Sharon na Melon ni pacha

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Ni bayana sasa kuwa pacha wawili Sharon mitekwa na Melon Lutenyo walitenganishwa wakati wa kuzaliwa katika hospitali ya Kakamega miaka 19 iliyopita. Chembechembe za msimbojeni yaani DNA zilizochukuliwa miezi miwili iliyopita zikibaini kuwa wazazi wa watatu hao wamekuwa wakilea watoto wawili wasio wao kwa miaka 19
    Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
    This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
    Follow us:
    citizentv.co.ke
    / citizentvkenya
    / citizentvkenya
    plus.google.co...
    / citizentvkenya

ความคิดเห็น • 172

  • @fawziaabdurrahman2251
    @fawziaabdurrahman2251 5 ปีที่แล้ว +18

    hawa wako lucky coz wanafanana ni twins so ilikua easy for them to raise questions. how many other people wanalea watoto ambao sio wao juu ya negligence ya nurses. kama hawa twins hawakua wanafanana, nobody would ever have known! too many things going wrong in our hospitals.

  • @Roncita-c5k
    @Roncita-c5k 5 ปีที่แล้ว +65

    Nani mwingine ameona huyo mama mevis akifinya jicho?

  • @eunicemutinda2484
    @eunicemutinda2484 5 ปีที่แล้ว +9

    Hallelujah kweli YESU ni muweza wa yote

  • @mariyanegoodone172
    @mariyanegoodone172 5 ปีที่แล้ว +18

    Aki l feel ule mweupe anafeel atakuwa upuweke..Be strong my dear

  • @naomiwhite3832
    @naomiwhite3832 5 ปีที่แล้ว +10

    Finally kila mtu kwao sasa na lyf iendelee

  • @liliankwamboka7679
    @liliankwamboka7679 5 ปีที่แล้ว +18

    Am happy Angeline pia amepata aliye wake.Rosemary alikua anataka wote watatu

    • @belindaisdohry_kenya4208
      @belindaisdohry_kenya4208 5 ปีที่แล้ว +1

      😆😆😆😆😆😅😅😅😅😅😅

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 ปีที่แล้ว +1

      yes she said alizaa twins ama triplets.

    • @liliankwamboka7679
      @liliankwamboka7679 5 ปีที่แล้ว +1

      First alisema aliambiwa vichwa vitatu vinapumua baadae akazaa akaambiwa ni twins akakua confused 😆😆😆

    • @asiaminja3556
      @asiaminja3556 5 ปีที่แล้ว +1

      Lilian Kwamboka hata mm nimefurahi maana angeumia sana na hasa mwenzie aliposema alijifungua watatu ingawa alikuwa tofauti na wenzie lkn nikawa nahofia pengine wake naye yupo na mtu mwingine daah

  • @esthersindani6402
    @esthersindani6402 5 ปีที่แล้ว +3

    Nani ameona mama wa rangi ya Thao akinya jicho, ni Kaa she knows a lot about this, Our God is faithful it has taken 19years but ukweli umefichuliwa, acheni mungu aitwe mungu

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 ปีที่แล้ว +22

    kwanza huyu mweupe🙄🙄🙄i feel her..ako lonely ametenganishwa na family alio zoea hata karangi ka thao kame mchomea duh😊

  • @mwitaadam8040
    @mwitaadam8040 5 ปีที่แล้ว +5

    Pole sana melvis unaonekana umeumia moyo sana minute 2:26 Mungu akutie nguvu lkn ukweli umejulukana jipe moyo

  • @AFRICANTIGRESS
    @AFRICANTIGRESS 5 ปีที่แล้ว +13

    Skip to 1:11 to see Angeline wink to her daughter

  • @precious3844
    @precious3844 5 ปีที่แล้ว +4

    Lucky for them because they were identical twins can you imagine if they were fraternal no one would ever known that the girls were switched at birth

  • @crowncastmedia
    @crowncastmedia 5 ปีที่แล้ว +4

    My prayer for them just turned to be so. It's a good thing to always live in truth.

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 5 ปีที่แล้ว +15

    Huyo mweupe hajafell poa😢

    • @tafari988
      @tafari988 5 ปีที่แล้ว +3

      Help me understand so Melvis mother is the brown lady right..!??

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 5 ปีที่แล้ว +1

      @@tafari988 pia mm si understand

    • @rkenea4262
      @rkenea4262 5 ปีที่แล้ว +1

      Wallahi tena na sikitikia sana huyu mtoto ana fanana babake kwa bua alafu mamake nae mkorogo masha Allah ataanza2 maisha ya mama mweupe

  • @goldensparrow1507
    @goldensparrow1507 5 ปีที่แล้ว +2

    Its so sad.. hurting

  • @robertmuhumuza9367
    @robertmuhumuza9367 5 ปีที่แล้ว +3

    Ooh God! Malvis Ameonekana Kuwa yuko so Disappointed 😔 She not Happy at all.

  • @luvinaannita7152
    @luvinaannita7152 5 ปีที่แล้ว +2

    God is really great

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว

    Waah damu ni nzito kweli. Wa ache tu coz 19 yrs ago hata wadumu walio kuwepo maybe walisha retire ama kufa. Na bahati mbaya hutokea uki imagine vile kuna uhaba wa nurses kwenye hospital nyingi. Sasa ndio wanakuja wanawake wakuzaa twins na mko wawili ward yote

  • @everlynmanigamaniga818
    @everlynmanigamaniga818 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza huyu mevis anafanana na babake mapua. Mwenye ameona ka Mimi like tukiendaga

  • @mwaikadu7474
    @mwaikadu7474 5 ปีที่แล้ว +7

    Waah I thought Mevis is their sister Kumbe Ata yeye ni wa mbali

    • @eshteramadi7676
      @eshteramadi7676 5 ปีที่แล้ว

      Mevis ni copy write ya huyo Mama hata afunge jicho,sharon na Mellon waende kk.

    • @edithwakhuli8566
      @edithwakhuli8566 5 ปีที่แล้ว

      Hahaha

  • @asiaminja3556
    @asiaminja3556 5 ปีที่แล้ว

    Duuh afadhali kila mtu kapata mtoto nilikuwa namhofia huyu mwenye mtoto mmoja kama asingekuwa wake daah...lkn hii inaonyesha kwenye nchi zetu wengi wanalelea watoto siyo wao hawa walifanana sana ndiyo maswali yakajitokeza je wale wasiofanana ndiyo unakuta mtoto ana tabia hata hamuelewi kazitoa wapi daah. ..hongereni na poleni

  • @roselynepandi6509
    @roselynepandi6509 5 ปีที่แล้ว +2

    Damu ya mtu haiwezi potea mama ni mama mama hana mfano tafadhali Melvis kubali matokeo Mungu ana sababu kamili shukran

  • @moniquewilliams5417
    @moniquewilliams5417 5 ปีที่แล้ว +5

    Huyo mama Melvin alizaa watoto wa tatu? wapi mwengine?

    • @khadijaomar3299
      @khadijaomar3299 5 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @kaimuridionisia1032
      @kaimuridionisia1032 5 ปีที่แล้ว +1

      Mama Melvins ni mdomo bagg sana uwezi amini aliabiwa na mukuga kijijini mm sipedii mama wa mdomo iyo

  • @williamnyagemi4912
    @williamnyagemi4912 5 ปีที่แล้ว +25

    Hivi ndo madoctors walifanya nikatolewa familia ya akina Uhuru

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 5 ปีที่แล้ว

    Daaaa kweli hawa walitenganishwa kbs shalon na melon si kwa kufanana huko. Kweli hawa wametoka tumbo moja kbs. Kweli Mevis mama yake ni huyo mwanamke mweupe.

  • @janemuthoni2011
    @janemuthoni2011 5 ปีที่แล้ว

    Afadhali huyo brown hajakosa mamake. But huyu mhubiri anataka kuchukua wote wakue wake Aii wewe tosheka na Hao wawili mum. 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kaimuridionisia1032
    @kaimuridionisia1032 5 ปีที่แล้ว +1

    Niliwabia kitaabo akuna aja ya DNA mama shalon apewe wasichana wawili mwigine mmoja hii ni kenya nikaabiwa ni aca bangi sasa mmeona

  • @rizikimabruki4131
    @rizikimabruki4131 5 ปีที่แล้ว

    Afazali uyo mama mweusi alifunga kibwebwe awapate wote watoto kutaka kumzulumu mwenziwe naa yy pia aliuwona uchungu ivyo ivyo hakufa kama ulivyo kufa wewe lakini naa yy aliumiza meno leba wakati wa uchungu mpene mwanawe wakaaze maisha atamzowea tuuu damu nzito kuliko maji

  • @esthergichuhi7925
    @esthergichuhi7925 5 ปีที่แล้ว +4

    Ata nimefikikia about this to much coz i got twins afterwards i was told he had passed away maybe he was sold or what?

    • @copgreen8781
      @copgreen8781 5 ปีที่แล้ว

      Was the body released to you, ? If I was told my child was dead I woulda request to take the body with me.

    • @mwashashasaid3700
      @mwashashasaid3700 5 ปีที่แล้ว

      Me too...nlizaa poa 2 boys baadae nkaskia mmoja alikufa...na vile sonko alipata maiti za watoi hos mmoja... nkajua tu the is something fishy

  • @bentabelinda9182
    @bentabelinda9182 5 ปีที่แล้ว +3

    Ooh God Sasa wataamua aje aki

  • @msoof6154
    @msoof6154 5 ปีที่แล้ว +6

    Ati DNA inaitwa jina gani?😌😌

    • @zawadiasia5737
      @zawadiasia5737 5 ปีที่แล้ว +1

      Msimbojeni

    • @cavineobiero7307
      @cavineobiero7307 5 ปีที่แล้ว +2

      Msoo Faith 🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋me me me me teacher,..... TNA inaitwa musiombe jeni😂😂😂kitu sichaelewa ni,....nini hii hawataki tuombe jeni!!!!...ni kuku?...ni Mayai!!!!😕

  • @curraffafriq1863
    @curraffafriq1863 5 ปีที่แล้ว +1

    Woi, ni milima tu haipatani. Hii damu hii, ni nzito sana

  • @halimanyauba6004
    @halimanyauba6004 5 ปีที่แล้ว +1

    Wala hakukuwa na sababu ya DNA result maana kwa DNA ya macho tu ilionekana hongera kwao kujua ukweli

  • @angelasmiley8352
    @angelasmiley8352 3 ปีที่แล้ว

    The girls love each other no doubt, but Sharon and Melon is going to get the attention and Mevis must feel it more with all the attention on the twins, she must feel she's not the twin anymore. So sad.

  • @daprince7545
    @daprince7545 5 ปีที่แล้ว +7

    Kwani macho hamuoni mpaka DNA ndio mjue ukweli

    • @tkprotich
      @tkprotich 5 ปีที่แล้ว

      😂😂

    • @daprince7545
      @daprince7545 5 ปีที่แล้ว

      @@tkprotich 🤣🤣🤣🤣 waende wachukue huduma namba . Halafu wanakaa warembo

  • @vaniaruta
    @vaniaruta 5 ปีที่แล้ว +3

    The gouverment or social society should interfere in this matter for the sake of both families and make sure they get opportunity to remain together.

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 ปีที่แล้ว +3

    kwani huyu mama mweupe hata macho haoni huyy msichana mweupe ni wake

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah MaashAllah

  • @kumbukalondiwa2798
    @kumbukalondiwa2798 5 ปีที่แล้ว

    enh these girls itisha compasation at cio dhambi muish kama wow !! ilaa kuna uo mevis kafanana namm ,anyway I will act next year acha iishe ya meron na Sharon

  • @alvismumkaranja3360
    @alvismumkaranja3360 5 ปีที่แล้ว +2

    Woi kwa melvis dio itauma sana pole

  • @bettyblessed436
    @bettyblessed436 5 ปีที่แล้ว +1

    Chako ni chako hata kiende wapi kinakurudia tu asifiwe mungu

  • @jesusyoulovemetoomuchwanji8860
    @jesusyoulovemetoomuchwanji8860 5 ปีที่แล้ว +1

    kwani hao Dakari warikua na nia gani?

  • @sheilamanyorio5645
    @sheilamanyorio5645 5 ปีที่แล้ว

    This is very sad

  • @geraldmaina7709
    @geraldmaina7709 5 ปีที่แล้ว

    They do not have to report the hospital, just put the teens to live together as relatives.. what is meant to be will eventually be. A court case will further complicate the matter even if they will win the case. God already brought them back together, and they should appreciate that first..How many people out there raise kids that are not theirs?

  • @catemutionzuki2761
    @catemutionzuki2761 5 ปีที่แล้ว +1

    Wah huyo mweupe anafanana na baba yake kichwa aki

  • @levinawasike3301
    @levinawasike3301 5 ปีที่แล้ว +5

    I feel so bad for her..she's not happy at all to go to that family.. 😥

    • @CandyAgogohemaa
      @CandyAgogohemaa 5 ปีที่แล้ว

      Can u please help me to understand?have been waiting for this results for so long but really don't understand what the results is now...pls help me

    • @topistarnelima6797
      @topistarnelima6797 5 ปีที่แล้ว +4

      @@CandyAgogohemaa the results is those two darkskin who looks a like are identical twins belongs to one mum from kakamega the other one with light skin belongs to the woman from Nairobi so one of the twins was switched at birth with that light skin girl

    • @CandyAgogohemaa
      @CandyAgogohemaa 5 ปีที่แล้ว

      Omg...I thought as much...thanx so much

    • @maryokerichards4539
      @maryokerichards4539 4 ปีที่แล้ว

      Thanks for your explanation

  • @jilliankarisa544
    @jilliankarisa544 5 ปีที่แล้ว

    Huyu hilo jicho lina nini kwani😕

  • @lionsdota1989
    @lionsdota1989 5 ปีที่แล้ว +2

    Washukuru mungu sana kila mtu amepata wake

  • @christelmarriam8464
    @christelmarriam8464 5 ปีที่แล้ว

    I'm sorry

  • @mamymamiza2924
    @mamymamiza2924 5 ปีที่แล้ว

    Ila mama wawili mjanja alikua anawataka wote watatu daa mungu mkubwa muishi kwa amani

  • @jacobkeleman8001
    @jacobkeleman8001 5 ปีที่แล้ว +2

    Waishukuru mitandao ya kijamii wasingepatana

  • @penny4310
    @penny4310 5 ปีที่แล้ว +4

    Body language ya huyo mama. .. Anajuwa kitu. .may be alidhania wake atakufa huko clinic. . Akabadilisha. ... ukweli umetoboka sasa kila mtu kwa mamake. .. na majina mbadilishane pia sio yenu . Na birth certificate. .... mmmh dunia haipungui maajabu. ..

    • @miumanchannel197
      @miumanchannel197 5 ปีที่แล้ว +1

      Thts wat have been thinkin bt mungu akamprove wrong...mama wa ongwaro shez behind all ths mess

    • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
      @sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 ปีที่แล้ว +1

      Seriously. ? don't be negative

    • @mamitomamita6284
      @mamitomamita6284 5 ปีที่แล้ว

      KENYAAAA POLISI WAOGOPESHA NA MADAKTARI TAMAA NYINGI UKIONA POLISI BADALA USEME YES NIKO SLM LAKINI KENYAAA NDIO UMEONA NYOKA NA DAKTARI NDIO HAO

    • @mamitomamita6284
      @mamitomamita6284 5 ปีที่แล้ว +1

      jameni vp huyu mama hakujuwa kama amezaa mapacha ??????

    • @penny4310
      @penny4310 5 ปีที่แล้ว +1

      @@mamitomamita6284 alijuwa but akapewa mtoto si wake. ..swali ni vipi watoto kwa nasari wakabadilisha. Coz kila mtoto huwa na namba na jina kwa nasari. ...i doubt

  • @mwanatumusalim9470
    @mwanatumusalim9470 5 ปีที่แล้ว

    Duh hii inataka moyo sanaa

  • @kensu7257
    @kensu7257 5 ปีที่แล้ว

    Kuna kitu sijaelewa hawa wasichana nani aliwapea manjina wote juu inaenda kuwa sawa yote?

  • @bellawangari8557
    @bellawangari8557 5 ปีที่แล้ว +3

    All families should come together for the sake of these girls.

  • @florencenjoroge2844
    @florencenjoroge2844 5 ปีที่แล้ว

    Wah

  • @esthergichuhi7925
    @esthergichuhi7925 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli ni kua ukweli itakaa ikiwa ukweli haijarishi ni kwa muda gani mbali itakaa kua ukweli.

  • @namakulasarah5908
    @namakulasarah5908 5 ปีที่แล้ว +1

    Any boy to tell mi in english are they twins or just familiar????

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dem brown fate yake ni gani ama mamake ni mgani

  • @abdinasiryusuf6886
    @abdinasiryusuf6886 5 ปีที่แล้ว +7

    New word ya kiswa ' msimbojeni' ni DNA

  • @mamaboys7195
    @mamaboys7195 5 ปีที่แล้ว

    Wanashtaki hospital y nn? The one bihide this ako tu hapo mtu mwerevu anaerewa

  • @peterperisofficial
    @peterperisofficial 5 ปีที่แล้ว

    Khai 🤔🤔🤔

  • @chritinemajanja3780
    @chritinemajanja3780 5 ปีที่แล้ว

    Sasa kila mtu aanze kuzoea kwao

  • @ashab2537
    @ashab2537 5 ปีที่แล้ว +4

    Hawa madoctor nyoko sana, ndio maana mtu unaweza kuzaa mtoto amekufa huenda ni uzembe wao

  • @charitywabyona9136
    @charitywabyona9136 5 ปีที่แล้ว

    Sasa kila mtu aende kwao bass

  • @mercynyaga2053
    @mercynyaga2053 5 ปีที่แล้ว +3

    Medics,be sure God is watching you, the messes some of you are doing to peoples lives and health,you will live to pay. Imagine carrying a baby for 9 months,going through the scary labour process or CS,only for someone to tell you the baby has died yet it has been sold or given to another person! Utu umeenda wapi jameni?

  • @dulakezi2220
    @dulakezi2220 5 ปีที่แล้ว

    I need help also to find my biological father whom I hear that he is a Kenyan ,am 25 years old but I don't know my biological father and i would love to find him and my roots.Please...i need help.

    • @kalex3433
      @kalex3433 5 ปีที่แล้ว

      Kenya is huge. Do you know your fathers names?

    • @dulakezi2220
      @dulakezi2220 5 ปีที่แล้ว

      @@kalex3433 yaaaa.....i know that dear,he is Oketcho James that's what I was told😏

  • @nouraahmed4967
    @nouraahmed4967 5 ปีที่แล้ว

    Aaaw Lulu and Rashid

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 5 ปีที่แล้ว +2

    Mola awape subra

  • @labankamau2690
    @labankamau2690 5 ปีที่แล้ว

    Chembechembe za?

  • @josephinemakungu8447
    @josephinemakungu8447 5 ปีที่แล้ว

    nilijua tu coz ata sura zimaonyesha

  • @mercynjeri6581
    @mercynjeri6581 5 ปีที่แล้ว

    huyu dem brown cc wa kina mapacha ...

  • @onlythebrave4655
    @onlythebrave4655 5 ปีที่แล้ว

    Mess😕

  • @halfsleepy3579
    @halfsleepy3579 5 ปีที่แล้ว

    Citizen iko na slay king kama reporter wao....ati "patsa" tena si pacha??

  • @millyadhiambo238
    @millyadhiambo238 5 ปีที่แล้ว

    Weupe ata wanafanana n mapacha na mama yao weusi ni evident

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu hamfichi mnafiki hata machoni utamjua tu acha malezo yake

    • @sheikhibrahimabdullahikeny1509
      @sheikhibrahimabdullahikeny1509 5 ปีที่แล้ว

      Mmmmmmmmmh unakusudia nini ?

    • @harrietbosibori
      @harrietbosibori 5 ปีที่แล้ว

      @@sheikhibrahimabdullahikeny1509 wewe unaongea kama huyo mama aliiba? remember DNA imethibitisha huyo mama mweupe ni mama Mevis

  • @teresachuma5020
    @teresachuma5020 5 ปีที่แล้ว +2

    Ata watangazi ni pacha mshare kila kitu kuanzia bed mpaka kazi

  • @judithcherono4141
    @judithcherono4141 5 ปีที่แล้ว +1

    iyo ilionekana kitambo,Lakin mm stakubali ntaenda penye nimenyonya,iyo nikama kuzaa mtoto bila baba

  • @njorok7368
    @njorok7368 5 ปีที่แล้ว

    Next ni malawyers...

  • @Kasongodigital
    @Kasongodigital 5 ปีที่แล้ว +1

    Patsa ,tsembetsembe😂

  • @dorothymmbone8864
    @dorothymmbone8864 5 ปีที่แล้ว +1

    White mum she the mother to mevis they look alike.

  • @njorok7368
    @njorok7368 5 ปีที่แล้ว

    Read a book titled TWO IN ONE. Similar story.

  • @centrinewamalwa7993
    @centrinewamalwa7993 5 ปีที่แล้ว

    Milima haikutani Bali binadamu hukutana

  • @giovannikamau6299
    @giovannikamau6299 5 ปีที่แล้ว

    At a Mimi nmeona akilifinya

  • @monnyselly2317
    @monnyselly2317 5 ปีที่แล้ว

    Naked truth Kenyan mara u have tried

  • @lilylilian8729
    @lilylilian8729 5 ปีที่แล้ว +1

    Uzuri kila mmoja alijisatiti kumaomesha aliye kwake

    • @carolynekanyanga3911
      @carolynekanyanga3911 5 ปีที่แล้ว

      Maskini nani alifanya kitendo hiki Mungu atabaki kwa Mung.

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว

    Hosptali wanamakosa san

  • @JanetRosesB
    @JanetRosesB 5 ปีที่แล้ว

    Hehe