mbona mnamlaumu sana mwanamke kwani mliona kashikwa ugoni? ule ni wivu tu wa mwanaume baada ya kuona kaoa mwanamke mrembo na mzuri zaidi yake na kuhisi pengine watakuwa wanamuibia ndipo akaona bora wakose wote ni hilo tu siyo kwamba mwanamke alikuwa na tabia mbaya
Yani mtu upate dhambi yakuuwa na yakujiuwa pia Mungu atupe mwisho mwema kwakwel 😔👏👏
Subhana allah yarabi tupe mwema
Wanawake Kama hujaacha mambo yako achana na ndoa kwanza, ukimaliza ndo unaingia kwenye ndoa
mbona mnamlaumu sana mwanamke kwani mliona kashikwa ugoni? ule ni wivu tu wa mwanaume baada ya kuona kaoa mwanamke mrembo na mzuri zaidi yake na kuhisi pengine watakuwa wanamuibia ndipo akaona bora wakose wote ni hilo tu siyo kwamba mwanamke alikuwa na tabia mbaya
@@ramadhanmahongole5663 subiri yakukute