YASUKE,samurai NINJA kutoka AFRIKA MASHARIKI alietikisa JAPAN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @munjy11tutorials
    @munjy11tutorials 4 ปีที่แล้ว +5

    Naimba nikukosewe kidogo mleta story
    Moja ya tofauti kuu kati ya samurai na ninja ni wao ni nani hasa. Samurai walikuwa mashujaa ambao walikuwa wa madarasa bora ya jamii ya japani ya zamani. Kwa upande mwingine, ninjas mara nyingi walikuwa majeshi ya kukodi (mercenaries), wapelelezi (spy), na wauaji (assassins), na mara nyingi walikuwa wa kikundi cha chini cha jamii ya japani ya zamani.

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Naelewa tofauti lakini nilisema Ninja ili watu wapate picha ya ninachozungumzia,watu wanawajua sana ninja(shinobi) kuliko samurai

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 4 ปีที่แล้ว

      Wewe Ninja ndio Samurai wauwaji ni Yakuza historia uliyosoma ww imekudanganya Samurai ndio Ninjas

    • @willykhalifa7912
      @willykhalifa7912 4 ปีที่แล้ว

      Moja ya Sheria ya ninja hawaruhusiwi kuua ila inapobidi wajitetee...Ninja akishagundulika inapaswa apotee eneo husika mara moja na sio kupambana na adui ila anaruhusiwa kujitetea kama amekosa nafasi ya kukimbia...

    • @rubenhorrat6768
      @rubenhorrat6768 4 ปีที่แล้ว

      Ogeny Laurent yakuza ni clan sio wajeshi

    • @obed_artz5418
      @obed_artz5418 2 ปีที่แล้ว +2

      nafurahia sana conservation yenu wajuba najifunza mengi

  • @geoosmund3187
    @geoosmund3187 4 ปีที่แล้ว +2

    Cool background theme song

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Thank ypu brother

    • @tonyelshabbaz
      @tonyelshabbaz 4 ปีที่แล้ว

      @@BONGOFASTA what's the name of it

  • @namanmugambi8945
    @namanmugambi8945 4 ปีที่แล้ว

    Africans are unique

  • @willykhalifa7912
    @willykhalifa7912 4 ปีที่แล้ว +3

    Ninja(shinubi) ni sehemu ya samurai...ambapo walitumika Kama wapelelezi(spies) kwa maadui...

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli mkuu na ndio maana kwenye title ikabidi jiweke neno NINJA ili watu waelewe kwakua watu wanawajua sana Ninja kuliko samurai

    • @visitDar2011
      @visitDar2011 4 ปีที่แล้ว +1

      Shinobi

  • @msanifame7031
    @msanifame7031 4 ปีที่แล้ว +9

    Kama wanataka filamu ya historia ya yasuke kwanini wasimchague agent bavo anaetoka east africa kuliko huyo mmarekani its just joking tu

    • @realmalik3192
      @realmalik3192 4 ปีที่แล้ว

      Mtu Mweusi Ni Mweusi Tu Hata Kama Ni Mmarekani Na Huyo Chadwick Booseman Ni African Pure

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli lazima waangalie vigezo vya lugha,uwezo wa kupigana na pia uwezo wake wa kuigiza,sababu hiyo movie sio movie tu bali ni kitu kinachobeba utu na hisia za waafrika wengi hivyo hakutakiwi kuwa na makosa.

    • @happinesschaula6690
      @happinesschaula6690 4 ปีที่แล้ว

      Msanif usituchoshe, fungua na wewe account yako utueleze

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 4 ปีที่แล้ว +3

    Naomba soundtrack hiyo jina lake

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Sawa nakupa jibu sio muda

    • @tonyelshabbaz
      @tonyelshabbaz 4 ปีที่แล้ว

      @@BONGOFASTA sawa sawa!

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Samahani mkuu nimejaribu kuitafuta kwenye computer yangu siioni lakini niliandika " chinese soindtrack nikaipata kupitua youtube

  • @realmalik3192
    @realmalik3192 4 ปีที่แล้ว +1

    Bongo Fasta Please Tunaombeni Hilo Jina La Hiyo Movie Kama Tulivyojivunia Kwenye Black Panther Na 2019 Ndo Hiyo Imekwisha

    • @BONGOFASTA
      @BONGOFASTA  4 ปีที่แล้ว

      Bado haijatoka na nadhani hata kushoot bado haijaanza.

    • @realmalik3192
      @realmalik3192 4 ปีที่แล้ว +1

      Tunategemea Kupata Hiyo Movie Ili Tufeel Proud Like Black People's Society

  • @brightontepher204
    @brightontepher204 4 ปีที่แล้ว +1

    Ayseeeh

  • @matiemilian4134
    @matiemilian4134 4 ปีที่แล้ว

    Hivi bongo wapi wanajifunza hii ninja

  • @nicholaskibona2244
    @nicholaskibona2244 4 ปีที่แล้ว +1

    Story nzur sanaaaa

  • @nizzomtz5178
    @nizzomtz5178 4 ปีที่แล้ว +1

    Nime ipenda hee

  • @mohamedcharming7432
    @mohamedcharming7432 4 ปีที่แล้ว +2

    Uyo ninja ni wa nchi gan est Africa

    • @kimchi-91
      @kimchi-91 4 ปีที่แล้ว

      Tanzania,mwanza

  • @MindMentorAcademy954
    @MindMentorAcademy954 4 ปีที่แล้ว +2

    Eti asuguliwe ili kuona rangi nyeus kajipaka au la😅😅😅