Mm kiuno cha cha fally ipupa tu🙄🙄😋 kwa bed sijui inakuaje 💃💃💃💃💃,,,,,. Njoo zanzibar bhana... ☺️☺️😋😋😋.... So sweeties Congo music...natafuta mume Congo 💃💃💃💃💃💃😳.....
Nawapenda wanaume kutoka Congo sababu hawacheet wanawaheshimu sana wanawake nilikuwa na mwanaume kutoka Congo nilikutuna nae ufaransa kwenye show ya Koffi olomide aliniheshimu sana tatizo lilikuwa kwenye lugha aliongea kifaransa tu alikuwa hajui kiingereza pia yeye anaishi ufaransa na mimi naishi Sweden
@@gwassajonaschotero1422 tena kipindi hicho nilienda ufaransa kuangalia show ya Koffi olomide huyu jamaa fally ipupa kipindi hicho alikuwa dansa wa koffi olomide na niliwaona wote kwenye hiyo show umesema nikaolewe Congo kwanza inabidi nijifunze kuongea kifaransa na si rahisi kama kiswid mimi nilijifunza kuongea kiswid kwa miezi mitano tu na huyo jamaa kutoka Congo niiliyekutana nae ufaransa akinipigia simu yaani sielewi hata neno moja sijui kwa nini wacongo wengi hawajui kiingereza
Hadi raha mwanza wali enjoy Sana hata ukitowa helaa yako unaenda kihalali wanyumbani Sasa kingilio tulipe alafu tuimbishwe chukuwa zote Mia fally ipupa ulijuwa kututendea haki
it's the name of an old colonial movie : a villager who left Ecuador for Kinshasa he abandoned his ancestors and converted to Christianity but his white master was opposed to it and he insisted in the end his master let him beaten to death he died Christian martyrs
Fally ni msanii mkubwa sana amekuwa na bidii tangu wakati wa quartier Latin Lé Internationale
Ukimuacha Fally mtu mwingine anaeupiga mwingi kwenye stage Ni huyo bonge jamaa yuko vizuri mnooo
Sanaaaa umeonaeeee.bonge mwepesi
Sanaaa mm mwenyewe namfeel kinoma
Hatari kaka,bonge alikichafua
Mtu wa drums ni hatari🔥🔥
Amepiga drums ya hatari
Moto WA kuotea mbaliiii
Jamani hii nyimbo iisababisha nikaipenda miziki wa wakongo
Acha tu Teddy hatari sana.
very nice ngoma ipo pw merci N'simba
❤
Love from South African 🇿🇦
Fally Anajua Kuinongesha Show🙌🏻🙌🏻🙌🏻💥💥💥💥
Hatar sana th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Licha ya kuwa alikuwa na homa
Fally Ipupa tunakuaminia sana
Mm kiuno cha cha fally ipupa tu🙄🙄😋 kwa bed sijui inakuaje 💃💃💃💃💃,,,,,. Njoo zanzibar bhana... ☺️☺️😋😋😋.... So sweeties Congo music...natafuta mume Congo 💃💃💃💃💃💃😳.....
Tuna penda Zanzibar sana
Na mm huwa nawaza cpat jibu hicho kiuno aloo
Notre fierté aigle tokooos❤❤❤❤❤
Am ugandan🇺🇬. But Congolese have made it. Music they are far. Fally Ipupa you made our day
I never regret being Congolese, so proud to be a part of this country 😍😍🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Me too 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤💪
2468
You Guys have an awesome Country, Spirit, Culture & Tradition. 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
nice I proud to visit congo I enjoy natural of de green pride of kenshasa
I blame my grandfather to come to zambia this tym I would have been a Congolese man
You ain't a serious guy 😄
Hawa ndio wanaujua mziki sasa sio wengine full mikelele tu na kick za mtandaoni ila perfomance ni big zero
Congo ndio kwenye kizazi cha muziek bongo wana copy
Congo tunajuwa mziki
@@uwimanauwimana7692unasema kweli kk
Congo tunajuwa mziki
Mon artiste préféré t'es le meilleur à tous les warriors Venez liké
Mondi hatar th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Fally Ipupa IS the best and number one on Afrique francophone
Aigle 🦅🦅🦅 love from Sénégal 🇬🇭💋
Fally légende musique congolaise
I love the song...South Africans where are you?
Nawapenda wanaume kutoka Congo sababu hawacheet wanawaheshimu sana wanawake nilikuwa na mwanaume kutoka Congo nilikutuna nae ufaransa kwenye show ya Koffi olomide aliniheshimu sana tatizo lilikuwa kwenye lugha aliongea kifaransa tu alikuwa hajui kiingereza pia yeye anaishi ufaransa na mimi naishi Sweden
Usijali find me i can fix the gape 😄
😃
Kaolewe congo sasa
@@gwassajonaschotero1422 tena kipindi hicho nilienda ufaransa kuangalia show ya Koffi olomide huyu jamaa fally ipupa kipindi hicho alikuwa dansa wa koffi olomide na niliwaona wote kwenye hiyo show umesema nikaolewe Congo kwanza inabidi nijifunze kuongea kifaransa na si rahisi kama kiswid mimi nilijifunza kuongea kiswid kwa miezi mitano tu na huyo jamaa kutoka Congo niiliyekutana nae ufaransa akinipigia simu yaani sielewi hata neno moja sijui kwa nini wacongo wengi hawajui kiingereza
Happy njoo me nikuoe my me kwangu kiswaz na kizungu vyote vinapanda
Hadi raha mwanza wali enjoy Sana hata ukitowa helaa yako unaenda kihalali wanyumbani Sasa kingilio tulipe alafu tuimbishwe chukuwa zote Mia fally ipupa ulijuwa kututendea haki
I love it. Fally Ipupa. Please come to Botswana
Maana haris ya mziki mtamu sio mzuri tu
Fally c’est un efficient ❤
My number 1 artist in Africa
Mondi hatar th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
huyu mwamba namkubalii sana mutu ya watu mutu ya congo nairudiaga mara 1000
Fally légende musique 🇨🇩!Félicitations 🤝🇬🇼🇸🇳🇵🇹 courage!
African legend. May you live long boss
C'est un chef-d'œuvre ❤❤❤
Mie kuna dada mnene hapo kavaa nguo ya blue,mwenye anaweza mshitua kuna mtu anamtafuta tafadhali.
Jamani naipenda hii nyimbo naisikiliza kila siku
Form Zambia
Let's go here ,"Formulae 7"
Hhahahahaha huyu jamaa aise balaa,, tunataka show Kama hizi syo makelele tu
My favorite musician in Africa
The Beats and Quita🎸🎸 on point👏👏🎧🎧👌, Bakanja one of my favourite Fally Ipupa Song🎧💞🎧
Fally is amazing he sings and dances well
I like this version
Fally mon artiste, Congo mon pays
Hatar sana
Fally Ipupa ce t'on temps courage mon gars
Zimbabweans 🇿🇼. Let's mark the register 😊
Hoyooooooooo🎉
Happy to see Bushman (hunter gatherer) improving in music industry...
Long live Fallyipupa
Respect Total monsieur Ipupa 💪 Félicitations
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎵🔈🔊🔊🔊mwaza Tanzania 🔥
Tokoooooos bazwi wapi bajaloux balapa baabana
Fally please come to Mozambique
Eloko ya makasi 🇨🇩🇨🇩
Notre fierté Aigle Fally Ipupa. 🤩😍😍😍😍
Come to Botswana🇧🇼 🔥
For reallllll....am sooo waiting for him
un musicien avec qui je suis toujours d'accord, un parent sait chanter et danser Fally Ipupa 🔥🔥🔥
,
King of dance
I love song bakanja ,the rock City jamukaya jisoga sana natogwa
I dont understand how is Eddy still gaining weight when he's always dancing, damn he can move👏❤️
Bravo 👏🏽 👏🏽 Bo bini penza 💋💋💋
Ah Fally, il fallait dire Arno🤣🤣🤣, o bosani o buaki Champion
alobi champion Arno azali kobwaka bango mibale ezala na concert ya liboso abwakaki bango mibale.
My all time fally ipupa favorite BAKANDJA
Parabéns fallyyyyyyyy 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
Très belle prestation et interprétation
Hatar sana th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Q
King on the stage
Drums are on point
je suis content avec Fally Ipupa
Enjaillement les vrai son de l’époque 👍👍👍👍
Huyo big mbona kama Jose mara..
Tokossss fally 🥰🥰🥰😘😘😘🥰🥰
Je suis mm obligé de dansé !!!!!!!😊
Comment je peux faire pour voter fally?
Akika tuliinjoi sana hii siku sito hisaau
Walo basse vraiment très fort
De domste mensen op aarde ik loev❤🕺🏾
En tout cas, magnifique prestations.
Aigle show Man 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tro kitoko identité boloké force à toi
Le Warrior Suprême
Aigleeeeee tokossssss
Ndo ivo mziki wakikubwa unapigwa
Beat the drum unit the sun cry😂😂😂
Wakenya tuko hapa.
Fally ipupa oyoooo
toza toujour likolo tokoos baza bana fally ipupa toujour
Amazing!
Le Dieu de la musique Congolaise
Electricwaste Fally u a e boss, wats e name of e song
Fabulous Fally
Cool For loving our music
Bakandja and Oriengo sebene
Good fari
génial frère
Napenda sana good
Bakanja 💃
Ba supporteurs ba gangui
La voie qui me donne la joie
toleka bango natina warrios
🔥🔥🔥🇿🇼
Akaribie tena rock city
So interesting
nipo lumbumbashi uyo mtu noma sana
The best
What does Bakandja mean? What is the song about?
it's the name of an old colonial movie : a villager who left Ecuador for Kinshasa he abandoned his ancestors and converted to Christianity but his white master was opposed to it and he insisted in the end his master let him beaten to death he died Christian martyrs
@@benymatondostarta9423 Thank you so much.
Visit Rwanda Dr fall ipupa in musics
Je resterai Wario
Eagle 🦅🦅🦅💯
Mondi hatar th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
Er r der
Garde es
Der Tee t Tee der der Frede Rest der ze er es es
Wasanii wetu wajifunze kupiga laivu
Hatar sana th-cam.com/video/3PGdCB6qmus/w-d-xo.html
wasanii wahapa kwetu TZ
kiwango bado kiko chini
@@wowo1546
Bila kiwango kuwa chini, hawa juwi kupiga live mpaka play back only,mbona Christian Bella ana piga live?
@@banzamukalay5396 ndio kabisa 🤔
hawajuwi
Wa tanzania 🇹🇿 niwa kuimba taarab. Lakini mambo ya live bila play back mu achiye wa congo 🇨🇩 tu kwakuwa ile njo kazi yetu.
🦅🦅🦅🦅🦅🦅👑
Uyu jamaa hatree
But the Wenge Maison mere live performance was number one
Stop your nonsense of wenge I know you people from wenge don’t accept that fally has already passed the wenge