Yaaani huyu Mzize ana Vipaji kama Mimi vile wakati najitafuta kwa Maana *Anaimba *Anacheza Ball Fresh *Na pia anaweza kukaa Kipa yaaani ni Mimi Mtupu Salute san Bro nakukubali utafika Mbali Inshallah Bwan Warid Mzize
Kwa nini mnamlinganisha na Metacha? Acheni uchonganishi, mashabiki wa aina hiyo hatuwataki Yanga. Metacha ni kipa wa Yanga apewe ushirikiano. Mzinze anafanya mazuri kwa ajili ya timu siyo kwa ajili ya kumuondoa Metacha
Kama uliwahi kuwa golikipa na bado uwezo wako wa kufunga upo chini hivyo basi jaribu kubadirisha nafasi yakucheza, Anza kucheza kiungo mshambuliaji au winga uwatengenezee wenzio nafasi. Kiuhalisia mchezaji aliyewahi kuwa golia akicheza km mshambuliaji huwa anafunga sanaa kwakuwa anajua maeneo yote magumu Kwa kipa kudaka au kuokoa mpila, hivyo hupeleka mpila katika maeneo hayo na hufanikiwa kufunga
Siku ya match na Prison baada ya Metacha kupata Red,mzize alienda golini 😂😂, kabla msheri hajaingia, tukawa tunajiuliza,mzize ni kipa nn,Leo ndo naelewa kwa nn 😂😂,
Ndiyo maana siku ile metacha alipopewa kadi nyekundu, kabla ya Msheli kuingia goli lilipokuwa wazi Mzize haraka alienda kukaa golini kama golkipa?! Duh kumbe pia ni nyanda!!?
Yaaani huyu Mzize ana Vipaji kama Mimi vile wakati najitafuta kwa Maana
*Anaimba
*Anacheza Ball Fresh
*Na pia anaweza kukaa Kipa yaaani ni Mimi Mtupu Salute san Bro nakukubali utafika Mbali Inshallah Bwan Warid Mzize
Mungu akuzidishie mzize utafika mbali bro
Yes Mzize can goalkeep
Wow hongera Sana Mzize kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
Kipa mchezaji kumbe tunae 💚💛💚💛
Nomaaa saanA good boy Mzize ⚽🌟💪🔥💥⭐
Unakitu utafika mbali mzizeeeee🎉🎉🎉🎉
Xaxa ww fan Yako n ukipa kumbe unawezea ukipa kabisaa makof kwako🙏🙏🙏
Utafika mbali Sana bro💚💛💚💚
Safi sana 👌🏼 utakua Screen Protector wa pili 👍🏼💪🏼
Kazini kwa metacha kuna kazi
Mzize tunaupungufu wamakipa tanzania sasa jitaidi uchukue maujko ukimfikia diara utakua kpa namba moja TZ
Diara huyu anaeliwa na nyuki😅
Mbona kama ana kitu ivi kweny goal keeping au ndo hajakutana na mashuti ya Aziz na mwenzake pacome
Hapa ajaribu na azizi kudaka
Aziz ki apewe free kick tuonee 😂😂
Mzize iyo apoooo metacha ondoaaaaa
Uyu sasa ana faa kabisaa Metacha out Mzizeee Bin walid In
😂😂😂
Fukuza metacha mzize awe kipa😅😅
😂😂😂
Duh ksuli nzito
😂😂😂
😂😂😂😂
Hahahahaha sa cndy
Mzize ni balaa
Kweli huyo jamaaa niiiii noma kweli da
Umenifurahisha😂😂😂
We ni noma mzize 2takupa nafas one day bro❤❤❤❤❤❤
Mzize anaonyesha kweli alikuwa goal keeper
Hhhhhhh metacha ajiangalie tutambadilishia majukum hhh😂😂
Kabisaaa😂😂😂😂
Hapana metacha akipata injury mzize atakuwa goal keeper.hakuna hasara hapo .🎉
Nzinze Wape Salaam Kamili.
Namuunga mkono Musa Wello
Camavinga wa Young Africans 🔰🔰
Anajuwawa sanaaaa mbona kama ana mshindaa metacha manata Kwa kudaka
Mungu simama na Metacha hakika hapendwi na kukili makosa kote kule lakin waaaaap
Sijajua vizuri uwezo was mzize golini lakini kwa ichi kiwango nilicho kiona kwa dk 2 izi metacha hamfikii. Fukuza metacha Amna kipa mle
Mzize akienda kwa madundyka anakauwa kipa namba moja
Z ZZZ
Nikimuonaga metacha kikosini hata kwenye benchi, naskia Nakosa Amani ya moyo 😢😢😢😢
Mwamba huyu hapa Clementinho
Ni why?????? Mzizeeeeeee asiwe goal keeper tyuuuuuu hiii imekaaje wadau
Mzize ni kisiki Cha mpingo
@@PhyinaElias-mu4wf 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣phyna weweeeeee umepigaje apoooo
Unajua we jamaa🎉🎉
Mzize unamambo ww
Mzize 🔥🔥🔥
Sawa kabisa
We mzize noma
Mzinze unaweza Bora Anza kukaa golini chukuwa mazowezi kweli
good boy
Kumbe hata dhidi ya prison angeweza kuwa goal keeper,hatariii kaka
Kwa nini mnamlinganisha na Metacha? Acheni uchonganishi, mashabiki wa aina hiyo hatuwataki Yanga. Metacha ni kipa wa Yanga apewe ushirikiano. Mzinze anafanya mazuri kwa ajili ya timu siyo kwa ajili ya kumuondoa Metacha
Kama uliwahi kuwa golikipa na bado uwezo wako wa kufunga upo chini hivyo basi jaribu kubadirisha nafasi yakucheza, Anza kucheza kiungo mshambuliaji au winga uwatengenezee wenzio nafasi.
Kiuhalisia mchezaji aliyewahi kuwa golia akicheza km mshambuliaji huwa anafunga sanaa kwakuwa anajua maeneo yote magumu Kwa kipa kudaka au kuokoa mpila, hivyo hupeleka mpila katika maeneo hayo na hufanikiwa kufunga
Jitahid waweza kuwa diara wa tanzania national timu
Wamueke mizzenmast kipa haujui kuwa Ana Toangoma Masada mkubwa sana Mbele pia metacha ameachwa na yanga
Clement ni hazina kwa Yanga Sc tunajivunia kuwa naye, ana kitu atafika mbali sana.
Allaah Akbar
Weeeh bor mzize anajua metacha asepe kwel
Waoooh🎉
Nakubal muzzle
Metacha afukuzwe....Mzize adake🤣🤣
Fukuza metacha Cha mzinze awe kipaa🤣🤣🤣👌👌🤣🤣👌👌👌🤣
Diara wa pili
Mzize ndio kipa kuliko metacha
Safi sana
🔥🔥🔥
Kijana hataki masihara 😂😂😂 mechi na madunduka tunamueka mzize golini
Siku ya match na Prison baada ya Metacha kupata Red,mzize alienda golini 😂😂, kabla msheri hajaingia, tukawa tunajiuliza,mzize ni kipa nn,Leo ndo naelewa kwa nn 😂😂,
Naunga mkono metacha out 😂😂😂
Karibuni wote mnaotaka muwe nahela na unasmartphone njoo type neno nifunze
sasa metacha wa Kaz gan sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ha ha mzize ni kipa
Hujapatq shuti la azzk
Yani mshambuliaji kama hawa chipu kizi sijui kwa nn timu ya taifa inawaacha wakat wanatakiwa waanze kupata uzoefu wa mapema masteiker wa kujituma
Hamjui kwann cku ilee metacha kapigwa nyekundu yeye ndo akaenda kukaa golin
Tushapata kipa wetu tena uyu anafaa awe Ata kipa wa taifa star
😂😂😂😂 mzize danger
Bora Mzize kuliko huyo Metcha.
Kweli kabisa fukuza huyo metqcha mzize anatosha
Dogo upo vizuri sana
Hiki ndio kimekuponza kimberley mechi ya jana😂
jah bless haile I sellasi I rastafari s
Kudaka kama ivo mm sina we achen utoto uto mbona mlivopewa kad nyekundu kipa wenu hajadaka mzize
Wanaopiga penalty wote jana nilikuwa nao kidimbwi kama huyo mweny madevu alipanda juu ya meza😂😂😂😂
Ndiyo maana siku ile metacha alipopewa kadi nyekundu, kabla ya Msheli kuingia goli lilipokuwa wazi Mzize haraka alienda kukaa golini kama golkipa?! Duh kumbe pia ni nyanda!!?
Ndoman siku Ile ya polic metacha alivyo pat kad ukaa golin😂😂😂😊
Kak unajua bwana kocha fukuza msherry mzize alinde lango sio masiala
Unajua sana mzinze Kwa nini usisaidiane na diara?
Utopolo kwenye ubora wao
Kumbe ndo maana juzi baada ya metacha kupewa red card ukakimbilia golini
Kumbe na wew uliona 🤝
HAPPY TEAM 😂😂😂
Aisee unaona huyu mtu ni moto wamfukuze metacha mzize awe kipa
😂😂😂jana ukaimba leo umedaka kesho udance ama upige ngumi mwakan tukuchagulie kinachoendana na weweeee
Anaandaliwa huyu siku ikitokea dharula ya kipa atakaa. Golin kama ilivyo kua kwa Saidi mwamba kizota.
Diara nae alikua anacheza ndani
Maize ndio kijana kipindi amekula rahaa yangu sema na ww baadae usije sema tumekutumia majini bana baadae 🤣🤣😅
Kumbe tuna mlaumu tu bure kwanini hafungi kumbe ni kipa😂😂😂😂😂
Weeeh hamna kitu hapo 😂😂😂
ulkuwa Nyanda Kabudi sio 😅😅
Yaani kadaka mzize anatajwa metacha daaah
Aaah ANGEKUWA KIPA LENU BOVU METACHA LILE LISHAKANDWA PENALT KARIBIA ZOTE
Kwa madunduka haendi bana asije enda kukonda bureee
Tunaweza kumtumia kwenye penalty 😂
hata manura atakuogopa😅
Na kwa urefu huo, unafaa sana
Meacham Aachen shule
True
Naonamzize anafaa kudaka
hatariiiiii
Mtulivu sana golini
Metacha wanini wakat mzize nyanda laukwel
Kijana ni kiraka