dj SMAA Nasikitika Akili kubwa sana Madini ni mengi Huwa unamwaga humu ila pengine wachache tunaipata SNSTZ inshallah wakuwone pia Media kubwa kama Azam wakupe kipindi ukamwage pia huko Madini haya ila Usiisahau SNSTZ ndo baba la vipaji Akili kubwa kaka SKY anapambana sana ipo siku itakua jengo kubwa la HABARI
Upo sahihi kabisa, nimejifunza vingi sana toka kwenye hii
🙏
...Mungu akujalie afya kaka...kwa alchokujalia nawe ukashea na nasi nashukuru nami nmekpata...
Asante bro, tunapata mengi kwako, basi ukipata mda ongea kuhusu Masihi dajal au mpinga kristo .
Kama kuna mtu huwa sichoki kumsikiliza ni Dj Sam na de dr elie wamenifanya ni badirike sana ongera sana Kaka MUNGU akupe maisha marefu
Nice content, 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🤝
dj SMAA Nasikitika Akili kubwa sana Madini ni mengi Huwa unamwaga humu ila pengine wachache tunaipata SNSTZ inshallah wakuwone pia Media kubwa kama Azam wakupe kipindi ukamwage pia huko Madini haya ila Usiisahau SNSTZ ndo baba la vipaji Akili kubwa kaka SKY anapambana sana ipo siku itakua jengo kubwa la HABARI
Big up bro MAA SHAA ALLAAH
Sma big up sana ukwel umetuamsha wana Fuse
Pamoja sana bro🇧🇮♥️♥️♥️♥️
+254 hapa Congratulations sma unatupa vitu adhimu vya kutujenga si kiimani tu bali hata kijamii
Nice bro
Sijaelewa chochote dah!
+254 hapa 😂yani wewe hujaelewa kitu isikilize mara zaidi ya mara moja utamwelewa sma
Rudia kuisokiliza mara kadha
Naomba kuuliza, hivi Ep 1 huku kwenye Whatsapp Channel ni view once au!? Maana nimewatch nilivyoikata kidogo tu kurudi ikanigomea
Hapana ipo na hata hapa ipo kwenye playlist unaweza juitazama
Mbn mi siipati hiyo chanel Whatsapp