MY FRIEND REFERRED ME TO MZUNGU WHO LATER INVITED HIS FRIEND IN THE SAME ROOM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 260

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 4 หลายเดือนก่อน +18

    Ukizaa mtoto mmoja usidanganyike kuzaa tena

  • @NancyAmbogo
    @NancyAmbogo 4 หลายเดือนก่อน +85

    Kujiuza ni kupenda kwao, nimepitia shida kubwa! But sikuwai jiuza, nlikuwa maskini jeuri, after interview ambieni ladies wajiheshimu, kama nime comment mbaya, 'forgive Nancy'🙏

    • @ElizabethKamene-wm2uw
      @ElizabethKamene-wm2uw 4 หลายเดือนก่อน +6

      Sema tena wasikie I agree with you

    • @Trizah-254-e
      @Trizah-254-e 4 หลายเดือนก่อน +4

      Unasema ukweli

    • @Beatrice-q5v
      @Beatrice-q5v 4 หลายเดือนก่อน +7

      Umenena mummy pia mimi nimepitia mengi zaidi ya huyu na nilisema siwezi jiuza

    • @ibrahimismael4022
      @ibrahimismael4022 4 หลายเดือนก่อน +3

      uko sawa kabisaa

    • @sellllinee
      @sellllinee 4 หลายเดือนก่อน +3

      You are Right

  • @annthuo7264
    @annthuo7264 4 หลายเดือนก่อน +12

    Accept Jesus Christ as your personal saviour We r all sinners dear nothing is to hard for God much love ❤️

  • @margaretnthenge6188
    @margaretnthenge6188 3 หลายเดือนก่อน +4

    So bad madam take heart those who mistreated you will never find peace on earth

  • @emilyondari4796
    @emilyondari4796 2 หลายเดือนก่อน +3

    That is why Kuna hells gate uko, ukisikia safari rally toroka au kikurambe.

  • @nancymbugua241
    @nancymbugua241 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nyambura ,mrudie mwenyezi mungu , and utaona vile mungu hufanyia watoto wake

  • @helenhelena2468
    @helenhelena2468 4 หลายเดือนก่อน +17

    Ati geuka unageuka tu kama mjinga,Siungekataa upige nduru hotel iko na watu sio msituni ala!

    • @josephineaumamuhola1798
      @josephineaumamuhola1798 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @miriamkiburi
      @miriamkiburi 4 หลายเดือนก่อน

      alikuwa anaogopa aibu ata mmi singepiga nduru😂😂😂

    • @janetkanini2233
      @janetkanini2233 4 หลายเดือนก่อน +5

      ​@@miriamkiburiHeri haibu kuliko kufanywa mlemavu

    • @mwituamweene9850
      @mwituamweene9850 3 หลายเดือนก่อน

      mbeca

    • @ananciataodindo7861
      @ananciataodindo7861 3 หลายเดือนก่อน

      @@miriamkiburiAfadhali to be ashamed than my mumu to be destroyed

  • @thecklermwaka652
    @thecklermwaka652 4 หลายเดือนก่อน +3

    This is disturbing and traumatizing, can't believe these things happen 😭😭😭

  • @josphinejackson7278
    @josphinejackson7278 4 หลายเดือนก่อน +2

    Oh my God haki shida ni mbaya, may God remember mercy

  • @MaryGathoni-tz1so
    @MaryGathoni-tz1so 4 หลายเดือนก่อน +20

    Wokovu ni Bure watu wageukie Mungu

    • @violetnasimiyu8718
      @violetnasimiyu8718 4 หลายเดือนก่อน

      Amen you can say it again.

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 4 หลายเดือนก่อน

      Amen amen,na wakishindwa watafute pp wakuje Saudi wapigane na warabu BT mwisho wa siku pesa inaingia

  • @MaryWambui-v6u
    @MaryWambui-v6u 4 หลายเดือนก่อน +9

    😭😭😭😭ladies. Ladies ladies we should learn to love our self

  • @RichardBuschmann-f8m
    @RichardBuschmann-f8m 4 หลายเดือนก่อน +5

    Tamaa za Shetan tuu, Una haribiwa life na hutoroki

  • @millyadhiambo238
    @millyadhiambo238 4 หลายเดือนก่อน +30

    Huyu nae🙆 uende room with 2 different people still pretending ujui unaenda wapi yet you have 2 children 😢

    • @bosslady9167
      @bosslady9167 4 หลายเดือนก่อน +3

      Angetajirika ama apewe Pesa mingi hangekua hapa,huwa wanakuja kwa mtandao kikiwaramba,kujiuza ni kupenda kwao

    • @ElizabethKamene-wm2uw
      @ElizabethKamene-wm2uw 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kazi ya kussurpot Malaya zii

    • @Kamum3
      @Kamum3 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wah mlisema huruma ni estate

    • @ceciliandiritu7115
      @ceciliandiritu7115 4 หลายเดือนก่อน

      Vam wondering too,,,,, i rather be a shamba gal but not this weuh its so sad 😭😭😭

    • @chatwithanne1122
      @chatwithanne1122 4 หลายเดือนก่อน +3

      She has been telling a different story about this including sleeping with dog, masaai man who stuck a rungu in her private parts etc. She has been in all channels from 2019, l 1st watched her story with Lynn Ngugi while she was working at Tuko talk, KDM, wambui WA Mwangi, symo K and so many

  • @ceciliawahome
    @ceciliawahome 18 วันที่ผ่านมา

    Wacha aongee imtoke😅😅

  • @shakilazuwena7668
    @shakilazuwena7668 4 หลายเดือนก่อน +12

    Siwezi zalia mtu tena ju najua shida nilipitia na my firt born

  • @ruthn9381
    @ruthn9381 4 หลายเดือนก่อน +31

    This is unfortunate. She needs psychological help. Some stories are just sad, I hope the interviewer was able to assist her to get some help😢

    • @BenPoxxy
      @BenPoxxy 3 หลายเดือนก่อน +2

      No really, let people work for the money even if it means Salling charcoal but hii pesa ya haraka must be discouraged.

  • @AelhAelh
    @AelhAelh 4 หลายเดือนก่อน +7

    Let me give one advice for women's ana girls ,when u give birth for 1 and 2 kids becareful uende shindano ama upate shida mingi coz ukizaa mmoja n accident na wa pili no na uko peke yake.na kjiuza sio jibu tafuta kazi ngine ya kufulia watu huezi kufa nyinyi ndio mnajieka kwa majaribu,mie nilikaa na mwanaume miaka tano ndio nikazaa kumbe n malaya na akaniepa but nilijikaza na mtoto lkn mwishowe wakaiba mtoto since 2019 September mpaka xai ndio nililetewa mtoi kama ako na 5yrs.wamama kuweni na akili kujiuza stop it!!

  • @chatwithanne1122
    @chatwithanne1122 4 หลายเดือนก่อน +14

    When will this woman get enough.she has been in all social media from 2019 and her story keeps on changing. Why don't the host google her stories and the help she had achieved so far.

    • @gracy2545
      @gracy2545 3 หลายเดือนก่อน

      What was her story then?

    • @millychelimo7046
      @millychelimo7046 3 หลายเดือนก่อน +1

      She has many encounters. Ni episodes

    • @alyceMuthoni
      @alyceMuthoni 19 วันที่ผ่านมา

      @@millychelimo7046😂😂😅

  • @vertyverty7334
    @vertyverty7334 4 หลายเดือนก่อน +5

    😢😢😢😢mungu bariki huyu mama na kazi

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 4 หลายเดือนก่อน

      Na pia afya na uwezo wa kufanya kazi.

  • @margaretnthenge6188
    @margaretnthenge6188 3 หลายเดือนก่อน +1

    Very sad story may God help our children

  • @mollenaowino5174
    @mollenaowino5174 4 หลายเดือนก่อน +1

    When you see some patterns in life know you are in trouble. Some patterns are demonic. This is sad.

  • @ev.dorcasrehoboth8690
    @ev.dorcasrehoboth8690 4 หลายเดือนก่อน

    Wakati nilinuwa how wordof God says, eti Mungu ameniheshimu mimi ninani nijisuse hi ladies again and Value to urself. God value u to.

  • @nancymbugua241
    @nancymbugua241 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sincerely speaking girls need alot of education/ Empowerment, hii issues za wanawake ni real not only mashinani even town its disheartening

  • @EzinahChemase
    @EzinahChemase 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sometimes we ladies we are fools

  • @HellenWanyama-n5n
    @HellenWanyama-n5n 3 หลายเดือนก่อน +2

    God deliver you

  • @LilyLisha-dh1dq
    @LilyLisha-dh1dq 2 หลายเดือนก่อน

    The ONLY ONE holy enough to cast a stone DIDN'T.

  • @JestinahMwakesi
    @JestinahMwakesi 4 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu nae ni mujinga wa wapi hata Kama ni shida huo ni ujinga.

  • @caruleaner4477
    @caruleaner4477 4 หลายเดือนก่อน +7

    Swali tu hii ni tattoos naona kwa shingo

  • @mayaGael
    @mayaGael 7 วันที่ผ่านมา

    family planning muhimu😢

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 3 หลายเดือนก่อน +1

    Haya sasa, rafikiyo kakuuza na kukutupa. Mzungu kala rwaha zake sasa matibabu kwetu. Kwanini uliondoka hapo hotelini kirahisi hivyo na hata wasikupe pesa. Hiyo ilikuwa ni kesi ya kulawiti😢

  • @AliceRodgers-h9t
    @AliceRodgers-h9t 3 หลายเดือนก่อน +1

    Some stories though 🥴umepata mtoi wa kwanza umeenda kwa mwingine umepatiwa mwingine bado tu hau learn?y is it some ladies think like ka ukiwa na shida mwanaume ndio solution!?uwaah Mungu atupee hekima na maarifa ju uweee

  • @kiiomaria3314
    @kiiomaria3314 2 หลายเดือนก่อน

    Ai na wewe surely unaenda aje na watu ujaongea na wao...o though life ukua ngumu.and also some friends hapana...but hapo kwa kubeba mimba ndio ulianguka..ungetumia tu family. Na ungeshitaki uyo beshte yako aii

  • @Trishkadolitrends
    @Trishkadolitrends หลายเดือนก่อน

    By the bona watu hukaa kwa relationship hulewi mko wapi na mnaenda wapi?

  • @annmwongeli2610
    @annmwongeli2610 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mnapatana na mnalala first day,wee

  • @mrsessielove
    @mrsessielove 2 หลายเดือนก่อน

    I wish i wud have a chance to find thez kind of babylons😢😢😢😢i just wish😮

  • @Emmanuel967-c2m
    @Emmanuel967-c2m 3 หลายเดือนก่อน

    Some things are spiritual.

  • @muthoni987
    @muthoni987 4 หลายเดือนก่อน +10

    Fistula surgery in Kenya is free.

    • @janetjanet616
      @janetjanet616 4 หลายเดือนก่อน +1

      This guest has been to all other different channels before. How is it?

    • @janetkanini2233
      @janetkanini2233 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@janetjanet616yeah it's free maybe Hana iyo Shida coz anafaa kuwa ashasaindika kitambo or she want to swindle pple's money using fistula

    • @gracy2545
      @gracy2545 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@janetjanet616What was her story then?

  • @shakilazuwena7668
    @shakilazuwena7668 4 หลายเดือนก่อน +13

    Lakini ladies kwani hamjui family planning mnateseka tu bure na mimba za watu

  • @sianrapei691
    @sianrapei691 4 หลายเดือนก่อน

    Ladies, if the father of your children is alive, go to the children's office and have him summoned. If he doesnt cooperate, file a case in court. He will be forced. Dont try to pretend that you are okay yet you have to do such things to provide basic needs for yhe children.

  • @danielamicheal4680
    @danielamicheal4680 4 หลายเดือนก่อน +3

    Dunia hii nimungu tu

  • @brantanolee643
    @brantanolee643 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa hizo mimba za nini unaongeza na tayari una watoto wawilli wanatruggle camon huyu dem hay hayuko serious

  • @marynganga7633
    @marynganga7633 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wakikuyu si hata mkufe sana

  • @NellyMwangi-z2h
    @NellyMwangi-z2h 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona usiweke sindano, surely

  • @MercyKorir-mz5se
    @MercyKorir-mz5se 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mama kuja nilkupeleke hosi

  • @euphrasiakavayi7586
    @euphrasiakavayi7586 3 หลายเดือนก่อน

    sio kwa ubaya kwani this lady na hizo shida zote na watoto and maturity, why wasn't she focused!!!!!!!!!

  • @shiksjustin
    @shiksjustin 4 หลายเดือนก่อน +17

    Nko na swali kwani hii Naivasha dio ina kuanga na hizi tabia ju stori izi mingi hufanyika uko😢😢

    • @rajabmilly6048
      @rajabmilly6048 4 หลายเดือนก่อน +2

      wote wa karagita!

    • @ShannyJayn
      @ShannyJayn 4 หลายเดือนก่อน +3

      Ile umalaya hukuwa Naivasha kwanza karakta huku usipojichunga utakufa

    • @georgejuma9221
      @georgejuma9221 4 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

    • @SophieMasiga
      @SophieMasiga 4 หลายเดือนก่อน +1

      The comment i was looking for

    • @ElizabethKamene-wm2uw
      @ElizabethKamene-wm2uw 4 หลายเดือนก่อน +1

      Pia mabo na human trafficking sanasanaikona tu wagikuyu washindwe kabisaa

  • @kezzybett1142
    @kezzybett1142 4 หลายเดือนก่อน +5

    Ladies! Ladies ! Ladies !
    May God forgive you

  • @carolinengeno885
    @carolinengeno885 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole kabisa kwa hawa wadada…. May God have mercy on you. People pass through hell but Jesus never fails anyone. I went through a lot but the only thing I came to remember is that God has a final say over my life. I thank God for everything he has done to my life.

    • @janemathenge2820
      @janemathenge2820 2 หลายเดือนก่อน

      I will testify of his goodness some day

  • @JestinahMwakesi
    @JestinahMwakesi 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani hujui ukilala na mwanaume kuna mimba ama ugojwa.

  • @DeeDee-lc5et
    @DeeDee-lc5et 4 หลายเดือนก่อน +2

    Thıs lady has been in different forums with different stories herı nıkuwe makanga kulıko kujıuza

  • @winfrednduku2359
    @winfrednduku2359 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe kila mahali mimba😢ukisaidiiwa weka family planning

  • @CharityMuriithi-hp4fo
    @CharityMuriithi-hp4fo 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani nyote ni wakikuyu..ii ni biashara tu

  • @danielamicheal4680
    @danielamicheal4680 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ufirwe na mzungu ukose kupewa hata bob kwanini ujikubali kutumiwa hivyo why you did not ask your friend wazungu wanakuja mwaenda kulala nao kwa njia gani shaaaa walitoa mkundu nje aoli

  • @dorcasnzioka
    @dorcasnzioka 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wenye mnacoment na ubaya jueni hakuamka akaamua hiyo job actually ni shida

    • @janetkanini2233
      @janetkanini2233 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ni mateso Gani hatujawahi pitia Kwa hii Dunia?kujiuza its a personal choice Na mbona wote wako Naivasha tu? Peer influence

  • @majimoto75
    @majimoto75 3 หลายเดือนก่อน +2

    You kept on a very destructive trail. You could have learned from your past experiences. There's family planning ,unazaa na kila mume . Shida za kujiletea.

  • @JaneGichuki-w6s
    @JaneGichuki-w6s 3 หลายเดือนก่อน

    Ivo ndio watu wa kujiachilia kila mwanaume umepata unaanguka nayo na kuharibu Sana unajifanya kuzalia kila mtu umepata kwa njia because of laziness nikazi mtafanya umalaya lazima ikutese

  • @irenewanjira5132
    @irenewanjira5132 3 หลายเดือนก่อน

    Christ is the answer He can save you and deliver you.Seek Him

  • @leahmwange5571
    @leahmwange5571 2 หลายเดือนก่อน

    Hampendi kuchoka, respect your body,it is the temple of the Lord,ukiichezea, utazikwa

  • @lienoraachieng8333
    @lienoraachieng8333 2 หลายเดือนก่อน +2

    Sio kwa ubaya, but this woman sounds foolish. There is no point she mentioned that she tried hustling diffrently like looking for any other kind of job or even starting a small business and see if it can work! Mara ooh, nakaa na rafiki, mara that for how long can you be hosted by friends without strugling to get your own? You cannever enjoy life ya kutaka kusaidiwa kila saa. Upambavu uache if you want things to change

    • @PhoebeMbinya
      @PhoebeMbinya 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani una mikono wewe ni kiwete?si ata ugefuria watu manguo?fungus macho uone mbere kikuyus are not fools!

  • @erickkiprotich6600
    @erickkiprotich6600 4 หลายเดือนก่อน +2

    Most of these stories ni za jaba tu

  • @annkamau5046
    @annkamau5046 4 หลายเดือนก่อน +7

    wewe, wacha ufala! venye ulilala na wakwanza mbona hukutoroka, hii ni ujinga, nonsense!!

  • @janetkanini2233
    @janetkanini2233 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kuchora tatoo ni shigapi na fare ya kutoka naivasha to kinyatta hospital or Eldoret kwa muindi coz treatment ya fistula ni free.

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 4 หลายเดือนก่อน

      Kwanza hizo tattoo ndio zinamikosi Sana

  • @hidayasaidi7872
    @hidayasaidi7872 4 หลายเดือนก่อน +3

    Aibjuuuujuu

  • @janenjeri986
    @janenjeri986 4 หลายเดือนก่อน

    Ukiwa na mimba unaenda three sum wee😢so sad

  • @mildredmmbone1514
    @mildredmmbone1514 4 หลายเดือนก่อน +8

    Were do you get this shameful storys

    • @malaikajabali-oj2fh
      @malaikajabali-oj2fh 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂am also speechless wooi

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂kuna zingine kule Kwa dela Aiiii NI za ajabu ajabu tu

    • @DericSore-q9z
      @DericSore-q9z หลายเดือนก่อน

      𝐍𝐤𝐭!!

  • @EuniceAchieng-c7n
    @EuniceAchieng-c7n 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa ukufe in the name of shida

  • @alexstan9876
    @alexstan9876 4 หลายเดือนก่อน +2

    Aibu, mtu akianika story yake anasaidiwa aje????! Shenzi

  • @puritynganga4317
    @puritynganga4317 4 หลายเดือนก่อน

    Nikashindwa nitafanya aje...nkt

  • @EstherWangare-nd9oc
    @EstherWangare-nd9oc 2 หลายเดือนก่อน

    Pole bt huyu rafiki alikuwa mbaya sana, na hao wazungu nap ni ma gay ndio wakamtumia both sides naeaombea laana na huyo rafiki

  • @MarionMemoi
    @MarionMemoi 4 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani hawa wasichana wote wa Naivasha kazi yao ni hoteli ,boyfriend na umalaya,nani aliwaroga?

    • @Kamum3
      @Kamum3 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 mlisema huruma ni estate

    • @demwinzie6257
      @demwinzie6257 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 3 หลายเดือนก่อน

    Malata .Mimi nasona wote uwongo tu..ni ushetani kutafuta attention .hivi ulaya au country zozote zipo na sheriaaa sasa kama ukupenda hayo na kujipanua???wasichana sisi wahongo Sana'a toka story za vitabu vitakatifu

  • @Chimbiexo
    @Chimbiexo 4 หลายเดือนก่อน +3

    Alikutomba mapua? Pumbavu wewe unaongea ujinga. Eti mzungu alikutomba mkundu. Shenzi sana.

  • @carolineamoit3579
    @carolineamoit3579 3 หลายเดือนก่อน

    Mm ata tu bwanangu hawezi nitumia hivi , nefaa

    • @carolineamoit3579
      @carolineamoit3579 3 หลายเดือนก่อน

      Jameni ladies, ameamka kuenda na hata hajalipwa, seriously....... What a hell

  • @NancyNgugi-hd8yr
    @NancyNgugi-hd8yr 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mtu anaafia anataka kusaidiwabona sasa fanya kazi ya mikono.kuja gulf tuchape job pia ss tuko huk tunafanya

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hukusikia ni mgonjwa? Ako na fistula. Wewe hata hapa hukujua ni nini kilifanyika or how story ilienda mpaka huyu dada akapata fistula.
      Na wanawake wakipata majeraha haya, ni ngumu wao kukaa na wengine. Sababu, hilo jeraha hunuka SANA.
      Ni ngumu ata akiwa home Kenya, acha wewe unasema aende Uarabuni kufanya kazi.
      Hawezi pita medical.
      Jielimishe.

    • @janetkanini2233
      @janetkanini2233 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@VeronicaDunbarBut amefanya interviews kadhaa Na Kwa comment section she was referred to different hospitals offering treatment for free.i think ashatibiwa ako mboka tu.

  • @milikahwanjohi8114
    @milikahwanjohi8114 4 หลายเดือนก่อน

    Woii haki hio tattoo and ur ageing 😢😢

  • @oleiei434
    @oleiei434 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hajasema alivyopata pesa za kufanya body tatoos na wigi?

  • @everlinenyabokenyantika3396
    @everlinenyabokenyantika3396 4 หลายเดือนก่อน +12

    Fistula inatibiwa free kenya

    • @rajabmilly6048
      @rajabmilly6048 4 หลายเดือนก่อน +1

      exactly! I have been telling some vloggers here same but still they insist tuchage

    • @everlinenyabokenyantika3396
      @everlinenyabokenyantika3396 4 หลายเดือนก่อน

      @@rajabmilly6048 aende hos nairobi women's hospital atatibiwa free na kuna hos ingine iko huko route ya buruburu pia wanatibu free

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hata tz pya wanatibu bure

    • @ElizabethKamene-wm2uw
      @ElizabethKamene-wm2uw 4 หลายเดือนก่อน +2

      Hawa watu hawataki kuchoka that's why wanazuguka channel zote with just the same same story

    • @emilymyllymaki8059
      @emilymyllymaki8059 4 หลายเดือนก่อน +2

      Sounds more like s prolapse.. but i cant underztand how she let all that happen and she didnt stop it.. she wasnt forced or raped..

  • @margaretnthenge6188
    @margaretnthenge6188 3 หลายเดือนก่อน

    Nakwani wazungu hawakukulipa ama

  • @BethNduta-zz2ly
    @BethNduta-zz2ly 2 หลายเดือนก่อน

    Ui this is too much unasikia story kama umekasirika

  • @Radhiah9650
    @Radhiah9650 3 หลายเดือนก่อน

    Mzungu gani huyo ako na kitu kubwa? no wai or ni pandika!

  • @AlbertNyagaNdwiga-fg7te
    @AlbertNyagaNdwiga-fg7te 4 หลายเดือนก่อน

    It's just a story. Pale kwa club alisema hakulipwa. Je pesa ya pikipjki alitoa wapi

  • @dammerwale807
    @dammerwale807 4 หลายเดือนก่อน

    Heri uoshe choo ya muindi kuliko kujiuza

  • @LennyOuma
    @LennyOuma 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sorry girl in life you have to know the fear of God go to church direct your kids pray a lot the bible tells us never trust in human being eat your sweat in this earth their is evil don't be greedy whatever you have small use it and be thankful to God even if is salt and ugali never again mess your family and life

    • @preven_16
      @preven_16 2 หลายเดือนก่อน

      True girl❤🎉

  • @monicanjeri5847
    @monicanjeri5847 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu alihonjiwa kwingine. HAKUWA amejipondoa HIVI na Tatoo.Kuzoea kusaidiwa. Fanyeni kazi na mkono yenu.

    • @ElizabethKamene-wm2uw
      @ElizabethKamene-wm2uw 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hata hiyo fistula naona kaa alitibiwa akapona anadaganya ili asaidiwe tena

    • @jackiewambu3575
      @jackiewambu3575 2 หลายเดือนก่อน

      Alipata wangapi in total?? I am impatient in stories?

  • @bettygesare5948
    @bettygesare5948 3 หลายเดือนก่อน

    hata wewe kuna ile akili ya kusaliwa nayo sorry

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน

    Try to make story short this is too long.

  • @steuerveronicah9416
    @steuerveronicah9416 4 หลายเดือนก่อน

    Nonsense hizo. Juu hana akilo

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 3 หลายเดือนก่อน

    Gal you need Jesus yeye ndio huondoa viu zote.

  • @tabithamuthoni9840
    @tabithamuthoni9840 3 หลายเดือนก่อน

    There was no rape case

  • @GraceKinyanjui-r2l
    @GraceKinyanjui-r2l 2 หลายเดือนก่อน

    So sad

  • @rerisamba
    @rerisamba 4 หลายเดือนก่อน

    Watu hawaogopi umeumwa na nyoka tena huogopi

  • @shamimtv254
    @shamimtv254 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ukijiuza unajiletea nukusi sperms za wanaume wengi zimebeba laana tu wasichana style up heri ukue chokora kuliko kujiuza

  • @marykilonzo2882
    @marykilonzo2882 4 หลายเดือนก่อน +2

    Wee ni mjinga wa mwisho juu unakumbali kulala na wazungu na Bado unasema upewi chochote.kwenda uko ghasia wewe.

  • @Lenamwareri2024
    @Lenamwareri2024 2 หลายเดือนก่อน

    U don't slay like Thier is no end.
    Umalaya haina class ..u can say no.give your life to christ he will reward you

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 4 หลายเดือนก่อน

    Sad 😢

  • @danielamicheal4680
    @danielamicheal4680 4 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani wewe unakaaje kijinga hivi kuekwa mimba tu very careless

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwa ninj uliacha kazii?. Inamaana mtuukipata tu mimba , unaacha kazi. Uvivu unaleta umasikini.

  • @ThereseMbenge-x5i
    @ThereseMbenge-x5i 3 หลายเดือนก่อน

    Needs a lot of psychological counselling.

  • @MwangiShee-hv6ps
    @MwangiShee-hv6ps 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hypocrite, mtu afanye kazi, Kuna sisi hapa tuliachwa na watoto wanne ,tukaoshea watu manguo hadi Mikono ikagonjeka na watoto washa grow na kusoma na unapatana na mtu moja anakupenda na anasoma katiba hiyo shinda inaisha, na mnasaidiana kiwango ataweza roho safi

    • @morynemiendwa5408
      @morynemiendwa5408 4 หลายเดือนก่อน

      Waaaa connection

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 4 หลายเดือนก่อน +2

      Njia na bahati yako na watoto 4 ni yako. Binadamu hawapitii njia moja.
      Huyu alipatwa na mathara. Wewe uko okay, shukuru Mungu na uombee wenzako.
      Una watoto pia, hujui yale yatawapata. Hujui, hata wewe ni yape yaeza kukupata.
      Just do your best, na maombi. Kisha muachie Mungu.

  • @godsown4683
    @godsown4683 3 หลายเดือนก่อน

    Use your language subtitles