What I don’t understand is why are you rewarding this guys after kusumbua that long? Huyu jamaa alianza uhalifu after class 8. Now he’s like 44. Make it make sense 🤷🏾♂️
He cried because of the mother but other people he beat n stole from do not matter, no remorse at all, not even a cent from me.his talked like he did a very good job.
huyu jamaa ni good story teller......safii sana bro
Uyu naye bado ni gwaash😂😅..unaona venye ako rada
😂😂😂😂
Huyu ashikwe staki hizi makasia...mtu anareform watoto wa wenyewe wakitezeka....
Edu, tuweke mpesa number bcoz we in the diaspora can't use paybill number. You're doing a great job. Watching from Germany
Thank You Manze God Bless You for Watching 0729060063
Niaje arif
This man is hilarious 😂😂😂 GOOD WORK EDMAC.
😂😂😂
Asante sana for watching Anto
He sounds so trueee ! May God help you ❤️
Good story teller. Ni kama nilikua na watch movie.
Iliweza sana
Now this is real gangster story sio zile snatching utatuleteanga.
😂😂😂😂umechoka na boi za 2001😂😂😂😂
Jei my long time neighbors there Gitari marigu
😂😂😂hapo kwa kisigino story ya ngara amenimaliza😂😂
story noma sana thank you edmac
Amedanganya kidogo aliambia daktari kwao ni yeye na sistake hana familiar tenah akamwambia ako na brother
😂😂😂 umeskia
Pia funguo upakwa mate iteleze kwa kifuli😂😂😂
Na bado ako rada mbaya😂😂
huyu beste alimaliza KCPE aka anza kupona tenje 1980 born pandisa 😢😂😂😂
pART YA ngara inaanzia min 46:00
Am always listening while working ❤good job
Hizi riba ni pandisa 😮
that's funny haha hawezi toroka jaribu kutoroka nikupige hahah
I love this channel story za mtaa kibao, vijana muache crime coz it doesn't pay
This guy is hilarious 😂😂😂😂🔥🔥🔥
Top ranking story tellers.👍🏾🔥🔥🔥
mtoto kuenda na mokey😮😮😮
hii si story ya kitabu ya intergrated english book 4
Robery is not for everyone. This job requires specialist who can persevere bana 😂😂
Jaba Jaba Jaba! Tunapenda kijaba, si ni wale wa jaaabaa, Tunapenda kijaba😂😂👀
Kabisaa 😅😂
His love for her mama is what kept him alive
Mamangu akinizaa sikua nimezaliwa.....ghai😂😂😂
😂😂😂 uko na ujinga Sana!
Uko na ujinga sana wwe😂😂😂😂😂🤣🤣
C matoka ni mgongo edu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂thanks edu❤
Welcome Monica
huyu anakaa baba ya ule msee wa gwethe tv
Mokasemba mwenyewe.. Form niku reform brethren
Kabisa
1980 sio,,wee😂😂
Maze hiyo laughter ya Edmac si ni funny🤣🤣
Hii story ilinibamba mbaya 😁
Hao wezi unatoaga wapi..ama niconnection🤣🤣
Work on the audio bro😮..iko na kelele background,,tafuta filter..pia we would like to see you interview the guy..si kujificha😮
hii ni stori na nusu, nataka seedlings za mafake na mamboga zingine nipe connections
Lete number
@@edmacmedia nipe number i will call
Eti mlipigana na huyo mjaluo for 2hrs na iliwa 6am
Hawa ndio wale, amepiga shugli kwa sana,enyewe God hulinda ata mwizi,lakini pia amefanya nicheke serious 😆😆
1:34:17 great move on the consolidated account.
Hapo 46;00 nimecheka yangu yote,hiyo robbery ya ngala
My child hood friend Jei👊🏿👊🏿
Ambience noise ni mob
Siku Moja Buda si utafute utuonyeshe hii kitu inakua moto inabidi ukojolee, extra points kama itakojolewa ya ukweli 😂
We unadai kuniweka kwa ngori na 😁😁😁
Wewe kimumana😂😂😂😂
TV za matako ni zipi hizo?? 😂😂
AK47 ndogo inaitwa Draco
Jaba kidogo na chocha kwa wingi
Mtoto alienda na monkey seriously?? Na mathee akapiga report polisi.
Huyu jamaa ako na story fiti lakini sound joh.
Tengeneza simu 😁
Enyewe sound iko poor
@@edmacmedia natumia apple airpods pro. Ni vile naeka speed 2.
with all the money ulishindwa kujipanga kweli nimeamini pesa ya dhuluma haina maana weeee
And thats what we want coming generations to know
This dude is in his 40th but looks 25
His body is twenty five but his eye's are forty plass.
😂😂😂😂 Mtu mmoja anapiga watu 6 bana.
Cheza na jaluo wewe.😂😂😂😂
First commenter❤❤
🎉
Ed hiyo format mpya ni kabisa.Tuonyeshe project wanafanya
Kabisa manze lets support them after watching
What I don’t understand is why are you rewarding this guys after kusumbua that long? Huyu jamaa alianza uhalifu after class 8. Now he’s like 44. Make it make sense 🤷🏾♂️
❤
My childhood friend, vitu tumepitia jameni only God can judge
He cried because of the mother but other people he beat n stole from do not matter, no remorse at all, not even a cent from me.his talked like he did a very good job.
Waah a mum is mum sorry bro