MCHINA MATATANI AKIDAIWA KUJIPATIA SH34.7 BILIONI KWA UPATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Dar es Salaam. Raia wa China, Weng Jianjin amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka matatu, yakiwamo ya kukusanya na kuendesha biashara ya upatu na kujipatia Sh34.7 bilioni kwa njia ya udanganyifu.
    Video na Khatibu Mgeja.

ความคิดเห็น • 10

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o วันที่ผ่านมา +3

    Wachina ni matapeli sana