Huyu anaitwa Shekh yusufu simbano anapatikana Buguruni malapa D'salaam. Alisoma chang'ombe kisha akaenda misri chuo cha Azhariy kitambo na akasoma huko miaka kadhaa ktk fani ya hadiith Akarudi Tz akapewa msikiti pale Bugurn malapa,lkn msikiti hauna darsa yyte ya maana,darsa yake watu ni wawili tu au watatu yupo lkn km hayupo ,akifundisha mistar miwili mitatu kashamaliza darsa,hategemewi ktk mambo ya kijamii km kusimamia maziko na kutoa kalima au harusi nk yan ni km hayupo vile au km ni mtu asiye na elimu.
kitu cha ajabu wale mashehe wote...wanaojifanya wanazumguzia kuhusu maulidi mbona Huwa wanapenda kundoa ndevu!!....je kumpenda mtume si kumtii...?au ndevu ni optional tu!! watu waache mzaha kuzungumzia dini vile wanavyotaka kulinga matakanio zao...Allah atufahamishe I.a
ULIMUONA NANI KAINGIA PEPONI KWA KUFUGA NDEVU. AU ULISIKIA KUFUGA NDEVU NDO UISLAM. EBU ACHENI MAMBO YA AJAMBO KATIKA DINI ALAF UNATAKIWA KUJUA KUFUGA NDEVU SIO LAZIMA.
yaan ndugu yangu wapinga maulidi mnaakil za ajabu yaani jinsi Gani ni majaahili mkusanyiko wa kumuenz mtume mtukuf wa daraja nyie mnaona ni upuuzi duh basi abuulahabi ni Bora kuliko nyinyi majaahili maan yeye kil j3 anasamehew dhambi kwa kumuach kijakaz wake kwenda kumuona mtume alivozaliw lkn wew unaona ujinga
Shekhe letu allah ampe maisha marefu tupate kufaidika nae
Kwauchache wa elimu yangu sijakufaam
Wataka ufahamu nini hasa?@@TwalibuOmary
Huyu anaitwa Shekh yusufu simbano anapatikana Buguruni malapa D'salaam.
Alisoma chang'ombe kisha akaenda misri chuo cha Azhariy kitambo na akasoma huko miaka kadhaa ktk fani ya hadiith
Akarudi Tz akapewa msikiti pale Bugurn malapa,lkn msikiti hauna darsa yyte ya maana,darsa yake watu ni wawili tu au watatu yupo lkn km hayupo ,akifundisha mistar miwili mitatu kashamaliza darsa,hategemewi ktk mambo ya kijamii km kusimamia maziko na kutoa kalima au harusi nk yan ni km hayupo vile au km ni mtu asiye na elimu.
Shekh ana maalumati meng saana,
kitu cha ajabu wale mashehe wote...wanaojifanya wanazumguzia kuhusu maulidi mbona Huwa wanapenda kundoa ndevu!!....je kumpenda mtume si kumtii...?au ndevu ni optional tu!! watu waache mzaha kuzungumzia dini vile wanavyotaka kulinga matakanio zao...Allah atufahamishe I.a
Kufuga ndevu ndio umeona uislam? Wacha uwahabi wako na elimu yakukaririshwa mkiambiwa na mabwana zenu Saudia vunjeni makaburi mwenda vunja.
Kwani ndevu ipo katika hukumu gani ya kiislamu,
FARADH AU SUNNAH
Kwn ndevu ni dini?ukinyoa ndevu wapata dhmbi?