PENZI HASARA EPISODE 26 ❤ Full Movie | New Bongo Movie |Swahili Movie | Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 119

  • @SindiaTomas
    @SindiaTomas หลายเดือนก่อน +8

    Yani alivio toka Kelvin... Nikuwa mpweke sana na hiii move😢😢😢😢 naomba like Kwa yule anaependa Kelvin

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g หลายเดือนก่อน +7

    Pole mwaya ally utampata Tina yupo paleee anakusubirii❤❤❤❤😊😊😊😊

  • @SabaGanga-kz4oi
    @SabaGanga-kz4oi หลายเดือนก่อน +8

    Aloo iyo dancing style ya lina nimeipenda jmn😂😂😂😂

  • @faidhaharuni9221
    @faidhaharuni9221 หลายเดือนก่อน +8

    We love u Ali ❤ leo wa kwanza haya like na makopa yangu

  • @WadnessJoel
    @WadnessJoel หลายเดือนก่อน +5

    Ali ni mwanaume msaarabu sana lknii hakupata mwanamke sahihi

  • @Fah-pz8of
    @Fah-pz8of หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda vipenzi kwa series penzi hasara epsd 27 ahsante

  • @AishaAthumani-z1k
    @AishaAthumani-z1k หลายเดือนก่อน +20

    Nimekuwa wa 10 jaman nipeni like hata 5 tuu 😢

    • @Dr_nanjase
      @Dr_nanjase หลายเดือนก่อน

      Zitakusaidia nn😂

  • @InukaUangaze-s3y
    @InukaUangaze-s3y หลายเดือนก่อน +3

    Ben kacheza kama yeye nakuwaachia uwanja sasa kieleweke mbivu na mbichi kazi swafy ❤❤❤❤

  • @FatumaAshm
    @FatumaAshm หลายเดือนก่อน +5

    ❤ wow good job❤

  • @MaryamIsmaeel-v3i
    @MaryamIsmaeel-v3i หลายเดือนก่อน +3

    Natamani tina na boss ally wawe pamoja mana wanaendana sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nesaahaji1329
    @nesaahaji1329 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani na mm leo nimewahi naombeni like japo 10 tu

    • @Dr_nanjase
      @Dr_nanjase หลายเดือนก่อน

      Na mm leo naomba like zenu 😂

  • @GraceKenya-i4j
    @GraceKenya-i4j หลายเดือนก่อน +2

    Ila sefu n kiroba Cha mkaa mwachangamsha hili picha 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @MaryamIsmaeel-v3i
    @MaryamIsmaeel-v3i หลายเดือนก่อน +3

    Hii ya leo kali ila haileweshi😂😂😂❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JoseVile-i9c
    @JoseVile-i9c หลายเดือนก่อน +3

    Wapewe mauwa Yao Kwa kuwah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @EbindaWelubi-p4s
    @EbindaWelubi-p4s หลายเดือนก่อน +1

    Ndugu zangu sijachelewa pia nipeni angalau like basi

  • @MichelineNsimire
    @MichelineNsimire หลายเดือนก่อน +1

    Uyu Ben wenu hajuwe igiza sa Kelvin wetu,mutu rudichiye kelvin please 🙏

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah ❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu

  • @FurahaEsther-q3b
    @FurahaEsther-q3b หลายเดือนก่อน +7

    Kumbe kiloba chamuka anajuwa kucheza 😂😂

  • @ZiadaNiyinkuru
    @ZiadaNiyinkuru หลายเดือนก่อน +3

    Kibong lina ananifurahisha kwakuchez kwake 😂😂😂

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv หลายเดือนก่อน +2

    Sena ulifanya kosa kubwa sana sana

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana 😢😢munatuburudisha kila siku inshallah

  • @CostanceBosibori
    @CostanceBosibori หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana bos alii usijali lakini Tina yupo ❤❤❤❤❤❤

  • @VanessaDaniel-m1r
    @VanessaDaniel-m1r หลายเดือนก่อน +1

    Me nawapenda mnawai sana

  • @FidelisMutui
    @FidelisMutui หลายเดือนก่อน +5

    Wakwaza kutoka Kenya nipewe likes ❤❤

  • @NuriaPeter-lk9lu
    @NuriaPeter-lk9lu หลายเดือนก่อน +1

    Zena kajisahau kama yeye ameiba mume wa mwenzie 😂😂😂 kwamwali kuliwa na kwasomo pia kuliwa😂

  • @CHARLESOTIENOMAYENDE
    @CHARLESOTIENOMAYENDE หลายเดือนก่อน

    Huyu ben wa sahii hachezi vizuri.kwani Kelvin wetu alienda wapi? Alafu huyu Fauna na Tina, wacha niwape hongera

  • @ThabithaFrancis
    @ThabithaFrancis หลายเดือนก่อน +1

    Nawapend sn kwa kz yn ❤❤

  • @LIZYSWAI
    @LIZYSWAI หลายเดือนก่อน +1

    Nimekua wakwanza leo jamn wanaompenda Ben gonga like

  • @GariHamisi-t2m
    @GariHamisi-t2m หลายเดือนก่อน +2

    Ila Divaa Yani mara io Io limbwata Kwa seif...😂😂

  • @LevinaMacha
    @LevinaMacha หลายเดือนก่อน

    Kumekucha jamani penzi hasara😊😊😊😊

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri mashaulllh 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Piliseleman-v6r
    @Piliseleman-v6r หลายเดือนก่อน

    Seif kupenda kupaka vumbi la kongo kutafut chumba aaah

  • @EbindaWelubi-p4s
    @EbindaWelubi-p4s หลายเดือนก่อน

    Wabonge kwa dance jamani 🎉

  • @JaneBinyanya
    @JaneBinyanya หลายเดือนก่อน

    Sefu nenda kajitafute 😅usiwe unadharirishwa hivo jamani kijana handsome 😂😂😂😂

  • @AbyMuzinga
    @AbyMuzinga หลายเดือนก่อน +1

    Sasa Ali Amelia Nini akaze tuu 😂😂😂😂

  • @EbindaWelubi-p4s
    @EbindaWelubi-p4s หลายเดือนก่อน

    If amani wanaotaka Boss Aly arudi 🏠 maana atoweza kufanya kazi mnipeni hata like 5

  • @AbibaChindigwa
    @AbibaChindigwa หลายเดือนก่อน

    Yahani boss umeona mke wako mmmm atari sisi wanawake sisi

  • @Sumaiaingabire
    @Sumaiaingabire หลายเดือนก่อน

    😆😆😆 leo fatuma anafurahi kinoma kbx mkee mwenzio kiburi kimekimekwisha

  • @Piliseleman-v6r
    @Piliseleman-v6r หลายเดือนก่อน +1

    Ila lina ww kwann mbeya sana😂😂

  • @stellamwakyusa7929
    @stellamwakyusa7929 หลายเดือนก่อน +3

    Lina jamani huko kucheza kwake sasa mbavu zangu mie

    • @MariaSalim-u5z
      @MariaSalim-u5z หลายเดือนก่อน

      Kama mtoto WA tembo vile😂😂😂😂😂😂

    • @stellamwakyusa7929
      @stellamwakyusa7929 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @SKuhh-l4c
      @SKuhh-l4c หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂​@@MariaSalim-u5z

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 หลายเดือนก่อน

    We lina😅😅fanya siezi plz😅😅😅😅😅

  • @JustinEmanuel-m3h
    @JustinEmanuel-m3h หลายเดือนก่อน

    Kevin yuko wapi mbona simuon mumeharib mov sijapenda

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j หลายเดือนก่อน

    Linah umeweza lakini kulala chooni umenimaliza😂😂😂😂😂Ila kwa Ben ndio mliharibu kabisa kumtoa 😢

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls หลายเดือนก่อน

    Umembadilishaa beni

  • @Candyzw3jv
    @Candyzw3jv หลายเดือนก่อน +1

    WA pili like zangu🎉🎉🎉🎉

  • @SaumuJumwa-k7e
    @SaumuJumwa-k7e หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂lina mauwaa yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FlorenceWanjala-u9k
    @FlorenceWanjala-u9k หลายเดือนก่อน +1

    Safe wajiliza na wewe c uko na diva😅😅😅😂

  • @WizzohMbena
    @WizzohMbena หลายเดือนก่อน

    Nawapenda san

  • @Kimwana255
    @Kimwana255 หลายเดือนก่อน

    Iyo miuno ya chibonge sasa 😂😂

  • @DaimaMrisho-z3j
    @DaimaMrisho-z3j หลายเดือนก่อน +1

    Nice

  • @HappySogomba-t6j
    @HappySogomba-t6j หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume muachege kuorewa achieni wana wke tu

  • @olicej7837
    @olicej7837 หลายเดือนก่อน +1

    Sefu😂😂😂😂😂kulelewa so kuzuri jitafte 😂😂😂lina nae 😂 zena weee kwisha habari yako😅

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys หลายเดือนก่อน +1

    Sasa Zena wy si ulikuwa huna hisia na Ally nenda kwa Ben sasa make hutiyi ata huruma 😂😂😂

  • @NeemaMbuji-i7s
    @NeemaMbuji-i7s หลายเดือนก่อน

    Zena umeyakanyaga half unamchukia mwezako kwann hukutulia na mmeo acha kikulambe vzr

  • @DelthaMsemwa
    @DelthaMsemwa หลายเดือนก่อน

    Nimekuwa wa Saba leooooo🎉🎉🎉🎉😂😂😂

  • @RehemaNyange-q1g
    @RehemaNyange-q1g หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂𝐤𝐢𝐥𝐨𝐦𝐛𝐚 𝐜𝐡𝐚 𝐦𝐤𝐚𝐚😅😅😅

  • @furahaalfani
    @furahaalfani หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂Kiroba chaamkaa jamani😅😅

  • @fatfat9093
    @fatfat9093 หลายเดือนก่อน

    Zena kwisha kiburi chako fety kashakumaliza

  • @mariamomary1343
    @mariamomary1343 หลายเดือนก่อน +1

    Huu udugu wa Tina n Zena ndo utaaribu lkn ingekua Ali anaenda Kwa tina

  • @HabibaZakeo
    @HabibaZakeo หลายเดือนก่อน

    Ali pole jaman na ulivyo mpole duu ila Tina anafaa kuwa wife material 😂😂

  • @priscahmahenzo642
    @priscahmahenzo642 หลายเดือนก่อน +1

    𝗪𝗼𝗼𝗼𝗼𝗼𝘄 𝗸𝗮𝘇𝗶 𝗻𝘇𝗿𝗶🎉🎉🎉🎉𝗔𝗹𝗶 𝗽𝗼𝗹𝗲😢😢😢

  • @YohanaMalecka-kl8kz
    @YohanaMalecka-kl8kz 3 วันที่ผ่านมา

    Jomon mnatakiw kujua kua.. kelvin alikuja kama kioo.. maan watu huw wanapend san mov zake. Lkn mov sio ya kelvin. Kawaachia wenye nayo

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD หลายเดือนก่อน

    Ali vumilia tu ndoa hua nachangamoto zake huyo Zena kiukweli ajafanya poa😢😢

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali หลายเดือนก่อน +2

    Lina wewe mdomo utakuooza. Eti utakuwa sawa

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 kiromba cha mkaa wajua kudance😊

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 หลายเดือนก่อน

    Pole Kaka kwayaliyo kukuta

  • @halifaalhabsi9883
    @halifaalhabsi9883 23 วันที่ผ่านมา

    Usilie kaka usilie siri imefichuka 😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki หลายเดือนก่อน

    Zena ulijisahau sana usiliye mwana kulitafuta mwana kulipata mi nampa tu pole kaka yangu Aly😢

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 หลายเดือนก่อน

    Nice movie ❤❤❤

  • @MagrethLijualikali
    @MagrethLijualikali หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤

  • @PhilisterSidi-r1d
    @PhilisterSidi-r1d หลายเดือนก่อน

    Lina acha umbea😂😂😂😂

  • @HappySogomba-t6j
    @HappySogomba-t6j หลายเดือนก่อน

    Wanawake tutosheke ge

  • @marryjames-wl7be
    @marryjames-wl7be หลายเดือนก่อน

    Mi huyu fet anaboa anatumia nguvu sana kumharibia mwenzake 😮😮😮

    • @DivineIngabire-lj3sr
      @DivineIngabire-lj3sr หลายเดือนก่อน

      Aca amuludushie jamani zena salimulibia vyashara yake na yeye akome 😂

  • @FaizaKabibi-tb2dj
    @FaizaKabibi-tb2dj 15 วันที่ผ่านมา

    Hemu turudishieni Kelvin bana

  • @ReubenMuthee
    @ReubenMuthee หลายเดือนก่อน

    Great to you all

  • @SalamaCharo-q6k
    @SalamaCharo-q6k หลายเดือนก่อน

    Ila safe unanimbambko kweli

  • @hadijaharun9113
    @hadijaharun9113 หลายเดือนก่อน

    Pole alii

  • @KahindiNyevu
    @KahindiNyevu หลายเดือนก่อน

    Zena utajua kua mjuto n mjukuu huja bda ya kitendo

  • @yangbabu
    @yangbabu หลายเดือนก่อน

    Ali umezidi upole sana jamani

  • @FurahaEsther-q3b
    @FurahaEsther-q3b หลายเดือนก่อน +1

    28 🎉🎉

  • @FaizaDanuial
    @FaizaDanuial หลายเดือนก่อน +1

    Yaani sefu unanipaga raha kweli

    • @JaneBinyanya
      @JaneBinyanya หลายเดือนก่อน

      Bila yy na Lina aki cjui😂😂

  • @MwaJuma-x3t
    @MwaJuma-x3t หลายเดือนก่อน

    Jmn leo wanner na mm 😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SakinaSakina-eu3zy
    @SakinaSakina-eu3zy หลายเดือนก่อน +1

    Watu mnaotakaga like sielewagi mnapeleka wapi niambiyen na mm niwenaomba bc😂😂

  • @MshamShaa-v1v
    @MshamShaa-v1v หลายเดือนก่อน

    🇲🇿🇲🇿🇲🇿 SAWA

  • @SubiraKiguluwe
    @SubiraKiguluwe หลายเดือนก่อน

    Fatma anafanan na Shangazi yake itakuwa ndugu yake wa ukweli kwel

  • @ashamrisho1322
    @ashamrisho1322 หลายเดือนก่อน

    Yaan mnawah had raha

  • @MariaAgustinou
    @MariaAgustinou หลายเดือนก่อน

    Ndio ukome kuuiba mume wa mtu

  • @AlexKitonga-c5m
    @AlexKitonga-c5m หลายเดือนก่อน

    Kelvin yuko wapi ❤❤❤

  • @NosiataDfd-k5g
    @NosiataDfd-k5g หลายเดือนก่อน

    Zena ameubuka kweli

    • @NosiataDfd-k5g
      @NosiataDfd-k5g หลายเดือนก่อน

      Waah mpaka boss analia jamani

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana หลายเดือนก่อน

    Zena.ume kwisha pore😅

  • @kwekwetsuma3524
    @kwekwetsuma3524 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Magi-vz4vz
    @Magi-vz4vz หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MMlin-bd2mi
    @MMlin-bd2mi หลายเดือนก่อน

    Ali upole umezidi mwanaume ni kuchangamuka

  • @FelisterKalegea-s8f
    @FelisterKalegea-s8f วันที่ผ่านมา

    Me npo upand wa fety naomb ufany jamb mpk ufankiw

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 หลายเดือนก่อน

    Wa tano leo🎉🎉🎉❤❤❤❤😂❤

  • @DennisLagat-ii9ti
    @DennisLagat-ii9ti หลายเดือนก่อน

    You guys you're trying to convince us, how can a rasta man replace Ben en yet ben even he don't have beads or rasta..... another thing, faces even don't look like it's brother...

  • @MagdalenaBajuta
    @MagdalenaBajuta หลายเดือนก่อน

    Zena 😂😂

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @NtambaMachunda
    @NtambaMachunda หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GraceVISAMAYANI-gj1xm
    @GraceVISAMAYANI-gj1xm หลายเดือนก่อน

    Cefu