ULEZI - Shangaa Faida na Jinsi ya Kutumia | Chakula Halisi cha Mtanzania - KIna Thamani Kubwa Ajabu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @bugomasipola9075
    @bugomasipola9075 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Dr.Umenisaidia sana.Nasumbuliwa na kisukari.

    • @DrNatureclinic
      @DrNatureclinic  ปีที่แล้ว

      Pole sana. Bila shaka umepata ufumbuzi. Kisukari kinapona usikubali kuwa mgonjwa milele

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi dr bingwa mmoja physician alikuwa anakataa wagonjwa wa Dm wasile ulezi kabisa itapandisha sukar. Ninashangaa! Leo umenipa somo.

  • @floramolel4283
    @floramolel4283 4 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru Docta.ninashida ya ngozi je nile ninn

  • @maryamabdulsalum1243
    @maryamabdulsalum1243 3 ปีที่แล้ว +2

    tufundishe jinsi ya kuuandaa.

  • @rehemaboazi6918
    @rehemaboazi6918 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeisha kutumia ujumbe mara mbili mbona Unijibu kaka yangu nikonao nashida.

  • @rachelelimeleck8820
    @rachelelimeleck8820 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kwanini mtu baada ya kunywa uji wa ulezi njaa huuma sana

  • @rehemaboazi6918
    @rehemaboazi6918 3 ปีที่แล้ว +1

    Unga wa ulezi unaitwaje kwa kingereza ?ili niutafute nijibu tafazari.

  • @chamimpesa3616
    @chamimpesa3616 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona sisi tukipika ugali wa ulezi auwimgumu unakuwa mlainitu ka uji tunaomb msaada wa elimu juu ya mapishi ya unga wa ulezi pamoja na bidhaa zake nyingine. Msaada tafadhali.