Ruto akutana na wazee Mandera akiendelea na ziara
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Rais William Ruto sasa anasema atawaonyesha kivumbi wanaotaka kushindana naye katika uchaguzi mkuu wa urais wa mwaka wa 2027, akieleza kwamba tajiriba yake ya takriban miaka 30 kwenye ulingo wa siasa itamsaidia kupata ushindi
Welcome to mandera Mr. President ❤ may God give you wisdom to lead our great nation to prosperity.
Cry 😭 everyday ..Home ni must
Endelea kuota ndoto ya kachaqwaaa...
You stood with mandera 💔😂😂kwani mmepewa ile millioni ?
Labda ajishinde mwenyewe ,Ile kivumbi ataona 2027 hawezi elewa
Mtajua Ruto zaidi
Wazee ni wa nini. 😂😂and I'm not campaigning. Unafanya nini mandera 😂
A pride comes before a fall
I'm not like considering him an Angel but He wins in everything he does
Lady kindiki admiring his love of life
😂😂😂😂
Scenes za 14
Baba is one standing between you and sugoi 2027
Hakuna kitu kama hey masingaumba itakufaa kuna mungu binguni atafanya iliyo yake omba mungu akupee hekima na maarifaa
Tutawamalizia mapema
Sema nitawamalizia
Okay 👍
Useless president
For hire wamepiga makofi 😢😢
When is this man ever working?
Kila siku ni premature campaign na looting.
Anaudhi sana.
Aambiwe hajawai kuwa mungu
Aache campaign kila siku hata yeye
Kasongo PEPO kuu muhuni wa serikali ya uhuni hawezi, huyu nimwenda ICC ' si ni namna hiyo? tunaelewena?'
😂😂🤣🤣
Ukweli. Sasa mtu kama Gachagua tayari ashapigana na wandugu zetu wa North Eastern meanwhile Ruto is solidifying and expanding his base. Ruto tawala Kenya tawala.
Hatuna undugu na mtu anaitwa njenga😂😂😂
@abduratwaha3945 si udinywe! Kwani Kuna mtu anakubeg ukue na undugu na Mimi nugu hii?
@@abduratwaha3945weeeeeuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyu mtu ako na kiburi
Sanaaa Na 2027 nataka atoke
Huyo ni kiburi inamsumbua
Useless leaders
Just like your papa 😂😂 amezaa senseless lady like you.