa idumu daima
kila lakheri daa shamsa mungu akuongoze kwakila jambo na mapenzi yako
Kila la kheri ktk ndoa yako shamsa allah awadumishe ktk ndoa
ishalaa mungu aidumishe ndoa yako dada
Hongera sana mungu awape maepewano milele
hongera sana sana Shamda Kila la kheri mpz
kila la kheri shamsa💗👏
mwenyezi mungu awape maisha marefu
Masha Allah mola awajaalie kila la heri IN SHAA ALLAH
Masha Allah mung akupe wepes kweny ndoa yak dad
congratc shamsa & chidi
harusi iko poa kabisa.hongeleni
hangera shamsa mungu kajaalieni maisha mema ya doa
Naima Juma
Ongera cn shamsa.
chausiku onyesha mfano kwa wasanii wenzio mashallah
mungu awaongoze ktk ndoa yenu inshaallah
ongera sister maisha ndo hayo
Alf Mabrooq Habibty Kila lakheri ktk ndoa
Mungu barik wewe shamsa nakupenda dada
Ogela Dada shamu
mashaAllah kila la kheiry
Mabruq Alf mabruq
Hongera mpenz
nyinyi wasani amtuliyi kwenye ndoa zenu, mungu awajaliye muhishi kwa amani
SONGOLO ABABELE SONG
Waooo Hongera sana mamy
hongera sana shamsa na chid
mabruk alfu mabruk mola awape masikilizano ya daima🙏
kasd
hongera wajina nimefurahiii
Maa Shaa Allah,
nimeipenda sana tafrija yenu.
Ama kweli harusi sio ndoa, harusi ni sherehe.
Hongera
I real Lov shamss congrat
Masha Allah Shamsa
Alafu huyu bodgud Si onesmo jmn WA diamond
Miminaona.vituko.uswahilini.tu
MashaAllah 👏🙌
kheri inshaalah mungu awape kila kheri
Zahra zahr m
Nyieeeee! Wasaniii mpaka kwenye mapenzi yani
Nawatakia safari njema ya ndoa ukawe mwanamke bora na si bora mwanamke ukaelimishe jamii kutokomeza mfumo unao semekana wasanii wa bongo hawaolewi na wakiolewa hawa dumu kawape heshima wasanii wenzako.
hongereni sanar
Jamani yaani kapendeza sana chau
congratulations 💖💗❤
Bernadette Biopic
Inshalaaaaaa
Harusi ni ya wanawake hawa nao vipi. Bidaa kibao😕😕😕😕😕
Nampenda Shamsa kama tumezaliwa tumbo moja hana mashauzi hata kidogo. hafu hachuni ngozi yupo safi sana.
Hongera shamsa mungu akutangulie kwe ndoa yako
Hongera sana
Mungu amsimamie
mashaallah Allah akuhifadhi na shari
Gooder
dada sham umeolewa lakini usije ukajisahau ukaiya dunia mche nungu akujaalie kwa kila jambo
wabongo hamuishi lawama
Nampenda dude
mashallah shemsa Allah akufanyie wepesi ktk ndo yako
kher inshaAllah shamsa
ongera shamsa
mwenyenz mungu awalinde-mkaongezeka mara dufu
i miss u chausiku
Aseer Alsamt
Mungu awape maskilizano daima ameen thuma ameen
Ongeraaa
hizi ndia za mastaa wee ziangalie 2