🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 41

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 18 วันที่ผ่านมา

    Simba jina lake jipya msimu huu ni Penalti Fc.

  • @TriciaSambo
    @TriciaSambo 18 วันที่ผ่านมา

    hadi unatia huluma 😂😂😂😂hujui sheria kaaaa kwa kutulia masau bwiii😂😂leee

  • @drdd774
    @drdd774 18 วันที่ผ่านมา

    Tunamuachia Mungu

  • @maryamnofli2109
    @maryamnofli2109 18 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂 Wanaosema. SIMBA ime.......!! Wenyewe. Wapakatwee😢😢😢
    😂😂😂😂😂
    UBAYA UBWELA 🎉🎉🎉

  • @JumaNelson-f2s
    @JumaNelson-f2s 18 วันที่ผ่านมา

    Penat fc

  • @bickotz9601
    @bickotz9601 18 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂we mzee kaleee wajukuu Ebu tuachie mpira wetu

  • @shadrackkamugisha6709
    @shadrackkamugisha6709 18 วันที่ผ่านมา

    Huyo refa hafai na hatafaa kabisaaa
    1:21

  • @mussasaidhamad1891
    @mussasaidhamad1891 18 วันที่ผ่านมา

    mbeleko star simba sports club

  • @ShabaniJuma-n7f
    @ShabaniJuma-n7f 18 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 18 วันที่ผ่านมา +1

    Yangaaa hana penalti ya kila mechi

    • @JohnSelelii
      @JohnSelelii 18 วันที่ผ่านมา +1

      Hatufanani kila timu na neema yake

  • @davidlubango222
    @davidlubango222 18 วันที่ผ่านมา

    Huyu refa hafai kabisa,hii mechi irudiwe simba kabebwa toka mechi ianze hadi inaisha alionyesha kuibeba simba.

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 18 วันที่ผ่านมา

    Hii mechi ya leo ni aibu kubwa tangu gemu inaanza leo refa alikuwa anawatafutia gori simba yani waziwazi bila kuficha, faulo za ajabu ajabu lkn hii timu ni ya kawaida sana

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 18 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli simba wapunguze penat zaiyo hali mnaharibu ladha ya michezo ya migu yanga waiyache inajuwa boli kabisa simba mnaniumiza sana nawapenda ila iyo hali hapana

  • @Ambwene
    @Ambwene 18 วันที่ผ่านมา +1

    SIMBA NA YANGA NCHI HII NI TIMU ZINAZOBEBWA SAAANA

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 18 วันที่ผ่านมา +1

      Simba wamezidi

    • @aliissahaji33
      @aliissahaji33 18 วันที่ผ่านมา

      Hebu sema kuna mechi gani Yanga kabebwa

  • @Tassyomy
    @Tassyomy 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kwan Tff Wanatumia Vigezo Gani Kuwasajili Hao Marefa..Na Kuendelea Kuwabakisha..Misimu Yote Maana Kila Miaka Mirefa Ile Ile..Na Makosa Yanajiludia Yale Yale..Lakin Tff Wapo Tu Hawashuguliki Na Lolote Ila Wakiona Timu Imepita Mlango Siyo Tu Wanajifanya Kusimamia Sheria Kiukweli Rais Wa Tff Atuachie Lig Yetu Hatumtaki..🤪🤪🤪

  • @TogolaiKijangwa
    @TogolaiKijangwa 18 วันที่ผ่านมา

    Kama hatupazi sauti zetu kila siku marefa hawa ambao hawana uzalendo wataharibu mpira wetu

  • @EmanuelibudotelaRobert
    @EmanuelibudotelaRobert 18 วันที่ผ่านมา

    ligi yetu ni yanga na simba tu make n umpuz

  • @HassaniBuyaya
    @HassaniBuyaya 18 วันที่ผ่านมา

    Ww soo mwana simba ni unafiki tu

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 18 วันที่ผ่านมา +2

    Ifikie wakat tff na marefa wao waamue tu simba na yanga wacheze atakaeshinda apewe kombe ligi ishie apo sio huu puuzi

    • @bahatimellita6619
      @bahatimellita6619 18 วันที่ผ่านมา

      Makasiriko ya Nini simba kashinda

    • @JohnSelelii
      @JohnSelelii 18 วันที่ผ่านมา

      Tukio lipi linaloonyesha upendeleo jkt wamepiga mashuti hayazidi mawili tu yaliyo lenga goli baada ya hapo hawajafika kabisa langoni mwa simba muda wote walikuwa wanazuia simba kashambulia muda wote

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 18 วันที่ผ่านมา

    Mm kinachoniuma ni viongozi wangu wa yanga kama wapumbavu vile eti juzi wanapiga kula walensi kalia raisi wa TFF abaki madarakani wakati huyu ndio mwiba wa yanga mm nakwambia marefa wakitenda haki yanga atakuwa bingwa lkn kwa mwendo huuu wa marefa simba ni bingwa.......
    Na kweli simba safari hii wapewe tu kombe lao make wamewekeza kwenye marefa na TFF

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 18 วันที่ผ่านมา

    Masau bwire we ni mgeni kumbe kwenye nchi hii kama mwenyeji badilisha stori hayo tushayazoea lete swaga mpya

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 18 วันที่ผ่านมา

    Dunduka aibu kwenu.

  • @SuleimanJuma-dv8gt
    @SuleimanJuma-dv8gt 18 วันที่ผ่านมา +1

    It's true, mimi ni Simba, ila leo tumebebwa na marefa, hii sio haki

    • @azzanassor3482
      @azzanassor3482 18 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂kivuli cha nini mchoma sindano jaman wacheza rede tumebebwa wap Wivuuuuu mkajinyonge ru

    • @Gisakijamaduda
      @Gisakijamaduda 18 วันที่ผ่านมา

      Ngogwe huna akili kabisaaaaaaaaaaa mawazo ya kiutopolo kinyela mmo fc utakoma😅😅😅😅😅

    • @maryamnofli2109
      @maryamnofli2109 18 วันที่ผ่านมา

      @@azzanassor3482
      😂😂😂😂😂

    • @Danielbisendo-jg3fe
      @Danielbisendo-jg3fe 18 วันที่ผ่านมา

      Kojoa ulale utopolo wew hujui mpira

  • @HabibuSaidySaidy
    @HabibuSaidySaidy 18 วันที่ผ่านมา

    Hahahahahah ubaya ubwela

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 18 วันที่ผ่านมา

    Kayoko alifukuzwa ila huyu hutasikia

  • @sammychansa1797
    @sammychansa1797 18 วันที่ผ่านมา

    Huyu anatokea bara gan?

  • @abdallahally7205
    @abdallahally7205 18 วันที่ผ่านมา

    Anayeharibu ligi ya Tanzania ni Raisi wa TFF , Karia anapanga Simba mwaka huu iwe bingwa, Kwanini bingwa awe YANGA na SIMBA TU, ikiwa kuna timu zina uwezo zaidi ya timu hizo? Acheni kuzinyong'onyesha timu nyingine kwa makusudi ya wazi, nyie Marefa acheni kuchezesha kwa maagizo au ushabiki mnaharibu na kuwakatisha tamaa timu ambazo zina wazawa, anayeshindwa acha ashindwe siyo kuzibeba YANGA na SIMBA acheni ujinga.

  • @azzanassor3482
    @azzanassor3482 18 วันที่ผ่านมา

    Babu fala ili mechi za nyuma hukuumia 😂unaumia ya simba na ukajinyonge sasa clear Penalty ulitaka tunyimwe kwanza siuseme umeetukubal mpk ukabid upaki bas mwanzo mwisho ungekua Mkubwa Ungesogea mbela kimwanaume Kenge Mnaumia Na Simbaa Hii Ndo Bingwa

  • @monicachacha455
    @monicachacha455 18 วันที่ผ่านมา

    mmmmmm😂😂😂😂

  • @CharlesAlly-jp1ms
    @CharlesAlly-jp1ms 18 วันที่ผ่านมา

    Punzi ya moto mpaka senene imewangukia simba

  • @HabibuSaidySaidy
    @HabibuSaidySaidy 18 วันที่ผ่านมา

    Hahahahahah ubaya ubwela

  • @HabibuSaidySaidy
    @HabibuSaidySaidy 18 วันที่ผ่านมา

    Hahahahahah ubaya ubwela