NGOMA NZITO: Tazama ufundi wa 'chapati za maajabu' Tanga
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2024
- Hapa ni Barabara ya 17 Kwa Konami ndipo ilipo chemba maarufu kwa chapati nzuri zaidi ya chochote, ikifahamika kwa jina la Changamfu Wome Group.
Wapo wataalamu wa kuzichoma ambao ni wataalam kweli na wanachakarika kwelikaweli. Tumefika na tumepiganao story nyingi... Aisee wamefunguka mengi sana..
Hii ni Tanga kuelekea Usiku wa Ngoma Nzito, Januari 28 kwenye Dimba la Mkwakwani.
#TangaNgomaNzito #NgomaNzito