UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA MGANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 77

  • @ndwayom
    @ndwayom 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Mwalimu kwa Kutusaidia. Tunataka Kufanya Kazi za Viwandani kwa Ukubwa

  • @FatumaKatende-c7b
    @FatumaKatende-c7b 6 หลายเดือนก่อน

    Mwl asante sana unafundisha vizuri sana

  • @WilliamMapunda-g8y
    @WilliamMapunda-g8y ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sana.

  • @kidondomsechu9302
    @kidondomsechu9302 5 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri mwalimu wangu utufunze zaidi ya hili tujikomboe na kuwa tegemezi

  • @happyfoya546
    @happyfoya546 2 ปีที่แล้ว +1

    Unanifurahisha mbwembwe zako teacher but your very good teacher you deseve employment ata sido and ungekuwa mwanza tungeandaa different events kwa vijana nawamama wajikwamue

  • @rahmamavura406
    @rahmamavura406 ปีที่แล้ว

    asante sana

  • @audiolibraryeastafrica7129
    @audiolibraryeastafrica7129 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu so much like & love

  • @salamaokama5022
    @salamaokama5022 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwalimu glycerin haitumiki kwa mafuta ya mgando?

  • @audiolibraryeastafrica7129
    @audiolibraryeastafrica7129 4 ปีที่แล้ว

    Daah! Asante Sana ndugu, coz nimeweza kutengeneza mafuta ya mgando

  • @vibestudio4707
    @vibestudio4707 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa darasa

  • @zainabsalum4062
    @zainabsalum4062 4 ปีที่แล้ว

    Hongera nimeelewa

  • @shukranimwinuka3700
    @shukranimwinuka3700 5 ปีที่แล้ว

    hongera nashukuru kwa somo nimekuelewa na Mimi tajaribu

  • @jovithabukabe8949
    @jovithabukabe8949 2 ปีที่แล้ว

    Nambaya simuje

  • @NasiHama
    @NasiHama 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamtoagi namba

  • @FatumaKatende-c7b
    @FatumaKatende-c7b 6 หลายเดือนก่อน

    Yatumika kwa binadamu baada ya mda gan?

  • @devotarukonda8204
    @devotarukonda8204 ปีที่แล้ว

    Thx

  • @NasiHama
    @NasiHama 10 หลายเดือนก่อน

    Hayo maduka yapo wapi?

  • @carolinekoka4526
    @carolinekoka4526 2 ปีที่แล้ว

    Mawasiliano yako mwalimu

  • @FatumaKatende-c7b
    @FatumaKatende-c7b 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani hata si vilaza tunaelewa mwli niunge kwenye darasa la Whatsapp

  • @japhalshantiwa5224
    @japhalshantiwa5224 2 ปีที่แล้ว +1

    Unaeweza ukapata copo ngapi ukitengeneza kama hivyo?

  • @malususiri4889
    @malususiri4889 5 ปีที่แล้ว +1

    shukurani

  • @petersloponomollel5050
    @petersloponomollel5050 3 ปีที่แล้ว +2

    Nashukuru sana kwa Darasa naomba kujua kuna m2 amejaribu wakati wa kuchanganya macrowax na White oil ikalipuka unafikiri shida ni nini?

  • @NasiHama
    @NasiHama 10 หลายเดือนก่อน

    Na hivyo vitu vinapatikana wapi

  • @lisamakwaya3648
    @lisamakwaya3648 6 ปีที่แล้ว +3

    Alaf napenda sana ulivyo clear adi mbumbumbu tunaelewa

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว

      Nashukur, ila usijite mbumbumb kwan hakuna anae zaliwa mbumbumb sema tu ulichelewa kuelew Kwa wakati.

    • @joycebaraka7132
      @joycebaraka7132 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha mbumbu tupo weng

  • @saidsongoro619
    @saidsongoro619 4 ปีที่แล้ว

    Weka jins ya kutengenez sabuni ya unga fanyia kaz broo usipuuze

  • @elizamwajombe3543
    @elizamwajombe3543 6 ปีที่แล้ว +1

    How can i get your contact? Nawezaje kutengeneza mafuta ya mgando kwa matumiz ya ngozi kutokana na mafuta ya mawese?

  • @saadasaada4790
    @saadasaada4790 5 ปีที่แล้ว

    Ile ni zibda awo

  • @halimakabanga2418
    @halimakabanga2418 6 ปีที่แล้ว

    ASANTE SANA MKUFUNZI WETU

  • @didatratranee2531
    @didatratranee2531 4 ปีที่แล้ว

    Mwl kazi nzuri mm Nina swali kwenye kutengeneza mafuta ya Vaseline wametumia petroleum jelly na huku naona tunatumia micro wax je nini tofauti ya hizi maloghafi?

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  4 ปีที่แล้ว

      Petroleum jelly malanying hutumika viwandani kwa kuwa mashine hutumika kufanya mixing na macro wax hutumika huku kwetu, lkn pia unaweza tumia petroleum jelly endapo una vifaa vya kuchanganyia au ku mix

    • @kasindejonathan978
      @kasindejonathan978 3 ปีที่แล้ว

      Mbona glicelini hujaweka au uweka ukipenda na pia paragon wax he mbona walimu mnatuchanganya fafanua

  • @hajrabalushy5461
    @hajrabalushy5461 2 ปีที่แล้ว +1

    Wap znapatikana wax kwa tanzania n ivo vitu ambavyo umeorodhosha malighafi zinapatkana wap

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  2 ปีที่แล้ว

      Kwenye maduka yote ya Ujasiriamali Tanzania nzima

  • @pricillapaulo4012
    @pricillapaulo4012 5 ปีที่แล้ว

    Maduka ya Ujasiliamali yako sehem gani,mimi nipo Mwenge Dar.

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  5 ปีที่แล้ว

      Kariakoo, au kwenye masoko yote nchini Tanzania yanapatikana ww uliza Duka la ujasiliamari utaelekezwa

    • @pricillapaulo4012
      @pricillapaulo4012 5 ปีที่แล้ว

      @@SokaArena254 Sawa,asante sana.

  • @lucychacha3433
    @lucychacha3433 5 ปีที่แล้ว

    Nimetengeneza sabun lakn haiwi zito nimekosea wapi ndugu yangu

  • @rozinaswenya1719
    @rozinaswenya1719 6 ปีที่แล้ว +1

    Garama za maligafi vipi in rafiki?

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว

      Kiukwel zinatofautian ndug
      Kwa mfano hayo mafuta inawez fik 8000, inategemeana na mahali ulipo ndugu

    • @yakobosengasu8073
      @yakobosengasu8073 6 ปีที่แล้ว

      Upo wp

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว

      Mkoa wa Rukwa-sumbawanga

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว

      Mkoa wa Rukwa-sumbawanga

    • @Flom_daycare_center
      @Flom_daycare_center 6 ปีที่แล้ว

      @@SokaArena254 asante sana ubarikiwe mno na uwe na mafanikio.

  • @badriaazani8248
    @badriaazani8248 6 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namb zako

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว

      Njoo Instagram kupitia official baroso

  • @saumukaisi3996
    @saumukaisi3996 6 ปีที่แล้ว

    Unapatikana wapi kk

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว

      Saiz napatikana mbeya uhindini

  • @fredyfeduka7723
    @fredyfeduka7723 4 ปีที่แล้ว

    Mwlm uko vizur xn makopo ya kuwekea mafuta ya mgando yanapatikan wapi

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  4 ปีที่แล้ว

      Yanapatika katika maduka yote ya ujasiliamari

  • @rozinaswenya1719
    @rozinaswenya1719 6 ปีที่แล้ว

    Sioni wameificha.nasikia sauti tu

  • @joycemwanri4754
    @joycemwanri4754 4 ปีที่แล้ว

    Mambo samah hukuweza kutup no yako

  • @jasminngoya110
    @jasminngoya110 5 ปีที่แล้ว

    White oil ntapataje rafiki

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  5 ปีที่แล้ว

      Tembelea maduka yote ya ujasiliamali Tanzania nzima yanapatikana

  • @doriscristian5774
    @doriscristian5774 6 ปีที่แล้ว +1

    Ninamaswal naitaj mawasiliano yako

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว

      Nenda Instagram kweny inta direct nitakutumia

    • @emmanuelludomya9981
      @emmanuelludomya9981 5 ปีที่แล้ว

      Upo vzr huna rongorongo naunaereweka cio kama wengine

  • @salamaissa9910
    @salamaissa9910 6 ปีที่แล้ว

    unapatikana wap

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว

      Mkoa wa Rukwa-sumbawanga

  • @lisamakwaya3648
    @lisamakwaya3648 6 ปีที่แล้ว

    Vipi kuhusu sabun ya mche

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว +1

      Iko njiani muda wowote nita post nashukur Kwa kunifuatilia khasante🙏🙏

    • @rozinaswenya1719
      @rozinaswenya1719 6 ปีที่แล้ว +1

      Aasante sana.umenikomboa mwalimu.halafu unaeleweka vizuri sana

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  6 ปีที่แล้ว

      Axnt 🙏🙏

  • @sophiemayiedanny2001
    @sophiemayiedanny2001 5 ปีที่แล้ว

    Hiyo mafuta Ni ya kujipaka au🤔sijaelewa POA Kaka.

  • @stellaelia7017
    @stellaelia7017 6 ปีที่แล้ว

    upo wap

  • @agapejosceline7683
    @agapejosceline7683 4 ปีที่แล้ว

    Nina swali.
    Numba yangu hii +63 9198493744

    • @SokaArena254
      @SokaArena254  4 ปีที่แล้ว

      Uliza? Au Kama unataka kuuliza wasap number hii hapa 👉+255743996616

  • @pricillapaulo4012
    @pricillapaulo4012 5 ปีที่แล้ว

    Maduka ya Ujasiliamali yako sehem gani,mimi nipo Mwenge Dar.