Chezeeni MUDA ila siku mtajutia daima kwa wazinzi hakuna ndowa wala mapenzi ila taamaa tu uwatawala 😂😂😂vinyonga watu awatunzi familia juu ni wasafiri wauzinifu Kila mmoja anamwinda mwenzakee ila ndoa ziko kwa wale wanyekumjua mwenyezi mungu tu ukweli.kwa sasa mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema ni hatari wengi wa watu ni watu vinyonga awa ofii hukumu kwa mola wao ofu Yao kubwa ni njaaa dunia
Hizo kiki tumezoea,wapo pamoja hao,kumbukeni juzi tyu kunamtu alikuwa anatangaza kuwa anauza figo,baada ya kubanwa kadai anatsfuta kiki,msikilizeni Kwa makini,tufanye kazi ,
@DIVINEPROMISE-c1n tunaongea true acha makasiriko vijana huwa wamoto ndio maana baadhi ya wanawake wanawakimbilia vizee maana huwa washautumia ujana wao vy kutosha wakifika 45 vijana maji y Moto
Jamani wanaume Mungu anawaona huyu Binti Mungu amtetee TU ni mwanamke wa kuoa ila waoaji hawapoo❤❤
Chezeeni MUDA ila siku mtajutia daima kwa wazinzi hakuna ndowa wala mapenzi ila taamaa tu uwatawala 😂😂😂vinyonga watu awatunzi familia juu ni wasafiri wauzinifu Kila mmoja anamwinda mwenzakee ila ndoa ziko kwa wale wanyekumjua mwenyezi mungu tu ukweli.kwa sasa mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema ni hatari wengi wa watu ni watu vinyonga awa ofii hukumu kwa mola wao ofu Yao kubwa ni njaaa dunia
Mikope inatisha jack,2macho inakuwa vbaya sana.
Ulo Tru dada
Pole xana kipenzii changu MUNGU akupitixhe xalama KTK kipindi hiki kigumu......
Nikikusikiliza nasikia sauti yako inalia kilio cha upendo mkubwa jaman mwanamke akipenda amependa kweli huyu dada mpaka huruma 🥲😩
Pole mpenzi
❤❤❤Aki nakupenda sana wewe jack
Km hajawahi kutembea na mume wa mtu,ongea,lakini km umeiba waume wa watu pitia walichopitia wao.
mmmh wapo pamoja bhana
Mazoea mazoea jaman yanatesa sanaaa😩
Hao waacheni tu wanahela hata wakiachana 😊
Lakini Jac unasahau wewe wakati wako ulikuwa na mibaba ya wamama wa watu uliwaumizaaaa malipo ni hapa hapa. Usilalamike, pambana na yaliyopo
Kashasahau
😂😂😂😂Mkuki kwa ngurue@@lydiamsheri4095
Hahahaha
Hizo kiki tumezoea,wapo pamoja hao,kumbukeni juzi tyu kunamtu alikuwa anatangaza kuwa anauza figo,baada ya kubanwa kadai anatsfuta kiki,msikilizeni Kwa makini,tufanye kazi ,
Jack samehe ndoa uvumilivu
Hakuna mwanamme atakae rizika na mke mmoja
Km haridhiki ridhika wewe km hutaki kua mtumwa
@DIVINEPROMISE-c1n tunaongea true acha makasiriko vijana huwa wamoto ndio maana baadhi ya wanawake wanawakimbilia vizee maana huwa washautumia ujana wao vy kutosha wakifika 45 vijana maji y Moto
Hata wanawake huwezi ridhika na Mwanaume Moja
Kwa sababu siku hizi wanaume wengi walegevu sana!!
Kwani kweli wameachana?
Hakuna aliye mkamilifu
Unajua ndoa za katoliki nyie.achen umbea
Wabongo bhana 🤔
Ndo jinsi dunia inavozngka
@ShamsiMbago-n2q kwakweli 🤣😂🤣
ukiyaleta mtandaoni tunakushauri tu ukiwa hutaki ushauri yamalize ndani😅