Brayson Augustino - Jana (Official music video)4k
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
- Karibu kutazama wimbo wangu wa jana wimbo ni wa shukurani kwa Mungu kwaajili ya kutuvusha salama na mambo ya Jana, jana tulilala njaa, jana tulizarauliwa lakini katika yote leo Mungu ametupa ushuhuda.
For Booking braysonmsambure@gmail.com
+255 757 438 466
Audio by Tyros Records
Video by YouthPRO
Booking +255 769 200 333
butalentmanyema@gmail.com
Wow wow ... Congratulation bro... mungu azidi kukuinua viwango vikubwaa zidi... 👌
Son nakumbuka jioni moja nilisema neno Na bado narudia your most blessed man of our living GOD go and shine am real blessed
Napenda sana nyimbo zako of course zinabeba ujumbe sana mung akubariki kila tungo zako zote
Hongera sana Mdogo angu kwa uimbaji wako. Mungu azidi kukuinuwa kwa viwango vya juu
Hongera sana Bray wimbo mzuri na ujumbe mzuri Kristo azidi kukuinua na kukutumia kuwavusha wengi kwa jumbe nzuri unazoimba
Kaka Kaka MUNGU azidi kukutumia kwa viwango vya juu
Nice song brother... Mungu azid kukuinua ndoto zako zitimie
Ni Kweli Kabisa B I'm Always Proud Of You And Pray For Naikumbuka Jana Yangu Na Namshukuru Mungu Zaidi Kwaajili Ya Hiyo Jana Yangu Mungu Akutunze Daima 🙏🙏❤️❤️
Amïna mdogo angu.Yesu wa Kuhani Musa azidi kukuinua kwa viwango vya juu
Jana nilifeli,nilikatalia pmoja namateso yote nashukuru ✌️💛
Hongera sana mdgo wangu...Yesu azidi kukuinua tu
Kazi nzuri Sana mdg wangu keep going
Hongera kaka Mungu akubariki uzidi kumtumikia 💥💥💥
Wajina wakwangu Jana is a big song waaaah thank you God for everything..... representing KE +254
Keep going son kama kawaida mwimbo wangu mwingine tenaaaaa
Tunaingojea kwa shauku kubwaaaa
NASHUKURU NIMEAMKA SALAMA....KAZI NZURI
Bro wangu hongera kwa wimbo mtamu namna hiii
Hongera sana Mtumishi wimbo Mzuri sanaaaa
Mdogo wang Hongera sana Keep it up
Ayaa yaaa lazima nikushukuru Mungu waoooh be blessed my young brother
Amen 😁🙏🏼wacha tushukuru tu
Nice work Mungu akuinue zaidi mkuu
woow woow woow aisee i like it jamanii wimboo mtamuu mnoo hauchoshiii
Mungu azidi kukupigania
Be blessed my brother napenda sana nyimbo zako
Ubarikiwe Sana kwa maono ya kutuletea ujumbe huu
Daddy 🔥😅 the soooong🤤 powerful ❤Kyala atufigwege🙌🏽
Huyu kijana anaimba vizuri,neema ya Mungu ipo juu yake,kweli yapasa tushukuru kwa ajili ya jana,wengine jana zetu zilikuwa nzito🙏🙏
Big up my brother
kaka nakosa neno kusema🙌🙇🙇
Waoooo jana wimbo mzuri sana barikiwa sana kaka kaka🙏🙏🙏
Amina bella 🙌🏼😄 ubarikiwe
Barikiwa sana n💥💥💥
Keep going I see my brother there 😜jibo
Hongeraaa sana brother
Lazima nikushuku Bwana Mungu
nasubirii sanaaa🔥🔥
Ubarikiwe sana mdogo ang
Nyimbo safi sana
Hongera kijana wangu.Since unaanza unajua ujawahi niangusha...🔥🔥🔥
Uendeleee kubarikiwa kijana
Jirani eeeeh keep up the good work🔥🔥🔥🔥🔥
Ubarikiwe mnoo Kaka 🙌🙌
Umebarikiwa mtumishi
Jana imenipa kibali ya kuiona leo..... be blessed Bry....Mkono wa Mungu uendelee kukuinua
Barikiwa sana bro
Hongera sanaaa
Kz nzuri
Be Blessed mybrother keep up
NYC ndgu yangu 🔥🔥🔥
Nice song bryson God bless u my friend
be blessed brayson Augustin🔥🔥🔥🔥🔥
hongeraa sanaa mkuu
Kaka ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bravo🔥🔥🔥
You're going places just keep doing what called you to do..Kenya also love you.
I like this song eeh hujawahi feli kaka angu unajua jmn tena unajua🔥🔥mungu akuinue zaidi
Hongera Mzungu na crew yako … 💫✨
Nabarikiwa nanyimbo zako akika unakipajisana mungu akuinue kwakaziyak Amen
Aminaa sanaaa janaa ooojanaa aminaaaaaaaa sana.💁 Nashuru uuuuu nimevuka salama
Waiting dear
keep Going my dear Papa more love To You🔥🔥🔥♥️♥️♥️
Keep it up 🔥🔥
Be blessed , Good song
🔥 🔥🔥🔥🔥🙌
Ubarikiwe sana mtumishi
Kupitia wimbo huu nashukuru kwa yote katika maisha yangu mungu akubariki🙏
Hongera mungu akuinue zaidi nyimbo zako nifaraja kwangu
🔥🔥🔥
Be blessed brother, Good video and keep Hustling, uko creative sana, we expecting more keep up Bruh👏👏🙏🙏
nice video
ooh blessed the God who use you for his glory....may grace and favour be with you so that ur life will become a product of many lifter of men
Bwana. Yesu azidi kukuinu brayson
👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋🤷💁Lazima nikushukuru ubalikiwe mwanangome kimara temboni Mambo yote mazuri yanapatikana
Jana is really mostly important 🙏
Lazima tumshukuru bwana
Namuona ndugu yangu
JIBBO Amedamshi sana good song
Glory 😍
🙏🙏 Hongera mdg angu! Utukufu kwa Yesu Isaya 58:14
Nice song be blessed
Wow great dear.... Be blessed ... powerful song
Good job
My brother
I blessed!
Amen.
Played fourth times 🔥🔥🔥🔥
This boy has no idea how blessed I have been by his songs, congratulations and thanks for always giving us nice tunes, hope I will see you one day brother.
Be blessed keep shining my Brother. Ndugu wa nyumbani from City of Praise and worshiping Arusha One. Am proud of Brother.
Waooo oo hatariii
Pamoja cn uko very good
Imekaaa utamu sana
Jana ya muhimu sana ....
Favorite sanaaa
Amen🙏🙏
Good song brayson
Love this brother
2k pamoj sooo
Hongera Sana kwa Kazi nzuri , Bado uko Arusha au wapi siku Hizi ?
Amina
👏👏👏
Be blessed
🎧
Bless broo
Kaka Kaka MUNGU azidi kukutumia kwa viwango vya juu
🔥🔥🔥🔥🔥