🔴#'; LIVE DR.SULLE AJA NA MPYA KUHUSU BAADHI YA MASHEIKH WANAOMPINGA KUHUSU MAJINI/HAWANA ELIMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • #LIVE DR.SULLE AJA NA MPYA KUHUSU BAADHI YA MASHEIKH WANAOMPINGA KUHUSU MAJINI/HAWANA ELIMU

ความคิดเห็น • 11

  • @WeddyBwayTz
    @WeddyBwayTz 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sule

  • @jeilanikhamisi
    @jeilanikhamisi 4 หลายเดือนก่อน +2

    mashallah ahsante sana doctor sule kwa kutupa elimu kubwa ila wajinga hawawezi kukuelewa

    • @HassanOsimine
      @HassanOsimine 4 หลายเดือนก่อน

      huezi jua pengine mjinga wwe

  • @khamisissa252
    @khamisissa252 4 หลายเดือนก่อน

    DUH MSIBA MWEUSI HUU

  • @mohamedjuma9115
    @mohamedjuma9115 4 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli kisahicho lakini alikua ni mtu wa mwisho sio wa kwanza

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 4 หลายเดือนก่อน

    Niwapi Allah aliposema atumie majini au uwafuge huo ushirikina kataa kubali na mapete yako ya mchongo walikusema mpaka ukavua mapete

    • @jeilanikhamisi
      @jeilanikhamisi 4 หลายเดือนก่อน

      katika surat bani Israel aya namba 36 kama skosei Allah anasema na wala usibishane katika jambo ambalo huna elimu nalo mie pia nlianza kumshuku vibaya dk sule ila leo kuna shekhe nlimuuliza kuhusu haya mambo ya majini anayo yasema dk sule nikamueleza kama anavyosema sule kwanza akaniambia mlango wa tiba umegawanyika katika vipengele vingi sana akanifafanulia kidogo baadhi ya mambo ila kwa hakika maneno yake yalikua yanaendana kabisa na haya anayosema dk sule ila akasema tatizo watu wengi hawana elimu ya mambo haya na ndomana inakua ngumu sana kumuelewa dk sule ila mie nakushauri ndugu yangu katika iman fatilia kwanza kabla ya kutoa hukumu kwa mtu kama we ulivyo hukumu kwa kusema huyu ni mshirikina kumbuka elimu ni pana sana Allah atuongoze katika njia ilionyooka na atujaalie mwisho mwema

  • @mohamedjuma9115
    @mohamedjuma9115 4 หลายเดือนก่อน

    Hapana ni abdallah saleh alfarsiy

  • @MocimboaPraia
    @MocimboaPraia 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi niko msumbiji mimi sijasoma lakini ninakuelewa sana na ninakukubali koliko wewe muenyewe unavo jiamini na umepotea kusababu yamaneno unayo elezea basi mimi na wewe safaliyetu nimoja na wasie kubali basi mugu aja amewanyima ufaamu huo au wengine wanakukaidi kwasababu ya asaditu😅 koliko

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kwenda mshirikina wewe tena jahili kama majahili wengine muogope Allah pumzi isikudanganye kwanza wewe sio Shekhe nawanaokuita Shekhe hawajielewi wewe ni mganga wa jadi na mshirikina nauna kibri

    • @WeddyBwayTz
      @WeddyBwayTz 4 หลายเดือนก่อน

      Acha ujinga alafu nyie ndio mnaetenga viumbe wezenu upuuzi weee