Uzalishaji Wa Sungura 10 Kwa Mwaka
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
- Unahitaji Nguvu kiasi, nidhamu na kujifunza zaidi ili kupata matokeo mazuri katika mradi wa Aina yoyote ile Kama ilivyo hata kwa sungura.
Je unafahamu ya kwamba kwakuanza na sungura 10 tu ndani ya Mwaka unaweza pata sungura zaidi ya 600?
Ungana na BROZ ENTERPRISES kwa ufafanuzi zaidi.
Hakikisha una like video hii lakini pia usisahau ku Subscribe ili kila tunapoweka video mpya uwe wakwanza kuzitazama bure kabisa.
BROZ ENTERPRISES
Agriculture Raise All
Fahamu Kuhusu Meno Ya Sungura
Meno Ya Sungura
Ufugaji Wa Sungura
Soko la sungura
magonjwa na tiba kwa sungura
Minyoo ya Sungura
Homa za sungura
Chanjo za sungura
Madawa ya Sungura
Nyasi za sungura
Vitamin Za Sungura
Jinsi Ya Kuandaa sungura
Jinsi Ya kuzalisha sungura
Jinsi ya kumbeba sungura
Sungura na simbilisi
Ufugaji Wa Simbilisi
Sauti za sungura na maana zake
Ishara za sungura na maana zake
Sauti za simbilisi na maana zake
Kumpandisha sungura
kumpandisha simbilisi
uzalishaji Bora wa sungura
Banda la sungura
Banda la simbilisi
#brozenterprises
#ufugaji
#sungura
Music by Infraction
/ infraction
Asanteni sana kwa elimu juu ya ufugaji bora ya sungura. Naomba mawasiliano yenu nataka kujua zaidi juu ya nyasi zinazofaa kwa chakula cha sungura.
Ahsante Sana ndugu Dunstan.
Elimu kuhusu nyasi/Chakula Cha sungura Zinaendelea kutolewa hapa hapa katika channel yetu; Ikiwa ulipitwa Na video kuhusu nyasi za sungura unaweza kutazama Kupitia link hii 👉👇 th-cam.com/video/ctHShwwxc7k/w-d-xo.html kwa Maswali, maoni & Ushauri tuko hapa kusaidiana. Tunajitahidi kujibu jumbe za watu wote ndani ya masaa 24.
Karibu & Ahsante Sana 🙏🏼
Asanteni sana wakuu kwa kuendeLea kutupa mafunzo ya uhakika na yenye kuleta hamasa kwa wafugaji
Mungu Akubariki Mnoo Ndugu Shebby
Nasi Tunapata Nguvu Zaidi Kwakuona Watu Wananufaika Kupitia Vipindi Vyetu🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Soko likoje bosi?
Naitaji mbengu ya jerman
Sisi hatuna, Kwasasa utapata cross breed ya lion head rabbit 🐇
@@Ufugaji napata kwa bei ya shingap
Kwa mbegu ya lion head;
Mkubwa Tsh15,000/=
Mdogo Tsh8,000/=
Mbegu zote zengine cross utapata mkubwa Kwa Tsh10,000/= mdogo Tsh5,000/=
Gharama za usafiri Kwa Watu Wa Mikoani zitawahusu ninyi!
Karibu sana
Mbeya, Nzovwe
@@Ufugaji me niko da nataka wakubwa wawili 2 nawaweza wapata leooo
Unahitaji Wa aina gani?
Habar naomba namba zenu naitaji sungula kwa jili ya kufuga plz
Salama Kabisa Ndugu, ikiwa kunachangamoto yoyote kuhusu Ufugaji: Unaweza uliza Hapa nasi tutakujibu mapema zaidi...!
Me naomba kujuwa mnapatikana wap ili nipate elimu ya ufugaji wa sungula kibiashala plz naombeni namba zenu
Tunapatikana Mbeya, Nzovwe. ikiwa kunachangamoto yoyote kuhusu Ufugaji: Unaweza uliza Hapa nasi tutakujibu mapema zaidi...!
Napataje hao sungura niko shelui na mmoja ni shiling ngapi
Mbegu zote za sungura Ni Bora. Inategemeana na mahitaji yako/Lengo la kufuga (je Ni kwaajili ya nyama, Mapambo, manyoya....n.k) sungura wengi walio mtaani Ni wa nyama & mbegu.
Kiufupi Ni Hivi: Unaweza kununua sungura hata Apo mtaani ulipo na kwasababu matunzo yako ndio yataongeza thamani ya Sungura wako.🙏🏼
Hiviwakiwa hawali chakula inakuanishida gani
Kuna sababu tatu ama zaidi
✓Magonjwa
✓Kushiba
✓Aina Ya Chakula
Mimi Nina Sungura sabuni. Je watoto wanaweza kuzaliana wao kwao?
Hongera sana Ndugu!
Haishauriwi kuzalisha sungura wenye undugu Wa karibu!
Jitahidi kubadilisha adume ama majike na Wafugaji wengine!
Ama unaweza ukawauza madume na kununua wapya!
Naombeni namba plz naomba
Sawa nashukulu kwa ushilikiyano wenu ila me niko dar es salamaaa naitaji mbegu bola napata wapi
Mbegu nyingi za sungura ni Bora, labda kama utakuwa na mahitaji husika nikuunganishe na wauzaji
Kukuza vitoto ndo changamoto kubwa zaidi...
Ni kweli, chamsingi Ni kuzidi kutafuta njia za kupunguza Changamoto hizo🙏
Je? Akizaa sungura nivema atengwena wengne awenawatot pekee?au manahusema wasiwenadume walokuatayar na vitoto!
Kama amezaa tayari yafaa kumhamisha dume pekee kutoka mazingira husika!
Hao Sungura kumi wa kuanzia banda linatakiwa liwe na ukubwa wa mita ngapi?
Inategemeana na Aina ya mfumo unaotaka kutumia Kufuga sungura hao, Kama tulivyoelezea Katika video hii ya MIFUMO 3 YA UFUGAJI WA SUNGURA th-cam.com/video/i_3RjDyq5YM/w-d-xo.html
Kwa wote kumi ukitumia Banda la futi 6ft×4ft itapendeza Zaidi
Kwa wakati wakuzaa, Kila sungura utamjengea kiota chake...
Karibu kwa maswali, mapendekezo na mahojiano Zaidi....
Ahsante!
@@Ufugaji Kwa mwenye eneo kubwa inapendeza futi ngapi?
Ukiwa na eneo Kubwa ninapendekeza utumie mfumo wa nusu huria Kufuga sungura wako
Utapata matokeo supa Zaidi
Na Kama bado Kuna umuhimu wa kutengeneza Banda
Futi 6ft×6ft mpaka 12ft×12ft itapendeza Zaidi
Yani hapo utajipa limit mwenyewe 🙂
Kaka unapatika Dar...??
Somo nimelipenda Sasa Soko wapi linapatikana na bei gani sungura mmoja kumnunua na kuuza nyinyi munasoko au vipi
Ahsante Sana kwakupata mwanga Kupitia video hii, kiufupi soko la sungura lipo: Kuna watu/taasisi binafsi na za serikali ambazo zinahitaji Sana nyama ya Sungura lakini pia soko la nje. Tungependa upate ukweli Wa Undani wake kuhusu Soko kwakupitia video hii 👇 ya ukweli wote kuhusu masoko ya Sungura th-cam.com/video/MxlKQXiMFiU/w-d-xo.html
Pitia video hiyo 🙄 Hapo utakutana na maelezo kamili kuhusu Soko la sungura.
Endelea kufuatilia Vipindi vyetu kuhusu ufugaji Tunaamini pamoja Tunaweza Kupaa.