Kuvaa sura ya Sanaa kweli, kwa wanawake Ni wazi inaamisha hakuna maepenz ya kweli tofaut na kuwa na pesa na istoshe hat wanawake watatafta hela upendo wa kweli umeishaa
@@IrakozeHami-t9m 😀 nimeuliza hivyo baada ya kuona mtu anasema Kim arudi kwa Clam wakati yupo kwa Clam siku zote. Hawa wasanii wameshapewa majina makubwa kupitia SNAKE BOY hizo filamu za MY DOUTER, Clam hawezi kuwaweka wote atavuta mmoja mkoja anayestahiki scene husika mpaka ukifika wakati wa tamthilia kubwa kama BIG BOSS ndio wanajazwa humo ndani
Kuvaa sura ya Sanaa kweli, kwa wanawake Ni wazi inaamisha hakuna maepenz ya kweli tofaut na kuwa na pesa na istoshe hat wanawake watatafta hela upendo wa kweli umeishaa
Mama sima na sima🎉🎉🎉mau yenu 🎉🎉🎉 Rispect sibomana 🎉🎉
Kila mtu yeye WA Kwanza,bas mi WA mwisho bas,naombeni likes zangu😅😂😅😂
Kim unashindwa kuigiza na watu ulio anza nao unaleta wapya sijapenda
Sima na mama yake wa kuigiza wanafanana mpaka macho 😂 Kim humu ndani kama haujaweka ndugu zako sijui....
🎉🎉
Wallah tena.....km s mtu na mwanae bas n mtu na dadake
@@halemamoon1782 umeona eee! Wanafanana sana
Yan huyu mdada mbn km mnafanana sna kim ni ndugu yako nn mana mpk kuangalia mnafanan yan wow mpk raha ❤❤❤
Keep it up dada angu ❤hira pungusha hasira utamuua mtoto wa mwanamke mwezio😂😂😂😂😂kiumo yaawa😂😂
Big up sana Kim kazi nzuri
Kim uyo ni sister yako mumefanana sana adi macho
Hehehe kim onngeza mda pia🎉🎉❤❤
Kweli damu nzito ❤❤❤🎉🎉 mnafanana
Kim rudi nyumbani kumenoga baba ni baba tu 😅😅najua umenielewa
@@AllyBabu-kr6lg BABA ASMA? 😅😅
@@DonMooFILMES_Express Sio Baba Asma ni Clam vevo ndo baba yake wa sana maan bila CLAM atunge mjua kim
@@IrakozeHami-t9m 😀 nimeuliza hivyo baada ya kuona mtu anasema Kim arudi kwa Clam wakati yupo kwa Clam siku zote. Hawa wasanii wameshapewa majina makubwa kupitia SNAKE BOY hizo filamu za MY DOUTER, Clam hawezi kuwaweka wote atavuta mmoja mkoja anayestahiki scene husika mpaka ukifika wakati wa tamthilia kubwa kama BIG BOSS ndio wanajazwa humo ndani
elewa neno baba😂😂
@@IrakozeHami-t9m uyo clam vevo ndie baba ake umesema kweli good
Mwenziyo anakupenda san kim unamshika vibaya 😂😁
Salama mzur na unaigiza vizur ila punguza kuvaa nguo fupi
Kusukumana taratibu msitoane vizazi mweeee😊
Kazi nzur sana madam nakukubaligi sana kim
move pambe ❤❤❤❤❤
Kazi nzuri Kim vevo🇹🇿
pale unapoic upo pekee yk kweny gar sss😂😂😂😂
Nawapendajamani kazizenu ninzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kim Vevo huna mbaya wee Binty❤❤❤
Kali kweli kweli
Unyama ni mwingi😂😂😂😂
Wa kwanza kutoka 🇰🇪🇰🇪 nipeni likes zangu
Unyama mwingi❤❤
Yaani kwenye move ni ndugu wa kim tu
😂😂kweli
Si vibaya anainua wa kwao...kabla hujajenga ugenini ni bora ukianza na nyumban
@@aishaomar2287good point ❤
Wa kwanza mm Leo nipen likes zangu🔥🔥🔥🔥
Kim mbona na Vevo atukwoni Sasa kumbuka kuwa Vevo boss wako Kenge ww
Kim wewe ni🔥🔥🔥
very great job
Bonge mbiyo huna😂😂😂😂
Alafu hii n bila filter 😂😂😂eeh
Una maneno wewe 😂😂
Kali sana mnajitaidi sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ katavi
Wasanii tunawapenda pamoja na kazi zenu ila punguzeni kuvaa vigauni vifupi wasichana kwaujumla mara vitovu wazi mapaja nje makwapa nje tawireniii🙆
Umenena alafu bora yangekuwa mazur wengune macream tupu
Umenena alafu bora yangekuwa mazur wengune macream tupu
@@marialumbanga wamezodi Hadi unaona aibu kuiangalia na mtoto jamani mbona wahindi huvaa magauni Hadi yana buruza na movie ninzurtu
Sijui nani kawaambia kuvaa nguo fupi ndio sanaa
@aishaomar2287 mtihani kwakweli
kwahiyo kim unaacha gari barabarani bila kulock
Ndio tujifunze
Kim saf sana
🎉🎉🎉🎉❤❤
wakumi nambili kwa mala ya kwanza like
Wa kwanza hapa leo mnipe.likes angalau kumi tu please
😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Sasa kim umepak gari hukulok
❤❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦
❤❤❤❤
❤❤❤❤😂 14:52
Very
What
🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤❤