UKE WENZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 7 หลายเดือนก่อน +4

    Niliyafanya hayo Alhamdulillah nimestarehe roho yangu wengi wanaamini nina roga ila sijawahi namtegemea Allah nikipata zito mganga wangu sijida

  • @HabibaUmmusumayyah-nw6cb
    @HabibaUmmusumayyah-nw6cb ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah dada yangu umenifunza vizuri sana Allah akuwekeye wepesi kwakila jambo

    • @NurathYunusu
      @NurathYunusu 10 หลายเดือนก่อน +1

      Dah mnajua mwanaume au mnajua mme, maana mwanaume kama mwanaume ata aoe 4 mpaka sita walhahi akosi kwenda nje,Kwa kumi wasioenda nje ni 2 tuuuuu

  • @ghhyhh7591
    @ghhyhh7591 7 หลายเดือนก่อน

    Ukewenza so ushindan nimemuacha tena nimerud oman naondoka wallah naswaumu nilonayo mume kalia

  • @rahmaomary5134
    @rahmaomary5134 5 หลายเดือนก่อน

    Maneno kuntu,yamenikuta haya yakuitana udada,najutaaaa😭😭😭😭Wema umeniponza mie

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂 kafundisha vizur mashaAllah hatujachelewa bhnaaa Alhamdulillah

  • @FariduDyangula
    @FariduDyangula 3 หลายเดือนก่อน

    Nipenamba.nataka.hayo.mambo

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 7 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka Kwa saut 😂😂 Nena usikimbie nyumba Kwa mke mwenza 😂😂

  • @farhatkhamis4401
    @farhatkhamis4401 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli kabisa kushindana mke mwenzio ata kumroga ushamba

  • @HABIBMEDIA-fk9hg
    @HABIBMEDIA-fk9hg 5 หลายเดือนก่อน

    assalaamu aleykum. naomba kama wapo waschana wakutaka ndoa nijulishwe. shukran

  • @SalmaSauko-mf8is
    @SalmaSauko-mf8is 10 หลายเดือนก่อน

    nimekupenda dada ❤

  • @mdmohammed9411
    @mdmohammed9411 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nime jifunza kitu

  • @HawaHawa-f7u
    @HawaHawa-f7u 7 หลายเดือนก่อน

    At ukeweza siutak lapekeako na dhaninikaburiitu nnalo ikipita miaka arubainii kisheria linaruhusika kuzikwa mwengine tizama apootu

  • @mawiotvonline7832
    @mawiotvonline7832 ปีที่แล้ว

    asante dada unaelezea vizuri unatoa ujumbe safi ila sikubaliani unapo sema wake wenza wakigombana chanzo ni mume mana nyinyi wanawake mwalimu wenu ni jumamanne kipofu

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanaume anachangia na kikubwa zaidi Mwanaume lahuku anapeleka kule la kule analeta huku hapa ndio tunagombana

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 7 หลายเดือนก่อน

      Mimi mumewangu kaowa wala sina muda na mwenzangu na niliwahi kumuona mara 2 tu nina miaka 21 sijamuona lakini huyu mwanaume na choko choko la huku watt wa mwenzio wamefanya da wamefanya de wanahivi wanahivi ni mbaya na husda

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂kalie chooni

  • @ghhyhh7591
    @ghhyhh7591 7 หลายเดือนก่อน

    Yaan dada nimekupenda bure yaan uloyasema yote niyangu mm nilikuwa oman mume kaowa nilipo rud sijaamin ilo swala la kusema mume yuko zam nalihesab yupo kazin mpk mwenyewe kaniuliza huna wivu nikilala kule unajiskiaj nikamjui nakuhesab upo kazin jaan jamaa haamini yy mwenyewe kuna siku kasema nijuta kuowa maana kila kit hufanya kwangu

  • @imranbanda3963
    @imranbanda3963 ปีที่แล้ว

    صلوا على النبي

  • @hemedabdalla4171
    @hemedabdalla4171 ปีที่แล้ว +1

    Elimu unayotoa sirahisi kuipata kwa wanawakengi.

  • @IsmailBaraza
    @IsmailBaraza 10 หลายเดือนก่อน

    Asant Dada kwaushauro

  • @alibadi6323
    @alibadi6323 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli dada

  • @farhatkhamis4401
    @farhatkhamis4401 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le ปีที่แล้ว +2

    Mm ukewenza siutak man wanaume sahv si waadilif

    • @diyashitindi6675
      @diyashitindi6675 ปีที่แล้ว

      uwadirifu utaujuaje ilhali hujataka mume aowe?

    • @ummuhkhalfan5542
      @ummuhkhalfan5542 ปีที่แล้ว

      Muombe Allah kila kitu kitakaa mahali pake maana kwa sasa ukisema kisa kaoa udai talaka utaomba sana na hata kama ukiachika ukirud nyumban watakupenda wiki ya kwanza tu zinazofata zote ushakuwa mzigo na hata kama ukiwa unajiweza Kuna umri unafika c wakukaa ubachela wakujitakia akikupa Taalifa anataka kuoa swalini kwanza istikhara kwa huyo anaekuja na uadilifu kwa mume piah Akupe amani ya moyo Allah hawez kukupa Bomu wakati umemlilia na kuuma lazima viume maana ni mumeo wala c kaka ako huyo.

  • @MaasumakumAlly
    @MaasumakumAlly 7 หลายเดือนก่อน

    Maneno kuntu dada